Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Taarifa za Mdude_Nyagali mwana JamiiForum mwenzetu kushambuliwa zimelishtua taifa hasa ukichukulia kwamba Mdude ni mwana demokrasia mahiri na mkosoaji wa serikali kwa uwazi ambae alipaswa...
5 Reactions
22 Replies
1K Views
Mbunge Kazi: Mgonga meza bungeni hana hata cheti cha la saba. 1. kugonga meza pekee 560,000 kwa siku 2. mshahara 18,000,000, kwa mwezi 3. gari milioni 110, mkopo na pengine wanasamehewa 4...
2 Reactions
1 Replies
320 Views
Hizi sarakazi zote mnazoziona hazipo kwa maslahi ya Taifa wa maslahi ya chama( CCM ) bali ni kwa maslahi ya wahujumu na wezi wanao linda mali na mianya yao isibugudhiwe na ndio maana kwanza...
4 Reactions
7 Replies
457 Views
MAAZIMIO YA IDU JUU YA HALI MBOVU NA HATARI YA SIASA TANZANIA Umoja wa vyama vya kidemokrasia duniani (IDU) ulihitimisha mfululizo wa mikutano yake kwa mkutano mkuu uliofanyika tarehe 16.05.2025...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Hali inaendelea kuwa mbaya kwa upande wa CHADEMA. Leo ni zamu ya Mkoa wa Songwe.Viongozi na wafuasi wapatao 24 wamejivua uamachama. Baadhi ya Viongozi wa CHADEMA ikiwemo Mjumbe wa Mkutano Mkuu...
2 Reactions
25 Replies
1K Views
DAR. Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Hashim Rungwe amesisitiza Sera ya chama hicho ya Lishe maarufu Ubwabwa akisema Taifa lisilo na lishe haliwezi kujiletea maendeleo...
0 Reactions
0 Replies
346 Views
Wakuu hizi ni sababu kadhaa za kuaminika na zimefanyiwa kazi kwanini CCM watashinda kila wakati 1. Aina ya wapiga kura. Hii ni sababu mojawapo, vijana wengi na wasomi ambao pengine ndio wangeweza...
1 Reactions
7 Replies
429 Views
Nimepenyezewa taarifa na mbunge mmoja wa Covid-19 mkoa wa Singida muda huu. Ngoja tuone.
4 Reactions
34 Replies
2K Views
.CHAUMMA INA UMA. Kuna baadhi ya wanasiasa wanajidanganya na wengine kudanganywa kuwa CHAUMMA inaweza kuwa tishio kwa chama tawala leo au kesho, hii naomba wasahau kabisa. Kwa taarifa tu...
3 Reactions
24 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa CHAUMA ambaye kitaaluma ni Mwanasheria na ni Wakili wa Kujitegemea mzee Hashimu Rungwe amesema hakuna sababu ya kushiriki Uchaguzi endapo Tume Huru ya Uchaguzi haitapatikana...
8 Reactions
47 Replies
3K Views
Ikumbukwe hata CHAUMMA imezaliwa na NCCR Mageuzi kama ambavyo ACT Wazalendo ilivyozaliwa na CHADEMA Mbowe angewatanguliza akina Mrema Nccr mageuzi kule Chadema amepotezwa kwa makusudi kabisa...
0 Reactions
35 Replies
782 Views
Kiukweli naandika kwa uchungu sana naandika kwa maumivu sana our intelligence unit mna failed ktk kuikinda hii nchi na high brid war warfare. Naandika nikiwa kama Raia ila najiona kuwa na uwezo...
15 Reactions
35 Replies
3K Views
Nina tumaini wote tu wazima wa afya, Naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Matukio yanaendelea nchini Tanzania, hasa katika kipindi hiki tunapoelekea uchaguzi; mambo mengi ni meusi...
3 Reactions
3 Replies
481 Views
Kama kuna mtu ndani ya CHADEMA mwenye uwezo wa kuwa Rais na kuleta mabadiliko ya kweli, basi ni John Heche. Anaongea mambo ya msingi sana hoja zake ni za kisiasa, zenye uzito, na zinawagusa...
1 Reactions
11 Replies
763 Views
Wanabodi Niko hapa hoteli ya Four Points by Sheraton jijini DSM kuwaletea uzinduzi wa muongozo mpya wa ufanyaji biashara wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) ili Kurasimisha...
0 Reactions
8 Replies
505 Views
Mkuu wa majeshi na polisi na tume na bunge na mamlaka zote hizi ampaswi kukataa haki na kumuamini sana raisi tunafanya makosa makubwa sana kama tutaiacha nchi kuondoka kwenye haki na sheria na...
2 Reactions
2 Replies
263 Views
Ndani kipindi cha miaka miwili wachambuzi wa kisiasa wametoa maoni ya uongozi wa Rais Samia kuwa ni kiongozi aliyefanya mabadiliko makubwa. Hakuna mwenye macho asione mazuri na makubwa anafanya...
5 Reactions
39 Replies
2K Views
Wanaharakati wa kisiasa ambao wametoswa katika vyama vyao wako katika hatua za mwisho kuanzisha chama cha kisiasa kitakachoitwa Chama cha Ukombozi wa Umma kwa lengo la kuendeleza harakati hizo...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
MAZITO YAJADILIWA KATIKA BUNGE LA ULAYA, TUNDU LISSU KESI YA UHAINI, ALI KIBAO KUUAWA,,WATU KUPOTEZWA N.K https://m.youtube.com/watch?v=4QH2juya5sk Wabunge wa Bunge la Ulaya wasema kuwa zile 4R...
23 Reactions
128 Replies
9K Views
Nashukuru sana waheshimiwa Tundu Lissu, John Heche na wapigania uhuru wengine wa CHADEMA. Jipeni moyo, msikate tamaa. Inawezekana siku ile unayokata tamaa ndo siku ya kukamilika kwa ukombozi...
7 Reactions
2 Replies
376 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…