Billal Saadat
Senior Member
- Nov 30, 2022
- 169
- 356
Ndani kipindi cha miaka miwili wachambuzi wa kisiasa wametoa maoni ya uongozi wa Rais Samia kuwa ni kiongozi aliyefanya mabadiliko makubwa.
Hakuna mwenye macho asione mazuri na makubwa anafanya mama huyu wala mwenye masikio hasikii maajabu anafanya Rais Samia kwa nchi yetu!
Rais Samia kwa kipindi cha miaka miwili amepandisha Pato la Taifa kutoka dola bilioni 67 hadi dola bilioni 85 hadi kufika 2028 Tanzania itakuwa East Africa Economic Super Power!
Rais Samia ametajwa mara saba na majarida mbalimbali ulimwenguni kuwa mwanamke mwenye nguvu kubwa kwasasa Duniani (TIME, FORBES, 500 Muslims Magazine nk).
Amemaliza miradi yote iliyoachwa na mtangulizi wake Reli ya SGR, Bwawa la Nyerere, Daraja la Busisi, Ikulu ya Dodoma nk.
Analipa madeni yote ya nchi yaliyoachwa na mtangulizi wake, kwa makampuni, nchi na watu binafsi mfano Lissu amelipwa stahiki zake. Mama anaijenga nchi kwa 4R (Reconciliation, Resilience, Reform and Rebuild).
Ameruhusu mabinti waliopata ujauzito kurudi shule kuendelea na masomo kwa kuwajengea miundombinu wezeshi ya kufanikisha kumalizia safari yao ya Elimu.
Elimu bure msingi hadi kidato cha sita na ametoa mikopo ya Elimu ya juu hadi kwa wanafunzi wa diploma.
Rais Samia ameifanya nchi kuweza kujitegemea na kujiendesha yenyewe kutokana na mapato yake ya ndani makusanyo ya trilioni 2.62 kwa mwezi.
Tanzania imefuzu AFCON vilevile itakuwa mwenyeji wa AFCON 2027 Timu mbili za Tanzania zimeingia makundi michuano ya Afrika.
Ujenzi wa kiwanda kikubwa cha kuzalisha vioo Africa Mashariki na kati, ujenzi wa Kongani ya Viwanda Kwala, Ujenzi wa Bandari Kavu ya Kwala.
Viwanja vikubwa viwili vya Mpira kwa Arusha na Zanzibar.
Ameruhusu mikutano ya kisiasa, mchakato wa katiba mpya, ametoa ruzuku kwa vyama vya siasa, amewaachia huru wafungwa wa kisiasa.
Amekuza diplomasia na mataifa rafiki na Tanzania amefungua masoko ya bidhaa kwa wakulima, Biashara na Utalii.
Yapo mengi sana hakika Mama yuko kazini kuijenga Tanzania ya Asali na Maziwa.