No reform no Election
Reform zitafanyika kabla ya uchaguzi
Kwa sababu Sheria za uchaguzi xilixotungwa kwa Sasa ni batili na ni kinyume na katiba
Machawa na waropokaji mjiandae!!
Yeyote...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema Rais Samia ameagiza kila wilaya ambayo haina VETA ya serikali ijengewe VETA ya serikali. Ujenzi unaendelea katika wilaya 64...
Moshi mke wa mwanasiasa, hapa mwasiasa yupo tayari kumtia mkewe kafara Ili ashinde,
Pili mtoto wa kwanza wa mwanasiasa.
3.mtoto wa MWISHO wamwanasiasa
4. Walemavu hapa Hasa wa ngozi
A5.watu...
Ni mda mrefu umepita sijamsikia huyu kiongozi kipenzi cha WanaKahama
Si mwingine ni ndgu. Fadhili Nkurlu
Mara ya mwisho alikuwa mkuu wa Wilaya ya Kahama.
Mwezi ulioisha nilikuwa kahama kikazi...
Wakuu,
Wacha waendelee kutubaragaza mpaka tutoe mlio!
=====
Serikali iko mbioni kulipa mabilioni ya shilingi ya walipa kodi, kwa Harbinder Singh Sethi, anayejiita mmiliki wa kampuni ya kufua...
Nina Imani Dr slaa atakuwa amelala, na Dr Jakaya atakuwa amelala Mimi Niko macho doria namlinda mkubwa ambae nimepita dirishani NASIKIA purukushani za kuomba morning grory kwa mkewe yote haya...
Ccm Haina huruma kwa Nini?
Kweli uchaguzi ujao wapo tayari kutuongezea mizigo hii
Yaani makonda na Harmoniza?
Mimi nauliza ccm mbona Haina huruma?
Najiuliza Harmoniza, baba levo stivu...
Leo sina mengi ,ila imani ya Mungu ikawe juu yenu wanajf kila mmoja kwa imani yake.
Yupo huyu Bwana aliekua CHADEMA Yeriko Nyerere.
1.Akome jiita Nyerere , maana kwanza sio mtoto wa Nyerere...
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Dkt. Ashatu Kijaji amesema wanaokosoa wanapiga kelele, amwambia Rais Samia achape kazi
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia...
Ndugu zanguni,
Kama mjuavyo, siku zinavyozidi kwenda ndio Chadema inavyozidi kuyeyuka kama barafu kwenye jua kali.
Wengi tumeshuhudia matamko kila kukicha kutoka kwa makamanda na viongozi, wote...
Tumeshuhudia umati WA vijana wanao jiita Wadudu, wakiamdamana wakidai Makonda take hasitake watamchukulia form na atakuwa mbunge popote
Uko kwingine Gambo nae anazidi kujigamba kama majina yake...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imewahukumu aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha, Dk John Pima na wenzake wawili kifungo cha miaka 20 jela baada ya kukutwa na makosa ya uhujumu...
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa, akimbusu mke wake Mariamu, wakiagana naye kabla ya kuingia bungeni kuwasilisha hotuba ya taarifa ya makadirio, mapato na matumizi ya...
Tuna amini kwamba tawala zote duniani utoka kwa Mungu!
Ni kweli maana Mungu ndo muumba wa vitu vyote!
Chaguzi zote za haki ni sehemu ya kumpendeza Mungu! Chaguzi za dhuluma ni machukizo ya...
Ukweli ni kuwa ndg Tulia hajawahi kuwa kipenzi cha wana mbeya kwa kiwango kikubwa
2020 alishinda ubunge kwa heshima ya magufuli, magufuli alikubalika sana mbeya upepo ukawa upande wa Tulia...
Kijana mmoja Mkristo Mkatoliki ameandika barua ya wazi kwa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) akieleza masikitiko yake juu ya kile anachokiona kuwa ni kuingizwa kwa Kanisa katika mijadala...
Leo, Mahakama Kuu Kanda ya Mtwara inatarajia kutoa hukumu dhidi ya maafisa saba wa polisi wanaokabiliwa na shtaka la kumuua mfanyabiashara wa madini, Mussa Hamisi, ambaye alikuwa mkazi wa Kijiji...
KUMKATA MAKONDA SI MAAMUZI YENYE AKILI
Na, Robert Heriel
Ikiwa CCM itaamua kumkata Mhe. Paul Makonda itakuwa imefanya maamuzi yasiyo na busara. Yatakuwa ni maamuzi yasiyo na akili. Makonda ni...