Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

https://www.youtube.com/live/CSYHcygl-bk UTANGULIZI Juni 12, 2025 Serikali iliwasilisha Bungeni Bajeti yake ya mwaka 2025/2026. Hii ni Bajeti ya Tano kusomwa tangu Rais aingie madarakani na...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kimsingi Marafiki wa Tundu Lissu ni Wananchi wote wa Tanzania, kasoro Viongozi wa Tanzania na familia zao, Mashemeji zao na Chawa wao. Kwa maana hiyo hii ni siku ya Maombi Kitaifa
21 Reactions
44 Replies
2K Views
Dua ya Sheikh wa Mkoa wa Mwanza Hassan Kabeke mbele ya Rais Samia "Nchi yetu ina utamaduni wake ina culture yake, ina aina ya maisha yake. Tunakuomba vyama vyote vinavyoshiriki uchaguzi mwaka...
1 Reactions
16 Replies
636 Views
Dunia Nzima imeelekeza kwamba, Bila Reforms hakutakuwa na Uchaguzi wowote Nchi hii kwa mwaka 2025, hakuna uchaguzi wa Rais, Mbunge wala Diwani, (Hii ni kwa Mujibu wa maono ya Mungu) Kwahiyo...
16 Reactions
42 Replies
2K Views
Makampuni na Mabenki hawana sababu tena ya kukwepa kodi kwa kuwa wamerahisishiwa sana kupitia mfumo wa Retained Earnings’ ambao ni Suluhu ya kuzuia Uepaji Kodi wa Makampuni Makubwa nchini. Twende...
0 Reactions
3 Replies
450 Views
Katika jamii nyingi za Kiafrika, hususan katika mataifa yanayoendelea, mwananchi wa kawaida amewekwa kwenye mzunguko wa ujinga wa kimfumo, ujinga ambao hauhusiani na kutokujua kusoma na kuandika...
0 Reactions
1 Replies
283 Views
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari amesema anashangazwa na kauli ya “No reforms, no election” ikizingatiwa kuwa mabadiliko ya kisheria yaliyopendekezwa na vyama vya siasa tayari...
2 Reactions
38 Replies
2K Views
Watanzania wamehimizwa kuhakikisha wanashiriki uchaguzi Mkuu ujao ifikapo mwaka 2025 Oktoba huku wakiaswa kushiriki uchaguzi huo kwa amani na kutoiga mataifa mengine ambayo yanaingia kwenye vurugu...
0 Reactions
11 Replies
527 Views
"Train your child to speak with sense; otherwise, the Republic will, and its lessons come with consequences." — Alloyce, P.R.
2 Reactions
5 Replies
410 Views
Leo, June 21, 2025, JNICC katika kongamano la sheria kuelekea uchaguzi mkuu, lililoandaliwa na Chama cha mawakili wa serikali, Mh. Jakaya kikwete, amesimulia kisa cha kufikirisha sana. Kwakifupi...
1 Reactions
2 Replies
551 Views
Kiukweli katika marais wote ni mzee Mwinyi tu ndiye alipokea nchi ikiwa hou bin taaban kiuchumi Akajitahidi kuiinua na sasa ndio unawaona hadi Wanasiasa wa viti maalum wanaota vitambi na ndevu...
4 Reactions
28 Replies
836 Views
Shughuli hii inafanyika muda huu Karimjee , Mh Nape ambaye ni Waziri wa Habari ameongoza kundi la Mawaziri kuingia eneo la tukio. Watu ni wengi sana na bado wanaendelea kumiminika Mwili wa...
11 Reactions
63 Replies
6K Views
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Mh Jakaya Kikwete, leo Jumatatu ni miongoni mwa wadau waliofika nyumbani kwa Lowassa kuhani Msiba na kushiriki Maombolezo , ameambatana na Mkewe Mama Salma...
9 Reactions
40 Replies
4K Views
Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake wa ACT Wazalendo Janeth Ritte ametoa wito kwa wanawake kuungana na chama cha ACT Wazalendo ili kuitoa CCM madarakani kwa kile alichodai kuwa baadhi ya matukio...
0 Reactions
17 Replies
913 Views
Chadema wameitisha kikao cha dharura cha kamati kuu ya chama hicho. Moja ya malalamiko ya G55 ilikuwa kwamba viongozi wanafanya ziara za kukusanya posho na hawaitishi kikao cha kamati kuu kujadili...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA (Bara), John Heche amezuiwa kushiriki kipindi cha Cafe Talk kitakachofanyika kesho Juni 22, 2025 jijini Dar es Salaam. Taarifa kutoka kwa wanandaaji wa kipindi hicho...
2 Reactions
40 Replies
3K Views
Takwimu za kidunia zinaonesha kuwa idadi ya Wajane ni takriban millioni 258 kati ya hao, Wajane 115 millioni wanadhulumiwa, wanafanyiwa ukatili, wanakabiliwa na umaskini na kutengwa na jamii...
2 Reactions
14 Replies
756 Views
Mabasi na malori yanatumika sana kubeba watu toka maeneo tofauti na kuwapeleka mahali ambapo mikutano ya CCM inafanyika. TABOA na TATOA nao watoe tamko la kuzuia mabasi na malori yao kubeba watu...
4 Reactions
16 Replies
811 Views
Katika hali isiyo ya kawaida mahakamani, leo Juni 16,2025 Hakimu alitangulia kuingia ukumbini kabla ya mtuhumiwa, Mbunge wa zamani na Mwanasheria, Tundu Lissu. Mara baada ya Hakimu kuingia...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Kwa wanayoangalia haya mambo yanavyokwenda Kuna namna wananchi wameamka na kuelewa kinachoendelea kwaiyo sasa ni rasmi kuwa watanzania si wajinga tena kwenye mambo ya siasa. Wanajua kutofautiasha...
2 Reactions
3 Replies
305 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…