Kama unabisha Fanya Utafiti utujuze taasisi gani iwe ya umma au NGO inaizidi CCM
1. CCM ina rasilimali kila Mkoa na Wilaya hadi kata
2. CCM ina Wanachama kila mtaa
3. CCM ina mbunge kila...
Kuna vitu vingine vinafanywa na serikali na CCM na serikali yake hadi vinatia aibu. Kila mtu anajua wakati wa uchaguzi wa Chadema Lissu Vs Mbowe, serikali na CCM walifanya kila wawezalo ili Mbowe...
Ninachojaribu kusema ni kwamba baada ya utovu mkubwa wa nidhamu ulioonyeshwa na Askofu Gwajima siasani basi CCM imkabili kwa umakini mkubwa sana
Ajibiwe na Watu makini wanaojua Siasa na wanaoweza...
Tuko kwenye karne ya 21 na dunia ya utandawazi bado unakuta kuwa sifa ya kuwa Mbunge ni kusoma na kuandika. Hili ni kosa kubwa sana. Tuchukue mfano umemteua Mhe. Mbunge awakilishe nchi kwenye...
Nakumba Mzee jomo kenyata aliwa kusema sisi ni maiti,kilikuwa ni kipindi cha utawala wa Nyerere,
Ni kauli katika makuzi yangu nilikuwa siipendi hata kuisikia,baada ya kupata ufahamu akili na uwezo...
Nimeitazama video ya Maria Sarungi akizungumza huko Oslo, Norway.
Kazungumza vizuri tu. Ila, sitokuwa kama wengine na kuanza kummwagia sifa tele na kana kwamba alichokifanya ni cha kipekee sana...
Nimepitia cv za Maseneta na Wabunge wa Kenya ni za kawaida sana
Uwepo wa Msukuma, Kibajaj, Babu Tale na dada Mamba huku tukiwa pia na Prof Kabudi, Prof Kitila, Dr Mwigulu, Dr Kimei nk ni...
Tatizo la Watanzania kutoajirika kwenye maeneo mbalimbali duniani limechangiwa sana na mfumo wa Elimu yetu kukitupa Kiingereza kama lugha ya mawasiliano.
Kwa waliotembea duniani, lazima...
Hili lijitu baada ya kukuona limesahauliwa na Uongozi wa Kifisadi wa Awamu ya Sita sasa limeona like na Ujuha na Upumbavu wa kijinga ili lionekane linatetea Awamu ya Sita.
Huwezi kuhalalisha...
Tunadhalilika duniani
Tunadhalilika mitandaoni
Tunadhalilika Afrika
Tunadhalilika ndani ya jumuiya ya Afrika mashariki mashariki
Hakuna haja ya kurudia chanzo cha haya yote.. Haisaidii tena...
Ameongea kwa uchungu mkubwa sana leo Bungeni. Na mimi naunga mkono. CCM Kinondoni iandae kongamano la kumlaani Gwajima, hata mimi ntachangia gharama za mkutano huo.
Ajibiwe na ngazi ya wilaya na...
CHADEMA ni kweli ina mashabiki/Wapenzi wengi, mtaani hasa kwenye mitandao ya kijamii, na kila jambo huwa tunatoka mbele kupongeza ujasiri wa viongozi hili sio baya.
Kwa sasa CHADEMA iko kwenye...
Sisi wakazi wa Chanika kwa sasa tunapata taabu Sana kwa barabara yetu Kutokea Kona ya Pugu kuelekea Chanika.
Barabara hii ilikuwa inaangaliwa mara kwa mara wakati Makamu wa Rais alipokuwa akipita...
Uchaguzi mkuu unakaribia na katika jimbo la Simanjiro wanatajwa wengi kuwania nafasi ya ubunge , Tunahitaji angalau wawakilishi wenye kiwango kikubwa cha Elimu ,si elimu itasaidia lakini angalau...
(Sehemu ya Pili – Mapendekezo ya Maboresho ya Kimuundo na Kiutendaji)
1. Uteuzi wa Viongozi wa INEC
Kwa sasa, Rais ndiye mwenye mamlaka ya kuteua Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti, na Makamishna wa...
HISTORIA YA MKOA WA MANYARA
Kwa mujibu wa tovuti ya Mkoa wa Manyara, Mkoa huu ulianzishwa kwa tangazo la Serikali Na. 367 lililotolewa tarehe 27 Julai, 2002 na kuchapishwa katika gazeti la...
Tunafurahia ushenzi? Na hao mnaotaka wawe wastaarabu wakiuitikia wito wa kishenzi basi hakutokua na nafasi ya kuukaribisha ustaarabu tena.
Msitake wajivike ustaarabu ushenzini. Regardless ya...
Hebu jionee Mwenyewe
===
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Amani na Maridhiano Tanzania, Sheikh Alhad Mussa Salum amekemea vikali wanaharakati wanaoleta Taharuki Nchini na kwamba hawatafanikiwa kuondoa...