Mbunge wa jimbo la Mvumi Livingstone Lusinde wakati akichangia makadirio ya mapato na matumizi Bajeti Wizara ya Uchukuzi kwa mwaka wa fedha 2025/2026 leo Mei 15, 2025 Bungeni jijini Dodoma;
"Mtu...
Nchi nyingi ukiwafuatilia Maspika wa Bunge ni watu humble sana, ni watu walio karibu sana na wanancbi kuliko kuwa karibu na Serikali.
Kuna siku Spika Wetangula wa Kenya alimurisha Polisi...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imebaini uwepo wa baadhi ya vyombo vya moto vinavyotumia umeme (electrical vehicles) ambavyo havijasajiliwa wala kubandikwa vibao vyenye namba rasmi za usajili...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwanza nianze kwa kumpongeza mh Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama samia suluhu Hasssan kwa kutengua uteuzi wa Pauline Gekul. kwa Vitendo vya aibu na...
Kamati kuu ya CHADEMA impigie magoti kumuomba ajiunge na chama chao na kumpa nafasi ya kugombea urais wa Tanzania. Kwa miaka mingi CHADEMA imekuwa ikijitambulisha kama chama cha watu wasomi wenye...
Wakuu,
Hivi kwa hali ya siasa ilivyo sasa hivi nchini, huyu mzee hawatajaribu kuruka nae kweli? Maana hizi spana
Akiwa anazungumza kwenye mkutano wa No Reforms No Election, Slaa amesema kuwa...
Katika mahojiano maalum aliyoyafanya leo, Alhamisi Mei 15, 2025 kupitia kipindi cha Furaha Morning, Kilewo alifichua kwa uchungu kuwa baadhi ya viongozi wa CHADEMA kwa sasa wanatumiwa na Chama Cha...
Wakuu,
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Magharibi kimetoa msimamo wao wa kuendelea kusimamia ajenda ya chama hicho ya kuzuia uchaguzi endapo hakutakuwa na mabadiliko ya...
Sala
Mungu Wabariki hawa Watu,
Zibariki familia zao,
Vibariki vizazi vyao hata cha 5 na cha 6,
Bariki kazi za mikono yao.
Hawa watu wameleta Upinzani wa kweli nchini Tanzania. Upinzani...
Serikali ya CCM, Rais Samia kama kuna watu wanakushauri haya basi wanakupotosha sana.
Nafikiri hamjui kiu ya Watanzania kutaka mabadiliko. Kila hila mnazopanga na kufanya dhidi ya chama chetu...
Wakuu,
Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma, George Katabazi, amewataka wanafunzi wa vyuo vikuu na vya kati kuepuka kushiriki katika vurugu kabla, wakati na baada ya uchaguzi mkuu, ili...
Kwani Wanachuo wenyewe mnasemaje?
Rais wa TAHLISO Geofrey Kiliba akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es salaam kuhusu maslai wanayopata wanachuo kwa kipindi hiki cha awamu ya sita chini ya...
Mbunge wa Morogoro kusini Mashariki Mh Taletale ameitaka Serikali ishirikiane naye waweze kuleta mkandarasi wa kujenga barabara za jimboni kwake kwa utaratibu wa Finance and Building.
Naibu...
Wakuu,
Hii sio kampeni kweli?
Leo Rais Samia amepiga simu live kwenye mkutano wa Tanzania Personal Secretaries Association ambapo Makamu wa Rais Philip Mpango alikuwa ni mgeni rasmi.
Rais Samia...
Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro amesema kuwa suala la chama kutoshiriki Uchaguzi ni suala binafsi ndani ya Chama husika haipaswi kulazimisha umma kutoshiriki Uchaguzi.
Ndumbaro...
The news arrived, both sharp and low,
A whisper first, then heavy blow.
A great pillar has fallen, now laid to rest,
His journey complete, in peaceful quest.
Cleopa David Msuya, a name that rings...
Watanzania ni wajuzi wa mambo ila sio wenye kuchukua maamuzi kwa haraka
Watanzania ni wanyonge mno sera Yao ni mwenye nguvu mpishe na hii ndiyo sababu ya CCM na serikali kufanya watakavyo...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekutana na Waziri Mkuu wa Côte d’Ivoire, Robert Beugre Mambe na kujadiliana nae masuala ya kidiplomasia, kiuchumi, teknolojia, kilimo na michezo kwenye kikao...
Nimestaajabu wakati wa mazishi ya Cleopa Msuya akisifiwa kama alikua na uwezo wa kufanya maamuzi magumu kiongozi mmoja akaona ni nafasi kumpigia mama debe. Akasema eti mama ana uwezo kufanya...
Wametangaziwa donge la majimbo 30 na m. 200 kila jimbo. Mtiti ni pale watakapoanza kutoana macho kugombea majimbo na mbaya zaidi watakapokosa ubunge na pesa walizoahidiwa ndipo tutakapomjua...