Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 2,521
- 7,130
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani Boniface Jacob amesema tuhuma zilizotolewa na miongoni mwa wanachama wa chama hicho aliyesema ametolewa kwenye group la kamati kuu(Devotha Minja) kuwa ni kwa sababu anatengwa sio za kweli.
Boniface ameeleza hayo leo Mei 18, na kueleza kuwa mtu huyo alituma mfano ‘sample’ za vitenge vya Chama cha Ukombozi wa Umma(CHAUMMA) jambo ambalo waliona sio mwenzao.
Hata hivyo amesema barua ya msajili juu ya kuwasimamisha uongozi viongozi wa chama hicho kutokana na kutokukamilka kwa akidi ya Baraza Kuu mtu huyo alituma taarifa haraka sana jambo lililowashangaza na kuongeza mashaka kwake.
Pia soma Pre GE2025 - DSM - Devotha Minja: Utulivu wa nafsi nimeupata ndani ya CHAUMMA