Bwana Dunford Mpelumbe naye ajitokeza kuwania kuteuliwa kugombea ubunge jimbo la Masasi kwa tiketi ya chama chake cha CCM.
Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025...
Bongo ukiwa na Akili haufai njaa !!.
Wabunge wenyewe wa CCM ndio Hawa wa Community Concerning Tainung institute !!
Wasanii wameamua kucheza na akili za Watía Nuru .
Ni hivi, Asilimia kubwa ya...
Wakuu
Mbunge wa Viti maalum, Ester Bulaya amekipongeza chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) pamoja na Mwenyekiti aliyemaliza muda wake Freeman Mbowe na Mwenyekiti mpya Tundu Lissu kwa...
Lissu amejenga hoja nzito mahakamani, amezungumza ameibana serikali/Jamhuri katika vipengele almost vyote vya msingi kuwa.
1. Kama ushahidi umekamilika twende mahakama kuu - Serikali inapiga...
Wakati akafanya mahojiano na Clouds tv Esther Bulaya ameulizwa kuhusu msimamo wa CHADEMA wa No reform no election, ambapo amesema yeye kama mwanachadema anaunga mkono kauli hiyo kutokana na...
ITV mnasitahili hata kutuwekea akaunti namba tuwachangie pesa ya uendeshaji hata kama mnajiendesha kibiashara hata wale jamaa wa dini wanatuwekea akaunti za michango wakati ni wafanyabiashara 100%.
Tanzania Kupitia TRA inaenda Kuwapita Wakenya kwenye Makusanyo ya Kodi mwaka 2027 kwani Bado Shilingi Trilioni 3 Kuwafikia.
Hapo kabla Kenya ilikuwa imewekwa Gap la zaidi ya Trilioni 7 lakini...
Watu wanakichukulia poa chama Cha republican kwenye kusimamia haki uku ulimwengu wa tatu ila, Republican administration wako vizuri sana .
Nimepata habari kutoka State department kuwa Marekani...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu amesema baada ya madai yake Mahakamani juu ya kunyimwa Haki zake za msingi akiwa sero aliletewa Padre kwenye Sero yake...
Kada wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Rujifi Shaban Matwebe amelalamikia kuwa Katibu wa Chama hicho Wilaya ya Rujifi amekataa kumpa fomu ya kuwania Ubunge wa Jimbo la Rufiji.
Akiongea leo July 1...
https://youtu.be/txvRnIcB9tc?si=DI7EpxtR-jnsGoai
Kumekuwa na matukio ya kushangaza tokea lile sekeseke la Wanaharakati wa Kenya kuja Tanzania kusikiliza kesi ya Mhe. Tundu Antipas Lissu...
Kipenga kimepulizwa jana tu ila wimbi la uchukuaji wa fomu za kugombea ubunge na udiwani ni wa kiwango cha kasi sana! Ni haki ya kila mtanzania kikatiba kuwania nafasi za uongozi wa kisiasa...
Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA imeandikisha rekodi Mpya ya Mapato ya nusu mwaka Kwa kukusanya zaidi ya Trilioni 16.5 kwa.kioindi Cha miezi 6 au nusu mwaka ya mwaka wa Fedha 2024/2025.
Kiwango...
Aliyekuwa kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Ester Matiko amechukua fomu ya kuwania kugombea ubunge katika Jimbo la Tarime Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM).
Soma,pia...
Mfanyabiashara maarufu, Zahor Matelephone amejitosa katika mbio za ubunge baada ya kuchukua fomu katika Jimbo la Ole, Pemba.
Zahor ni miongoni mwa viongozi wanaoibuka kwa kasi na kuamsha...
Tanzania and Korea cooperation on Blue Economy is happening. Thanks to the MOU on Cooperation on Blue Economy signed during the visit of Her Excellency Dr. Samia Suluhu Hassan in Seoul, June, 2024.
Mwanahabari na aliyekuwa Msemaji wa zamani wa vilabu vya Simba na Yanga, Haji Manara, amechukua Fomu ya kuwania Udiwani katika Kata ya Kariakoo, Jimbo la Ilala kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM)...
https://youtu.be/Bp5NaZ4sYY8?si=SO4lrmpVo9Qm7bQK
Nimeshangazwa sana kwenye teuzi za Rais Samia uliotokea juzi. Rais anatumia vigezo gani kuteua mtu aliyestahafu tena ambaye amepitia nyadhifa...
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC), Innocent L. Bashungwa amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kutetea nafasi ya Ubunge katika Jimbo la Karagwe, mkoani Kagera kupitia Chama Cha...