Kosa la Gwajima ni kukanusha hii habari na kusema eti serikali ni nzuri haiwezi fanya jambo kama hilo. Hapa kakosea sana.
Binafsi, naona huu ndio udhaifu wa Gwajima wa kung"ata na kupuliza kuhusu...
Enyi viongozi mliopewa dhamana na wananchi kuliongoza hili taifa chukueni huu ushauri mzuri kutoka kwa Dr Hussein Mwinyi utawasaidia. Tusipokuwa makini UCHAWA utaliangamiza taifa, leo hii Daktari...
DAR. Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam (DART) umeingia mkataba wa miaka 12 na kampuni binafsi ya usafirishaji ya Emirates National Group (ENG) kutoka Abu Dhabi kuendesha mfumo wa BRT...
Kwa kweli nimijikuta nikiona aibu kubwa, wala sio Hasira kwa namna upeo wa viongozi wetu ambao ni Wabunge.
Wanavyojibu hoja za Mbunge wa KAWE, ni aibu kwa kweli sio kutia Hasira tu.
Mzee TARIMBA...
Ni wazi chadema haina inachoweza tena katika kujikwamua kwenye mikwamo ya kisiasa ambayo inapitia.
Ukata wa pesa, kukimbiwa na makundi ya wanachama wake, kukwama kwa wanasheria wake mahakamani...
Watu aminaaaaaaaaaaa
Mchungaji wa Kanisa la ufufuo na Uzima, Askofu Gwajima ameendelea na mahubiri kwenye kanisa hilo licha ya kusambaa barua ya kufungiwa. Gwajima amesema hakuna wa kufunga...
Mpaka leo sijaelewa kwa nini Spika wa zamani Job Ndugai aliomba radhi na baadaye akajiuzulu uspika baada ya kutoa maoni yake kuhusu madeni ya nchi.
Yote aliyoyazungumzia Ndugai yalikuwa ni halali...
Vyama vya siasa kumi na vinne (14) nchini vimeungana kuhakikisha vinaitoa CCM madarakani katika uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu 2025.
Katika taarifa yao waliyoitoa...
Huwezi kuwataja matapeli papa ya madhabahuni kama Mwamposa, Tony, GeorDavie, Mwamakula, Kuhani Musa, Malisa, Bagonza, na Suguye bila kumtaja tapeli papa Gwajima. Huyu ni tapeli la madhabahuni na...
Wanabodi
Naomba kuuliza,ni mimi tuu au na wenzangu mnaona hili tukio la kushambuliwa kwa Father Dr Charles Kitima,Katibu Mkuu wa TEC, lime draw extra ordinary attention,limeleta mshtuko mkubwa na...
The Citizen ni gazeti. Ni chombo cha habari kinachoaminika.
Gazeti linasema kuwa kanisa hilo limefungiwa na Emmanuel Kihampa [should be Kidampa, honestly], ambaye ndo msajili sijui wa...
Gwajima ni mwanasiasa mbunge na ni mchungaji hata kama angekuwa mtumishi wa Mungu pekee bado kukemea utekaji sio kosa wala sio suala la kisiasa ni suala la kupinga ugaidi sasa uagidi na siasa wapi...
Tanzania sasa ni sawa na shamba la bibi. Kila tapeli anayetaka kutajirika haraka, anafungua kanisa. Makanisa sasa hayana tofauti na maduka au magenge ya kucheza kamari.
Japo anachosema Josephat...
MWONEKANO WA KISASA WA SHULE YA MSINGI KUMSALI ILIYOPO KATA YA NYAKAHURA WILAYANI BIHARAMULO .
Wakati wa kampeni shule hii ilionekana kama ilivyo hapo juu wananchi wa kijiji cha kumsali waliamua...
Friends and our Enemies,
Huyo anaejiita Askofu,kukimbilia kwake kwenye ulingo wa kisiasa kulitokana na kauli ya mwendazake kipindi kile ambacho alimtaka yeye BINAFSI kwa maslahi yake na hesabu...
Wakuu,
Wabunge wa Dar es Salaam: Elimu, Safari za Kisiasa, na Majukumu
1. Jerry Slaa - Mbunge wa Ukonga
Chama: CCM
Uchaguzi wa 2020: Kura 120,936 dhidi ya Asia Daudi Msangi (CHADEMA) aliyepata...
Mara nyingi mlikuwa pamoja mkifanya harakati za kuikomboa Tanzania.
Sasa mbona upo kimya? Nilitarajia ufungue application ya Harbeas Corpus ili Mdude aletwe mahakamani na aachiwe
Upo kimya...
Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina akiwa kwenye Mkutano Mkuu Maalum wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika viwanja vya Jakaya Kikwete Convention Center Jijini Dodoma leo Mei 29, 2025
Wanachokifanya wanajua wenyewe. Ila mimi nilikuwa namuangalia usoni, hakuwa na nuru kabisa.
Je, anafanya kitu ambacho anajua siyo sahihi?
Jibu tumwachie yeye, naowawakilisha na Mungu wake.