Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kumekuwa na nyuzi nyingi sana ambazo zinaanzishwa kwa hoja ya kutokuwa na Imani na Waziri Mkuu hivi Hawa watu wapo nyuma ya Nani? Hivi hawaoni jinsi anavyojitajidi kupambana na mchwa...
5 Reactions
41 Replies
3K Views
Hii sio nchi ya mtu mmoja au kikundi Cha watu fulani wachache hvyo likitokea Jambo tunaunga kwa pamoja kutatua changamoto. Kero za Tra na Askari kukamata mizigo ovyo ovyo sio kariakoo tuu ni...
0 Reactions
2 Replies
573 Views
1. Lack of knowledge to leaders. 2. Poor governance policy in economy 3. Poor management in the system 4. Corruption 5. Woman is a tool for pleasure 6. Lack of knowledge to the community 7. Poor...
1 Reactions
10 Replies
966 Views
Wewe fuatilia mijadala yote wanazungumzwa Watu tu na siyo maswala yahusuyo maisha ya kila siku Mara Lisu, mara Mbowe, mara Wassira na sasa Mrema wa You tube Tutatoboa kweli? 🐼
1 Reactions
16 Replies
403 Views
Uwanja wa CCM Kirumba ambao unamilikiwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) Enzi za chama kimoja, majengo na maeneo yote ya umma yalikuwa chini ya Serikali. Ujenzi na uendelezaji wa maeneo hayo ulifanya...
1 Reactions
505 Replies
68K Views
Mada yangu iko wazi wazi. Naomba wajuvi wa mambo ya haki na umiliki, bila mahaba ya kisiasa waniweke sawa. Hivi mali zilizopatikana kwakuwakata tozo na kodi na ushuru, raia wote wakat wa chama...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Press za wanachama wa Chadema wanaohama ni kututangazia Wananchi kwamba wametubu na kusamehewa dhambi zao Hili ni jambo jema sema endapo wataendelea kufanya Siasa Siku za mbele Kwani Wananchi...
1 Reactions
2 Replies
184 Views
APRIL 29, 2025 Ukimya Wetu Unaliumiza Taifa Na Manyerere Jackton, JamhuriMedia, Dar es Salaam Tunaweza kujifanya hatuoni wala hatusikii. Tunaweza kujifanya yanayotokea na kuwapata Watanzania...
16 Reactions
22 Replies
1K Views
Baada ya kusikiliza clip ya maongezi ya Naibu Waziri wa Utumishi Bw. Deus Sangu ambaye pia ni mbunge wa CCM jimbo la kwela, na zile nyingine za Nape, DC Longido na Humprey Polepole kuhusu CCM...
12 Reactions
38 Replies
2K Views
Naibu Waziri wa Afya Dkt Mollel amkaanga vibaya sana Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu akidai kuwa Ubongo wake una GB chache, na ni mtu mwenye roho mbaya sana.
1 Reactions
125 Replies
6K Views
Kama wengi mnavyoshuhudia yanayojiri nchini. Nchi yetu kwa sasa hivi ipo katika mapito magumu na makali kuelekea mabadiliko. Hapana shaka mabadiliko yanakuja na hakuna mtu wa kuyazuia maana huu ni...
3 Reactions
9 Replies
542 Views
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu imepigwa kalenda hadi Aprili 24, 2025. Lissu alifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu...
13 Reactions
161 Replies
13K Views
Kwa haraka kama unapenda ushabiki unaweza kudhania ni watu wanaopenda kukinzana bila sababu ya msingi. Ni watu ambao kwao siasa sio biashara. Hawako tayari kunywa kahawa za Ikulu huku rasilimali...
16 Reactions
30 Replies
988 Views
Kwamba hata iweje! Haipo shaka nia njema kutokea kwa mama haipo na haiwezi kuwa sahihi kusema huo ndiyo ulio msimamo wa CCM au serikali yake yote. "Samaki mmoja akioza haliwezi kuwa tenga lote."...
3 Reactions
19 Replies
841 Views
Kwanza, namshukuru mheshimiwa rais, Samia Suluhu Hassan. Pili, sijui watanzania wanachukuliaje hotuba yake ambayo haikugusia utekaji na mauaji vinavyoendelea? Kweli ameanza na tumeanza mwaka...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
CCM, dunia nzima inajua kuwa tume ya uchaguzi ya sasa haiwezi kuwa fair by all imaginations! Dunia nzima inajua hilo! From the innermost chambers of your hearts, mnajua kuwa tume "yenu" haina...
3 Reactions
1 Replies
230 Views
Freeman Aikael Mbowe ni miongoni mwa Waasisi na waanzilishi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA. Amekitumikia chama tangu 1992 hadi leo tuseme zaidi ya nusu ya maisha yake ameyaishi...
8 Reactions
44 Replies
2K Views
Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia Akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano Twitter: ikulu_Tanzania Youtube Channel...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Kweli CHADEMA ilikuwa ni shamba la bibi. John Mrema alijimikishia Chadema Media TV
1 Reactions
6 Replies
906 Views
Baada ya mvutano kati ya Polisi na CHADEMA, hatimaye imekubalika kuwa mkutano wa chama utafanyika katika eneo lililokusudiwa. Awali, Polisi walifika na kuzuia maandalizi yaliyokuwa yakiendelea kwa...
0 Reactions
4 Replies
685 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…