Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Askofu Wolfgang Pisa amesema hali ya kiafya Padri Charles Kitima, katibu mkuu wa Baraza hilo, inaendelea vyema na atarejea katika majukumu yake...
Nimeona watu wakijibu hoja za Gwajima kwa mihemuko bila kuja na hoja kinzani ukilinganisha na Gwaji boy. Nahitaji maandalizi na sio kukurupuka, jamaa amepiga kwenye mshono, tukubali tusikubali.
Wakuu sisi wana Ccm tubadilishe Mgombea .
Mama hauiziki
Lile tabaka la chini halimkubali
Tabaka ambalo hutoa muelekeo wa nchi miaka yote.
Hatujachelewa twende na mgombea anayeuzika. Ambaye Ana...
Mkoa wa Dar es Salaam wenye mitaa 636 wamekata majina ya wagombea wa CHADEMA 571. Wamebaki wagombea 45 tuDar es salaam yenye wajumbe wa Serikali za mitaa 3,822 wamekata majina ya wagombea wa...
Nimeulizwa na wengi iwapo nitagombea Ubunge au nafasi yeyote ya kuchaguliwa katika uchaguzi mkuu wa 2025 na haya ndiyo majawabu yangu.
1.Kipaumbele changu cha kwanza kwasasa ni kupigania utawala...
Naomba tu kuuliza huu utaratibu wa kila individual anayejisikia anaitisha Press unaratibiwa na Sheria na kanuni gani?
Mambo ya ‘ live’ yana faida na hasara zake ni lazima wizara husika iwe makini...
Aendelea kuwakumbusha Wananchi wa Chalinze kuchangamkia mikopo inayoendelea kutolewa na Halmashauri hiyo.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu- Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani...
Nchi hii ni kama ndoto mbaya kwa mwananchi wa kawaida. Viongozi wake wamevaa sura za malaika mbele ya kamera, lakini mioyo yao imejaa unafiki na tamaa ya mali. Wanajifanya kuzungumzia maendeleo...
Jana Baba Levo ametangaza kugombea ubunge kwa jimbo la Kigoma Mjini.
Masaa machache baadae mtangazaji mwenzake wa Wasafi FM, Diva ametangaza kugombea ubunge jimbo la Tanga mjini.
Uzi huu utakuwa...
Nimetazama kwa ufupi sana majadiliano ya wabunge katika Bajeti ya wizara ya mambo ya ndani. Kiukweli sijui kama hawa wabunge wanatambua wanachokifanya. Ni mashambulizi dhidi ya serikali ya Kenya...
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo Cha Ubia Sekta Binafsi na Sekta ya Umma (PPP CENTRE) na Mtaalamu wa Sera za Maendeleo, David Kafulila, amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kushiriki katika mjadala...
Aibu Jumanne Muliro kujulikana kimataifa kuliko Amb. Mohmoud Kombo (MP). Tumegeuka kuwa nchi ya kikatili!! kwenye wizara hii tuliwahi kuwa na Mkapa, Kikwete, Membe, Migiro, Malecella na Salim...
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa iliyoketi jijini Dodoma...
Nikirejea utetezi wa matendo haya wa Jerry Muro kama mfano wa jumla wa watetezi na watu wanaoamini hivi vitendo kwa sasa vimewahi kuwepo huko nyuma pia, ni vya kawaida tu na sio vya kuchukuliwa...
Leo nilitarajia kwenye wasilisho la bajeti ya wizara ya mambo ya ndani, wabunge wangekemea masuala mbalimbali ya utekaji na kupotea kwa baadhi ya raia, lakini sijasikia.
Nani atatutetea sasa...
Wakuu,
Wakati watu tunalalamikia miradi ya Wachina kuwa mingi nchini, kumbe huo ni mkakati wa Wizara ya Mambo ya Nje?
Leo nilikuwa napitia ile sera ya Mambo ya nje ya mwaka 2001, toleo la mwaka...
Jerry Muro asiye na fadhila
Na Saed Kubenea
NIMESOMA kilichoitwa na Jerro Muro, "ushauri kwa wanasheria nchini " juu ya msimamo wao wa kutohudhuria mahakamani leo (Jumanne) na kesho.
Hatua...
Jana niliona mahojiano kidogo ya Jerry Muro kwenye kipindi cha MKASI EATV ambacho kikubwa nilichokiona kwa Jerry Muro ni 'entitlement feelings' alizo nazo
Ingawa kiukweli anaonekana ni mzalendo...