Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwema Wakuu! Baada ya kuzifuatilia Siasa za nchi hii Kwa takribani miaka kumi sasa, nachelea kusema mwakani Mungu akipenda nitajiunga na mambo ya Siasa. Nitafanya Siasa za kuibadilisha nchi hii...
4 Reactions
99 Replies
5K Views
Waziri Kombo apokea Nakala za Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Sudan Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thatib Kombo (Mb.) amepokea...
2 Reactions
7 Replies
484 Views
Hali ya kisiasa Tanzania sasa ni ngumu, na CHADEMA iko kwenye wakati wa changamoto kubwa. Wananchi wanapigwa na polisi, viongozi kama Tundu Lissu na John Heche wanakabiliwa na ukandamizaji, na...
2 Reactions
6 Replies
662 Views
Msajili wa vyama vya siasa ametengua uongozi wa CHADEMA uliopatikana kwa mkutano na uchaguzi batili. Kama viongozi wote wale ni batili maana yake hata kamati kuu ni batili pia, hivyo haiwezi...
3 Reactions
132 Replies
5K Views
Sheikh hatakiwi kuivaa siasa. Ukimuona sheikh anaivaa siasa mwisho wake huwa mbaya huangukia kuwa chawa wanasiasa kama sheikh Ponda hivi sasa na heshima kwa jamii hushuka. Tumuangalie Mtume...
1 Reactions
3 Replies
306 Views
Je Rais hawezi waita wazee akazungumza nao? Je rais uwezi it's viongozi wa Dini wote ukazungumza nao UKAPOKEA MAONI Yao dhidi ya Hali inayoendelea nchini? Kweli Hali ya utekwaji inayotajwa haiumizi?
6 Reactions
21 Replies
1K Views
Kwa kiasi kikubwa agenda ya No reforms No election imefanikiwa kupenya na kuwavuruga watawala. Kukataa kwamba haiwasumbui itakuwa ni kujidanganya Watu wanaweza kudharau yanayoendelea mitandaoni...
4 Reactions
22 Replies
1K Views
Juzi Alhamisi nilifika Muheza Tanga usiku. Nilipokuwa home umeme ulikatika kama mara mbili hivi huo usiku. Kesho yake ijumaa simu ikawa inakaribia kuisha chaji. Nikatoka kwenda kununua waya wa...
7 Reactions
8 Replies
524 Views
Nitashangaa kama kuna Mjumbe atalia njaa baada ya hili zoezi. Nakumbuka 2020 KAWE ilikua ni mwendo wa Miamala kupitia simu za Wajumbe (hapo Wagombea wanakua na namba za simu za Wajumbe wote. Pesa...
0 Reactions
9 Replies
332 Views
Hapa sikiongelei Chama, nawaongelea mashabiki na wanachama mbakimbali wa CHADEMA ambao wamekuwa wakiwaandana CHAUMMA na kufikia hatua ya wengine kwenda kwa wingi kwenye mikutano yao. Kitendo hiki...
4 Reactions
16 Replies
696 Views
Mama yetu alipoingia madarakani, alipiga kazi moja nzuri mno ya kupendeza katika miezi ya awali ya utawala wake, alikuwa ni mtu wa kuzungumzia haki, kukataa dhulma, kuunganisha Taifa, kiufupi...
8 Reactions
25 Replies
1K Views
Kitendo hicho kinapaswa kuchunguzwa kwa kina na kujua kinatokea wapi na nani anahusika. Mipaka ya nchi kwa sasa si ile beacons za ardhini tu, hata mipaka ya kiteknolojia ipo. Kanuni za uwanja wa...
2 Reactions
82 Replies
4K Views
Kiongozi yeyote wa dini anayesema eti tulinde amani tuliyo nayo, ni kiongozi mnafiki, mwongo, anayetumika na waovu. Kiongozi wa namna hiyo tumpuuze. Watu wanatekwa Watu wanauawa Watu wanapigwa...
3 Reactions
7 Replies
479 Views
Habarini za leo wadau, Kwa kawaida bunge la jamuhuri ya Muungano wa Tanzania,linafanya kazi ya kutuwakilisha wananchi kwa sababu hatuwezi watu wote kwa ujumla wetu kwenda kutunga sheria za nchi au...
1 Reactions
2 Replies
425 Views
Tafuta shughuli ya kufanya 2025-2030
-5 Reactions
28 Replies
1K Views
Nafurahi kuona serekali yetu inachukuwa hatua za kimya kimya kushughulikia wote wanaojihusisha na matendo ya utekaji na matendo yote yasiyo mema, Napongeza kwa hatua ya ukimya huu, na pia kwa...
1 Reactions
25 Replies
765 Views
Jamaa ka-post video ya show zake watu wanatiririka na comments za NO REFORMS, NO ELECTIONS. Viongozi wa dini kama kina Malasusa na wengineo wajiandae. Tutaelewana tu.
33 Reactions
37 Replies
3K Views
Wakristo tunashambuliwa, tujitetee! Gwajima Kitima
23 Reactions
248 Replies
10K Views
Inaskitisha sana, Rais wetu leo anatumia haki yake ya kikatiba ya kuabudu, yupo msikitini katika maadhimisho ya EID, Lakini kuna watu zaidi ya elfu 20 ambao wamewanyimwa haki hiyo ya kikatiba ya...
7 Reactions
42 Replies
2K Views
Ungekuwa ni askofu wa Kanisa Katoliki, Gwajima ungebanwa wewe binafsi na sio kanisa lako kufungiwa. Lakini kwa kanisa la Ufufuo na Uzima la askofu Josephat Gwajima, haya yamewezekana kwasababu...
1 Reactions
28 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…