Nimesikikiza mara nyingi tu lkn Sioni walipo sema wamekosea na kuomba radhi Watanzania.
Naomba tumsikikize ili nasi tujue nini kilisababisha Hawa watu kuyaongea Haya kwa kujiamini Tena bila ya...
Hivi neno uzalendo mnajua maana yake? Mbatuambia tuipende nchi yetu huku nyie wenyewe mkiishi kwenye dimbwi la anasa na watoto wenu.
Bei ya mafuta Huko duniani imeshuka Kwa kiwango cha chini...
This is not just a story about poverty. It is a story about survival, a mother's sacrifice, and a child's determination to find hope in the darkest moments.
Will this young boy escape the village...
Hello watanzania.
Kwa sasa ata kama we ni chawa ni dhahili anguko la Samia unaliona, Samia wa 2021-2023, sio Samia huyu. Samia wa enzi zile alikuwa anapendwa na watanzania japo sio wote na...
Mbunge wa Bunda Mjini, Ester Bulaya, amesema hakuna Mtanzania ambaye anatamani kuona matukio yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Amesema matukio hayo yaliathiri na...
Kwa nijuavyo, hatujawahi kuwa na waziri wa fedha mzenj tangia Nyerere hadi Magu.
Najua Fedha si suala la muungano huenda ndiyo maana wote wenye akili timamu waliamua kutokuwa na mawaziri wa fedha...
Chama Cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) kimetoa shukrani zake za dhati kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwapatia magari mawili (Toyota Land Cruiser...
Leo, shinganya waumini wa KKKT wamekataa upuuzi wa kutumika imani yao na kanisa kumsafisha Samia. Kulikuwa na kampeni kubwa sana imeandaliwa na michango ya mabilioni ya fedha kutoka kwa serikali...
Ndugu zangu Watanzania,
Wale wanaharakati uchwara waliokuwa wanafanya uchochezi, kuchochea machafuko ,kutoa kauli za kupandikiza chuki , uchonganishi na uzushi wa kila aina ili kuwahamasisha...
Kwa sasa, hakuna mtu mwenye kusikika na kusababisha utata kama mwana wa mfalme Muhoozi Keinerugaba. Anakamata wale wanaopinga. Anafungia vyombo vya habari. Anatoa matamshi kana kwamba yeye ndiye...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, amedai kuwa alifuatiliwa na watu aliowatambua kuwa ni askari wa polisi waliokuwa wameficha nyuso zao na kubeba silaha za moto wakati wa safari yake kutoka...
Nikiona Katambi Mimi simwoni kama mwanaccm, kamwe huyu ni zao la mbowe,
Najiuliza hata Dr Mashinji kweli au wakina lijualikali HAYA ni maproduct ya mbowe na heche.
UTANGULIZI
Taarifa ya maandishi, ya tarehe 07 Oktoba 2025, kutoka "Ofisi ya Mkuu wa Jeshi la Polisi, Makao Makuu ya Polisi," huko Dodoma, ambayo "Imetolewa na Msemaji wa Jeshi la Polisi Nchini,"...
kuanzia kizazi cha kikwete yaani kwa ufupi wale walio zaliwa 1950 mpaka 1965 hawa ndiyo wametuletea rushwa, wizi, na umasikini wa kutupa tulio nao. Lakini wakati huo huo viongozi wenzao wa vizazi...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amefanya kikao na viongozi wa mkoa huo pamoja na Mkoa wa Pwani kwa lengo la kutafuta suluhu ya kudumu ya foleni katika jiji hilo.
Akizungumza...
NIMEMSIKILIZA mtu anayejiita sijui waziri mkuu kivuli.. (vyeo vya kusadikika) ambaye ACT Wazalendo walitaka awe mgombea wao wa urais lakini sijamuelewa kwenye mambo mengi sana
SITAKI kuongelea...
Kupitia ukurasa wake rasmi wa X, mfanyabiashara na mwizi wa uchaguzi Wicknell Chivayo ameweka wazi azma yake kuwekeza kiasi cha takriban Tsh. Bilioni 500 (Dola Milioni 200) katika sekta ya utalii...
Sekretarieti ya Chama cha Ukombozi wa Umma CHAUMMA imewasilisha waraka Maalumu kwa Kamati kuu ya Chama hicho ya kutokuwa na imani na Katibu Mkuu wa CHAUMMA na mgombea Urais wa Chama hicho katika...
Sekretarieti ya Chama cha Ukombozi wa Umma CHAUMMA imewasilisha waraka Maalumu kwa Kamati kuu ya Chama hicho ya kutokuwa na imani na Katibu Mkuu wa CHAUMMA na mgombea Urais wa Chama hicho katika...
Wakili Peter Kibatala amelionya Jeshi la Polisi kuwa linaweza kuendelea kupoteza imani ya umma iwapo halitachukua hatua za kisheria dhidi ya Mzee Clemence Mwandambo, kufuatia kusambaa kwa video...