Hakuna Bunge linavunjwa Kesho. Code ya Zanzibar inatosha kuamini hilo.

Hivi ilipaswa Bunge livunjwe na Raisi au Waziri Mkuu airishe Bunge kama alivyofanya leo?
 
Raisi ndo analizindua na kulivunja
Naelewa sana. Kilichonishangaza ni leo Waziri Mkuu kutoa hotuba ya kuahirisha Bunge wakati tulitarajia Bunge kuvunjwa kesho.

Swali: Nini kinaendelea au mimi ndio nilielewa vibaya maandishi yaliyokuwa yanapita chini ya screen yakieleza kuwa Waziri Mkuu anaahirisha Bunge?

Je, tutarajie Reforms za uchaguzi?
 
walivunjilie mbali , lilikuwa ni bunge la hovyo kabisa kupata kutokea

Kama watahitaji mssada wa baruti kulivunja waseme
 
Naelewa sana. Kilichonishangaza ni leo Waziri Mkuu kutoa hotuba ya kuahirisha Bunge wakati tulitarajia Bunge kuvunjwa kesho.

Swali: Nini kinaendelea au mimi ndio nilielewa vibaya maandishi yaliyokuwa yanapita chini ya screen yakieleza kuwa Waziri Mkuu anaahirisha Bunge?

Je, tutarajie Reforms za uchaguzi?
Uliona wapi Bara waanze uchaguzi July afu Zanzibar August?
 
Hivi ilipaswa Bunge livunjwe na Raisi au Waziri Mkuu airishe Bunge kama alivyofanya leo?
kuahirisha bunge na kuvunja bunge ni vtu 2 tofauti, bunge linavunjwa kwa maana hakutakuwa na kikao kingine mpaka baada ya uchaguzi na kuzinduliwa na rais.
 
Back
Top Bottom