Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye Kurehemu Mpendwa Sheikh Ponda, Assalaamu alaykum warahmatullah wabarakatuh, Kwa heshima na unyenyekevu mkubwa, ninakuandikia barua hii...
6 Reactions
42 Replies
2K Views
Samia Ruvuma tumekukosea Nini? Hili swali Nilimuuliza magufuli na Leo na kuuliza wewe. Tumekukosea Nini? Wewe na serikali yako hawa wangoni, wayao, wandendeule na wamatengo wamekukosea Nini...
9 Reactions
28 Replies
2K Views
TRC kuanza kusafirisha mizigo kesho tarehe 27 Julai 2025 https://youtu.be/LWFqjrVKzpM
0 Reactions
1 Replies
348 Views
Kanisa la Sabato huwa halitaki mwanasiasa asimame madhabahuni kuhubiri.Mchungaji wa Kurasini aliyemkaribisha Heche kuhutubia madhabahuni afukuzwe kazi Huyo Askofu atimuliwe.. Sabato kurasini...
-1 Reactions
70 Replies
4K Views
Mbunge na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Angelah Kairuki amesema hakuna mwenye Ubavu wa kuitoa CCM kwani Chama hicho kimesimikwa kwenye Misingi demokrasia na Utawala bora...
4 Reactions
61 Replies
3K Views
Busara tuliyopewa na wazee wetu ni kutafakari zaidi yale yasiyosemwa kuliko yanayosemwa. Haya yasiyosema yadikilizwe zaidi kama si kosa la jinai. Kwani uongo unaporudiwa mara kwa mara huonekana...
10 Reactions
177 Replies
4K Views
Mtia nia wa nafasi ya Ubunge katika Jimbo la Bariadi Vijijini, Mesela Giligisi Mgamba, leo tarehe 26 Juni 2026 ametangaza rasmi nia yake mbele ya wanahabari na wafuasi wake. Akizungumza mara...
0 Reactions
0 Replies
424 Views
Chama Cha Mapinduzi kimeeleza sababu za kuzuia shamrashamra za matarumbeta,ngoma,wapambe na pilipiki katika kuchukua na kurudisha fomu za ubunge na udiwani Taarifa kwa umma iliyotolewa na Katibu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kamwe msipuuze Wananchi. Wananchi wakipuuzwa na wakakasirika hugeuka kuwa wanyama tena zaidi ya wanyama wa mwituni. Msidhani kwamba yanayotokea Kenya hayatakuja hapa. Kenya ni karibu na...
11 Reactions
55 Replies
3K Views
Ni wazo Tu, Kama Itawapendeza.Kuna watu wengi sana ambao wamepotea na kuuwawa katika harakati mbalimbali za kidemokrasia.Je itakuwa ni Jambo zuri kama Tukiwajengea Mnara wa Kumbukumbu ambapo...
1 Reactions
10 Replies
596 Views
Amani ya Bwana ikawe juu yenu wote wanajf kila mmoja kwa imani yake. Rejea mada tajwa hapo juu wakuu. Leo Mungu amenitaka kumzungumzia uyu mzee Askofu Bagonza kumtunza kwa wivu mkubwa sana kama...
4 Reactions
27 Replies
1K Views
Hii ndio orodha ya Nchi 10 Zenye viwanda Vingi Afrika. 1.South Africa 2.Egypt 3.Nigeria 4.Morocco 5.Kenya 6.Algeria 7.Ethiopia 8.Ghana 9.Tunisia 10.Zambia. My Take Kama Nchi tuna kazi ya kufanya...
4 Reactions
101 Replies
4K Views
Isimani Iringa mh Lukuvi Haiti Morogoro Mh Shabiby Morogoro mjini Mh Abood Mbeya mjini Mh Sugu Kongwa Mh Ndugai Nk. Nk
3 Reactions
28 Replies
878 Views
Naomba ufafanuzi wa kikatiba iwapo Mtu mwenye kesi mahakamani lakini hajatiwa hatiani anaweza kugombea Ubunge au Urais Nimekaa pale 🐼✔️
1 Reactions
2 Replies
352 Views
Kuna ujinga umezuka huku mitandaoni wa wanasiasa na wanaharakati uchwara kudandia siasa za nchi ya Zambia wasizozijua mara baada ya kifo cha aliyekuwa rais wa Zambia, Mr Edgar Lungu. Wanachukua...
7 Reactions
22 Replies
1K Views
Mimi nafanya kazi ya ulinzi Siku ya Leo sikua vizuri nilikuwa najisika vibaya kiongozi alinikuta nimemlala nakunipga picha mi nachojua ukikutwa nakisa kama ilo unakatwa pesa lakini Cha...
11 Reactions
58 Replies
3K Views
Akizungumza na waandishi wa habari, Katibu Mkuu wa ADC, Mwalimu Hamad Azizi, amesema mkutano huo utafanyika tarehe 29 Juni 2025, ukiwa ni sehemu muhimu ya maandalizi ya chama hicho kujipanga...
1 Reactions
2 Replies
318 Views
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharib Unguja Mheshimiwa Idrissa Kitwana Mustafa amepiga marufuku matumizi ya picha za makaratasi kwa wagombea katika maeneo yota ya mkoa huo huku akitaka watumie picha za...
0 Reactions
2 Replies
403 Views
Je, kuteka raia wasio na hatia, kuwaua wanaharakati wa haki za binadamu, na kusaka watu kwa sababu tu wamekosoa mfumo dhalimu ni halali? Hivi tumefikia hatua ya kuwa taifa ambalo linaogopa hata...
17 Reactions
49 Replies
2K Views
Baada ya Yanga kushinda ile Mechi, Ndugu Ally Kamwe alionekana akijaribu kushangilia kwa kuzunguka uwanja akiwa kabeba tambala kubwa likiwa na picha ya Rais wa Tanzania, baada ya hapo Akaanza...
2 Reactions
8 Replies
676 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…