Kwa wiki kadhaa kumekuwa na majala mzito kuhusu Press ya Mbunge wa Kawe Ndugu Josephat Gwajima na Waandishi wa Habari akielezea sakata la utekaji, kupotea na mauaji ya Watanzania ambayo kwa miaka...
Je, Serikali Ina Haki ya Kudhibiti Kile Unachoandika Kwenye Simu Yako?
Fikiria uko kwenye simu yako. Unamwandikia rafiki yako ujumbe wa kawaida:
• Unapoandika “oppa” (boyfriend) — simu...
Wakuu,
Sasa hivi ni mwendo wa kutekana tu, hali inazidi kutisha, ni muda wa wananchi kuungana kuliko wakati wowote ule kupinga udhalimu huu.
===
Mtumishi wa Mungu anayejulikana kama Mwl...
Nimewafuatilia vizuri, na umesikia. Habari ya Hisia na Mihemko haina nafasi. Pambano limeisha ila Vita inaendelea. Kila la Heri. Thread imekamilika endeleeni kusema
CCM KUFADHILI KITABU CHA MZEE SONGAMBELE KUENZI HISTORIA YA NCHI, CHAMA NA SERIKALI
- Balozi Nchimbi atoa neno, akimwakilisha Dkt. Samia msibani
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi...
Hiki kitabu kina itwa THE BOOK OF SOUTHERN QI DYNASTY kinazungumzia vipi unaweza kuua kwa kutumia upanga wa kuazima. Yaani hapa njia ni kua unapenyeza watu wako kule ambako unatk kuangusha ufalme...
Kuweni na adabu mahakamani, huwezi muona hakimu kakaa pale wewe unapiga makelele ya kijinga no reform no election.
Wengi tumewahi kwenda jela kwa milio ya simu zetu tu, wengine tumekula vibano...
Tujiulieze ni kwanini barua inayodaiwa kuwa ni ya kulifunga kanisa la Gwajima itokewa siku ambayo Lissu anafikishwa mahakamani?
Majibu: Hii ni dalili kesi ya Lissu haiwezi kudumu muda mrefu.
Ni...
Kosa la Gwajima ni kukanusha hii habari na kusema eti serikali ni nzuri haiwezi fanya jambo kama hilo. Hapa kakosea sana.
Binafsi, naona huu ndio udhaifu wa Gwajima wa kung"ata na kupuliza kuhusu...
Enyi viongozi mliopewa dhamana na wananchi kuliongoza hili taifa chukueni huu ushauri mzuri kutoka kwa Dr Hussein Mwinyi utawasaidia. Tusipokuwa makini UCHAWA utaliangamiza taifa, leo hii Daktari...
DAR. Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam (DART) umeingia mkataba wa miaka 12 na kampuni binafsi ya usafirishaji ya Emirates National Group (ENG) kutoka Abu Dhabi kuendesha mfumo wa BRT...
Kwa kweli nimijikuta nikiona aibu kubwa, wala sio Hasira kwa namna upeo wa viongozi wetu ambao ni Wabunge.
Wanavyojibu hoja za Mbunge wa KAWE, ni aibu kwa kweli sio kutia Hasira tu.
Mzee TARIMBA...
Ni wazi chadema haina inachoweza tena katika kujikwamua kwenye mikwamo ya kisiasa ambayo inapitia.
Ukata wa pesa, kukimbiwa na makundi ya wanachama wake, kukwama kwa wanasheria wake mahakamani...
Watu aminaaaaaaaaaaa
Mchungaji wa Kanisa la ufufuo na Uzima, Askofu Gwajima ameendelea na mahubiri kwenye kanisa hilo licha ya kusambaa barua ya kufungiwa. Gwajima amesema hakuna wa kufunga...
Mpaka leo sijaelewa kwa nini Spika wa zamani Job Ndugai aliomba radhi na baadaye akajiuzulu uspika baada ya kutoa maoni yake kuhusu madeni ya nchi.
Yote aliyoyazungumzia Ndugai yalikuwa ni halali...
Vyama vya siasa kumi na vinne (14) nchini vimeungana kuhakikisha vinaitoa CCM madarakani katika uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu 2025.
Katika taarifa yao waliyoitoa...
Huwezi kuwataja matapeli papa ya madhabahuni kama Mwamposa, Tony, GeorDavie, Mwamakula, Kuhani Musa, Malisa, Bagonza, na Suguye bila kumtaja tapeli papa Gwajima. Huyu ni tapeli la madhabahuni na...
Wanabodi
Naomba kuuliza,ni mimi tuu au na wenzangu mnaona hili tukio la kushambuliwa kwa Father Dr Charles Kitima,Katibu Mkuu wa TEC, lime draw extra ordinary attention,limeleta mshtuko mkubwa na...