Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,282
- 15,720
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia Wananchi wa Wilaya ya Busega Mkoa wa Simiyu, leo tarehe 19 Juni, 2015
Rais Samia Suluhu Hassan akifungua mradi wa Maji na Usafi wa Mazingira wa Lamadi, Wilayani Busega wakati akihitimisha ziara yake ya kikazi mkoani Simiyu.
Rais Samia Suluhu Hassan akiweka jiwe la msingi la Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi Mkoani Simiyu, katika eneo la mradi, wilayani Busega.
===
"Ndugu Wananchi ninayofuraha kubwa sana kuungana nanyi leo katika hafla hii ya uzinduzi wa Mradi wa Maji Lamadi, pamoja uwekaji jiwe la msingi la Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi hapa Mkoani Simiyu."
"Miradi huu una mambo Matano makubwa kwanza upatikanaji wa Maji, Kilimo na masuala ya Ufugaji na Uoto wa Asili, Kuongeza wa Wizara Kiutaalamu na Kiutendaji kazi, Vifaa vya kutendea Kazi, Mradi wa Majitaka na Uhifadhi wa Mazingira"
"Niwahimize Wananchi wa Simiyu kutoa ushirikiano wa kutosha kwenye utekelezaji wa Mradi huu"
"Ndugu zangu maeneo haya yamekuwa na changamoto kubwa sana ya upatikanaji wa Maji ndio maana Serikali imeamua kutekeleza mradi wa Lamadi ambao nimeuzindua hivi punde"
"Mradi wa Lamadi pamoja na huu niliouweka Jiwe la Msingi hapa, kwa pamoja itaboresha huduma ya majisafi na usafi wa mazingira katika mkoa wote wa Simiyu"
"Miradi hii itakuwa ni mkombozi mkubwa kwa Wananchi wa Mji wa Lamadi, Nyashimo, Bariadi, Liganga sambamba na Vijiji 103 katika awamu ya kwanza ya Utekelezaji wa mradi huu"