Kwanini waliopeperusha Kitambaa chenye Picha ya Rais kwa Mkapa walizomewa?

Kwanini waliopeperusha Kitambaa chenye Picha ya Rais kwa Mkapa walizomewa?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,033
Reaction score
288,387
Baada ya Yanga kushinda ile Mechi, Ndugu Ally Kamwe alionekana akijaribu kushangilia kwa kuzunguka uwanja akiwa kabeba tambala kubwa likiwa na picha ya Rais wa Tanzania, baada ya hapo Akaanza kuzomewa!

Punde si punde akatokea jamaa mmoja kutoka Ng'ambo anaitwa Arafat akachukua lile Tambara na kulikimbiza mithili ya Mwenge wa Uhuru naye akaanza kuzomewa pia! Nikashangaa inakuwaje washabiki wa Yanga wawazomee viongozi wao.

Nilichoelewa ni kwamba mashabiki hao hawakupenda lile Tambara (Sijui kwanini)

Au wewe unadhani kwanini Washabiki walizomea badala ya kushangilia ushindi?
 
Baada ya Yanga kushinda ile Mechi, Ndugu Ally Kamwe alionekana akijaribu kushangilia kwa kuzunguka uwanja akiwa kabeba tambala kubwa likiwa na picha ya Rais wa Tanzania, baada ya hapo Akaanza kuzomewa!

Baada ya Hapo akatokea jamaa mmoja kutoka Ng'ambo anaitwa Arafat akachukua lile Tambara na kuanza kuzomewa pia! Nikashangaa inakuwaje washabiki wa Yanga wawazomee viongozi wao.

Nilichoelewa ni kwamba mashabiki hao hawakupenda lile Tambara.

Au wewe unadhani kwanini Washabiki walizomea badala ya kushangilia ushindi?
WALISHANGILIWA SIYO KUWA WALIZOMEWA ACHA UCHAWA WA CHADOMO
 
UVCCM, UWT, BAKWATA, WAZAZI, YANGA na washirika wote wengine wa CCM inabidi mkubali mabadiliko
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom