Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ilikiwa video na mabaya zaid nipiga kura mahiri wakinamama Hawa wanawake wameamua kutoa kama tangano sasa hapa ni ngumu kuwapa Imani na chama tena...
0 Reactions
0 Replies
224 Views
Mambo ya ajabu sana yanayotokana na upofu wa viongozi. Kama hao wabunge wana uchungu sana na afya za wananchi ni kwa nini wasiridhie kutozwa hata 2% kwenye mishahara yao na kiinua mgongo kwa...
0 Reactions
1 Replies
242 Views
Habari wakuu, Kama Mungu ni mmoja Mbingu ni moja na pia imani ni moja ni nini kinachosababisha viongozi wa dini kutokuwa na ushirikiano pale mmoja wao anapokumbana na uonevu kwa kukemea maovu...
1 Reactions
9 Replies
604 Views
Zipo Sheria zao zinasema vyama hivi vya kiraia visishiriki katika siasa. Nilikuwepo kule siku moja nimekwenda kuanzisha Chama changu cha Buddha. Akatokea kiongozi mmoja,aliposikia nataka kufanya...
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Sina mengi kama heading inavyosomeka umoja wa makanisa Tanzania CCT utoke hadharani na tamko lake ili tujuwe msimamo wa kanisa ni nini juu ya haya yanayoendelea.
4 Reactions
9 Replies
721 Views
Baada ya kuwaapisha wasaidizi wake ile 2021, akatoa risala kuwa hao aliowaapisha waende huko kwenye vituo vyao vya kazi wakawatumikie wananchi. Akaonya kwamba hizo nafasi zao wasizotumie...
13 Reactions
9 Replies
699 Views
Wanazengo wanasema ushauri si lazima upokelewe ila mjumbe hauwawi. Nimeona na mimi niandike kwasababu uwezo ninao na nia pia juu ya haya yanayoendelea kila mtu anaruhusiwa kuandika lake liwe la...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Kumbe Inawezekana wanaharakati ni wabaya sana kuliko wasiojulikana! Na pia sijawahi kusikia neno kulinda uhuru na haki za Watanzania ila nasikia kulinda amani kumbe huenda haki haina umuhimu...
9 Reactions
19 Replies
891 Views
Wakuu wa vyombo wamechoka. Walikuwa wanajiuliza nani atakuwa tayari kuyasema na hana hofu ya kupoteza. Kuna watu watatu waliulizwa wakasema hawapo tayari. Jamaa wanasema wanataka ijulikane...
75 Reactions
94 Replies
8K Views
https://www.youtube.com/watch?v=Dhe1bpdrnXE Wabunge wamepitisha makadirio ya Mapato na matumizi ya Wizara ya Afya kwa mwaka wa fedha 2025/2026, jijini Dodoma leo Juni 3, 2025. Katika mjadala wa...
0 Reactions
4 Replies
503 Views
Kuzungusha maneno kuwa utekeaji unao endelea ni kwa sababu Mamlaka ya uteuzi wa Wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama ndio hiyo hiyo inaweza kuwatengua, maana yake unautangazia ulimwengu kuwa...
0 Reactions
0 Replies
244 Views
Kwa hakika, nchi yetu haijawahi kuwa na Serikali adui mkubwa kwa Wananchi Kama hii ya Sasa. Hata Serikali ya mkoloni haijwahi kuwa mbaya na adui wa wananchi kwa kiwango tunachoshuhudia sasa. 1...
0 Reactions
0 Replies
197 Views
Kama ilivyo kawaida maisha ni fedha, kwa lissu, mbowe, Lema na wote mnaowaona wanapiga kelele kwa kivuli cha Demokrasia, Bwana Gwajima alishayaona ya mbeleni ya kwamba kwa kuwa hakuna...
5 Reactions
37 Replies
2K Views
Najalibu kutafakali kwa haya yanayotokea huyu Mama baada ya kustaafu sizani kama atabaki Tanzania kama marais wenzake waliomtangulia,namuona yeye na familia yake wakienda kuishi Oman huku nyuma...
2 Reactions
2 Replies
350 Views
Suala la barua kwa kanisa la Gwajima kuhusu kufungiwa alafu mamlaka husika kuingia mitini bila kujibu ni kama mamlaka ya mama samia inapima upepo. Sasa sisi msimamo ni ule ule tunapinga vikali...
9 Reactions
23 Replies
1K Views
Hivi huyu nabii kuita mtu Kenge wa Zanzibar hilo kanisa lake lapaswa kuwepo? https://youtu.be/go_JQCoN2FI?si=2v6uwKr6T2sxQnPK
1 Reactions
6 Replies
616 Views
Katika hali ya kawaida nani anaharibu amani..? "....Je, ni anayetumia nguvu kubwa na kusisitiza uchaguzi uende anavyotaka yeye au yule anayesema jamani turudi mezani ili tuangalie mifumo yetu ya...
12 Reactions
15 Replies
948 Views
Kiongozi wa Dini ya Waislamu Sheikh Mwaipopo amjia juu Rais wa Baraza la Maaaskofu wa kanisa katoliki (TEC) Askofu Dkt. Pisa kwa kutoa kauli ya kulaani na kutaka Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu...
5 Reactions
121 Replies
7K Views
“Nani anaharibu amani, anayetumia nguvu uchaguzi uende anavyotaka yeye au anayesema turudi mezani mfumo wa sasa hautupi viongozi wanaopatikana kwa HAKI na KWELI?.. Waliokamatwa kwa kudai HAKI...
9 Reactions
10 Replies
897 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…