CHADEMA ya Lissu ni CHADEMA inayolitakia mema taifa letu

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,717
Reaction score
10,235
Kwa haraka kama unapenda ushabiki unaweza kudhania ni watu wanaopenda kukinzana bila sababu ya msingi.

Ni watu ambao kwao siasa sio biashara. Hawako tayari kunywa kahawa za Ikulu huku rasilimali za umma haziwanufaishi wanannchi.

Wanatataka taifa la Tanzania liwe na Katiba ambayo italinda rasilimali za Tanganyika na kuleta uchaguzi usiokuwa na mawaa.
 
Watanzania buku wangeongea kwa uwazi juu ya uovu wa ccm kila siku kwa mwezi mmojatu uovu,iwe kwenye haki za msingi za binadamu,iwe za kiraia,iwe za kisiasa,zakiuchumi au utawala wa sheria,wakoloni weusi wange tundika daluga na kurudi kulea wajukuu wao kwenye vijiji vyao walivyovitekeleza mara tu baada ya kuanza kuwanyonya na kuwaibia watanzania.
 
Kwa haraka kama unapenda ushabiki unaweza kudhania ni watu wanaopenda kukinzana bila sababu ya msingi.

Ni watu ambao kwao siasa sio biashara. Hawako tayari kunywa kahawa za Ikulu huku rasilimali za umma haziwanufaishi wanannchi.

Wanatataka taifa la Tanzania liwe na Katiba ambayo italinda rasilimali za Tanganyika na kuleta uchaguzi usiokuwa na mawaa.
Nyie wana ccm mnaoweza kusema saidieni kuliokoa Taifa.

Chadema ya Lissu na wazalenfo wengine wameshamaliza nafasi yao. Hata wakifa leo hawadaiwi.
 
Kwa haraka kama unapenda ushabiki unaweza kudhania ni watu wanaopenda kukinzana bila sababu ya msingi.

Ni watu ambao kwao siasa sio biashara. Hawako tayari kunywa kahawa za Ikulu huku rasilimali za umma haziwanufaishi wanannchi.

Wanatataka taifa la Tanzania liwe na Katiba ambayo italinda rasilimali za Tanganyika na kuleta uchaguzi usiokuwa na mawaa.
In deed watu tunataka mabadiliko ya kweli ili kila Mtanzania ajivunie nchi yake
 
Kwa haraka kama unapenda ushabiki unaweza kudhania ni watu wanaopenda kukinzana bila sababu ya msingi.

Ni watu ambao kwao siasa sio biashara. Hawako tayari kunywa kahawa za Ikulu huku rasilimali za umma haziwanufaishi wanannchi.

Wanatataka taifa la Tanzania liwe na Katiba ambayo italinda rasilimali za Tanganyika na kuleta uchaguzi usiokuwa na mawaa.
Umeelewa kwa kuchelewa Sana

Nikwambie tu kwa Sasa TISS imegawanyika katikati

Kuna wanao hujumu na Kuna wanasawazisha

Kufika October kitaeleweka tu!!
 
Back
Top Bottom