Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Naona sasa huu umekuwa utani Namshukuru Mwenyezi MUNGU ,Rasmi nimetia ya kugombea Nafasi ya Ubunge jimbo la MBAGALA !! Wana Mbagala mimi ni mwenenu naombeeni mnipokee kwa mikono miwili
0 Reactions
0 Replies
250 Views
Mhandisi wa masuala ya Ujenzi na Kada wa Chama Cha Mapinduzi CCM Injinia Germano Barnabas Ngusa ,amejitosa kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea Ubunge katika Jimbo la Nzega Vijijini...
0 Reactions
7 Replies
772 Views
Ndugu zangu najaribu kuwaza kwa sauti baada ya mchakato wa chama cha mapinduzi wa kuchukua form kuanza leo, nimeona mambo ambayo yanatafakarisha sana. KUmekua na wimbi kubwa la watu maarufu...
0 Reactions
0 Replies
221 Views
Wakuu JF wana Yanga na wa Tanzania wote kwa Ujumla wenye Mapenzi mema na nchi yetu Amani ya Mungu wetu ikae nanyi Daima. Niweke wazi in advance kuwa mimi ni Mtanzania, shabiki wa Yanga na ni...
3 Reactions
8 Replies
749 Views
Joffrey Mwankenja mkazi wa Chunya Mkoani Mbeya amejitokeza ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya leo Juni 28 kuchukua fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Lupa. Kupata...
0 Reactions
1 Replies
371 Views
Habari Wakuu, Ili kuzifikia nyuzi hizi kirahisi, hapa utapata orodha yote ya mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kwenye ushiriki wa Uchaguzi Mkuu 2025, ambamo ndani yake utapata links za matukio...
4 Reactions
17 Replies
18K Views
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson, amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge katika Jimbo jipya la Uyole, mkoani Mbeya. Kupata matukio na taarifa zote...
1 Reactions
3 Replies
525 Views
Habari zenu wakali, kichwa cha habari chajieleza ningependa kujuzwa bunge la 12 la jamhuri ya muungano wa TZ lilipangwa kuvunjwa tarehe 27/6/2025 lakini mwenye mamlaka kikatiba kuvunja bunge Rais...
0 Reactions
1 Replies
440 Views
Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), Mhandisi Dkt. Samuel Gwamaka Mafwenga ambaye pia ni Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) amechukua Fomu ya...
0 Reactions
0 Replies
366 Views
Rais wa JMT anayarajiwa kuzindua rasmi kiwanda kikubwa zaidi Cha Kuzalisha Mbolea Tanzania na Afrika Mashariki. Rais Samia ataambatana na mgeni wake Rais wa Burundi kwenye uzinduzi wa kiwanda...
0 Reactions
3 Replies
436 Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA – Bara, John Heche ametoa wito kwa Mahakama kutumia Vyumba vikubwa wakati wa mchakato wa kesi ambayo Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, Tundu Lissu ameifungua katika...
0 Reactions
2 Replies
786 Views
Wakuu! Mtoto wa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, Jesca Magufuli anatajwa kuwa ni Miongoni mwa wanaotaka kugombea Ubunge kwenye Jimbo la Chato, Geita.
5 Reactions
38 Replies
2K Views
Ni angalizo tu maana Utopolo ya akina Mzee Mgaya tunawajua 😁 Ni hilo tu
0 Reactions
5 Replies
476 Views
Wakati uchukuaji na urejeshaji wa fomu kwa wanaotaka kugombea ubunge na udiwani, ukianza leo Jumamosi, Juni 28, 2025 kwa makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), harufu ya mchezo mchafu imeanza...
0 Reactions
2 Replies
369 Views
Mama leo hii na muda huu anafunga Bunge lake. Ni Bunge la Chama kimoja ni Bunge la kibabe na Bunge lisilotambua Vyama vingi!! Ndo maana hata Spika wakti anatambulisha wageni sijasikia Kiongozi wa...
6 Reactions
35 Replies
1K Views
Kwa Daudi Bashite kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha sina shida kwa kuwa ni cheo cha uteuzi. Ila Arusha kuwa na Mbunge mwenye haiba ya Bashite ni kudhalilisha Jiji la Arusha na wananchi wake. Imagine mtu...
22 Reactions
84 Replies
4K Views
Ndani ya siku mbili kuanzia Sasa, taifa litaongea lugha tofauti, Kuna jambo litatokea ambalo Kwa ustawi wa CHAUMA itakuwa ni kilio na kusaga meno. Usaliti ni mbaya, haraka haraka Haina baraka...
20 Reactions
60 Replies
5K Views
Maalim Seif alipewa kipaji cha kukubalika na kuaminika Unguja na Pemba kuliko mwanasiasa mwengine yoyote kutokea katika miaka hii 60 - 70 iliopita. Tundu Lissu amepewa kipaji cha kuwa binaadam...
3 Reactions
2 Replies
320 Views
wekezeni kwenye kuijenga chadema imara, msiangalie sana leo bali angalieni miaka 5-10 ijayo, kwa maoni yangu mpaka 2030 tanzagiza itakuwa imevurugwa na kuharibiwa na ccm kiasi kwamba yoyote...
2 Reactions
8 Replies
517 Views
Tundu Lissu amefikishwa katika Mahakama ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam kwa ajili ya kesi yake dhidi ya Jamhuri. Lissu amefungua kesi hiyo namba 14496/2025 akiomba marejeo ya...
22 Reactions
160 Replies
15K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…