Mpo Salama!
Hata wanaomchukia wanakiri kuwa Rais Samia alipoingia aliwatia katika wakati Mgumu.
Kwanza, aliamua kufuata Haki ya watu kuwa Huru Kujieleza. Hiyo nilimpa Big tick!
Katika haki hiyo...
Baadhi ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM kata za Jimbo la Moshi Mjini wamealikwa na Mbunge wa jimbo hilo Mhe. Priscus Tarimo katika ukumbi wa CCP uliopo Chuo cha Polisi Moshi leo 19.6.2025 kwa...
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe David Kafulila kupitia Ukurasa wake wa Instagram amewafunda wanaolalamika Kuhusu ukuaji wa deni la Taifa.
Kafulila amesisitiza kama Taifa lazima...
Alichokizungumza hapa kina resonate vizuri sana na hali kisiasa iliyopo.
“If a petty tyrant gets somewhere, we’ve got to remove him [or her].
Pia, kumbe Nyerere naye alikuwa ni globalist 😀...
Mwaka huu navyojuwa hakuna uchaguzi kila mtu anajuwa jambo moja mama kajiteua kupeperusha bendera na wabunge anao mfukoni !
Niliwahi kusema nchi hii inataka kutawaliwa na kundi dogo linalojiona...
Mhe, Rais niliojitihada zako za kuratibu na kujenga miradi yote ulionza nayo na Hayati Magufuli, na uliniita ukaniambia tumeachana mzigo huu ni wetu sote pamoja na watanzania, ni lazima...
CCM huwa wanabeba watu kutoka sehemu mbalimbali nchini ili kujaza Uwanja hasa anapokuwepo Kiongozi wa Kitaifa kama Rais. Na kweli uwanja unajaa na Mgeni anafurahi.
Japo ni hatari na hairuhusiwi...
GT
Hapa tanzania ukiondoa Arusha na mbeya, kanda ya ziwa nako ni kugumu sana kwa chama cha mapinduzi ni kwa sababu moja tu watu wa huko wamenyooka hawapendi uongo uongo, na ukiwadanganya wanajua...
Katika kina cha Ziwa Victoria ziwa kubwa kabisa barani Afrika, lenye mawimbi yasiyotulia na upepo wa ghafula ni nadra kuona ua likimea katikati ya maji, likadumu, na zaidi likachanua kwa uzuri wa...
Wakuu nimeshuhudia miaka mingi ya uchaguzi miezi kama hìi kunakuwa na shamra shamra za uchaguzi! Mwaka huu kulikoni au kwa sababu mshindi alishapatikana???
Jeshi la polisi linasema watu wanajiteka, sijui wivu wa mapenzi, ushirikina, na madeni.
Hebu tuchambue baadhi ya matukio ya utekaji yalivyokuwa,
Kwa mfano utekaji wa kiongozi wa CHADEMA aliye...
Dunia ya sasa vijana mahiri hawafanyi tena siasa bali wamejikita kwenye mambo ya sayansi na teknolojia
Jambo la kumkumbuka Mbowe pale Chadema ni namna alivyokuwa muangalifu kuchagua vijana wa...
"Wanasiasa wengi wa upinzani Afrika ni kama watoto wa Kitanzania waliokuwa na ndoto za kuwa madaktari, marubani, wahadisi n.k., hadi walipopewa hesabu ya kidato cha pili, wakaamua bora wauze...
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira, amesema amesikitishwa na mbunge (hamkumtaja jina) aliyesema anamdai Rais Dk. Samia Suluhu Hassan wakati wenzake hawana deni naye na...
Mbunge wa Moshi Vijijini, Prof. Patrick Ndakidemi ametaka kujua lini Serikali itatunga Sheria itakayomshurutisha mtoto kuwatunza Wazazi wake wakizeeka ambapo amejibu Naibu Waziri wa Maendeleo ya...
"Ushauri kwa vyama vya upinzani Tanzania ya kuishinda chama tawala CCM, zingatieni haya ndani ya vyama vyenu,
Muwe na viongozi wenye dira chanya,
Fanyeni tafiti juu ya shida za wananchi na...
Kwa Mujibu wa sheria za Uchaguzi ni kosa kubwa kwa Mgombea kuanza kufanya kampeni kabla ya muda maalum uliopangwa na Tume.
Kwa zaidi ya miezi miwili sasa, Bidhaa mbalimbali zenye nembo na chapa...
Sikubali kamwe yakuwa Magufuli kwa akili zake timamu Aliua mazao hayo ya kimkajati kwa jinsi alivyokuwa mpiganiajibl wa watu wa Hali ya chini nchini Tanzania na Samia na Bashenayafufua I will...