Ni lazima tuweke standard kama taifa, haiwezekani wewe uwe mjumbe au mtumishi wa tume ya uchaguzi kwa ngazi yoyote ile halafu kesho na keshokutwa uende kwenye uchaguzi kugombea. Hiyo hapana...
Ukiacha hao Polisi waliojigeuza maafisa binafsi wa Mapato ya mifukoni mwao lakini sheria pia haziwapi adabu za kutosha madereva na wamiliki wa vyombo vya usafiri vya Umma.
Bila kuchukua...
Huwa inamaanaisha nini inaposemwa serikali imetenga pesa kiasa fulani kwa ajili ya mradi fulani halafu huo mradi haufanyiki kwa miaka kadhaa au haukamiliki?
Hizo pesa zinazosemwa zimetengwa huwa...
Huenda nchi hii kuna utaahira wa kiwango cha juu kuwahi kutokea, kuanzia kwa wagombea mpaka kwa viongozi wanaopitisha wagombea. Hilo chaka la viti maalum ni mfano hai. Kama hujui tu, zaidi ya nusu...
Ile ajali ya Same imetokea mjini na sio Polini, maana yake kama kungekuwa na zima moto pale ni mwendo wa dakila 6 tu gari isha fika na kuzima moto na kuokoa watu tena wengi tu. Ila wapi hakuna...
https://youtu.be/18sRirxJAqo?si=LBEdYlUa0rtZF0dh
Tulishindwa kumkemea Kagame aliyevamia DRC kwenda kuiba madini ya Kongo!! Mwafrica haendelei kwa sababu ya unafiki wa viongozi wa africa
Kanisa la Ufufuo na Uzima Glory Of Christ Tanzania Church lililopo Ubungo Kibo Dar Es Salaam bado limeendelea kuwa chini ya ulinzi wa Jeshi la Polisi baada ya zuio la waumini wa kanisa hilo kusali...
Wananchi tunahitaji barabara mbadala zitengenezwe vizuri ili foleni.zipungue tutafukuzwa kazi kwa uchelewaji
Magari yetu yanaharibika sana hamtengenezi njia za kukatisha barabara kwa usahihi...
Damu ya Nyerere inaishia Mkoani Sasa SI zaidi ya apo, Makongoro Nyerere za comedy FAZA
Damu ya Mwinyi Iko IKULU
Damu ya mkapa haiko kokote duniani Nina wasi wasi Mzee mkapa hakuna Cha watoto...
Wenyewe wanajinasibu kuwa oktoba ni kutiki tu na wala sio kuchagua.
Hii nini maana yake? Wana matokeo yote ya uchaguzi kuanzia rais, mbunge hadi diwani. Zoezi lililobakia ni kutiki tu.
Chadema...
Ninaandika kitabu kwa lugha ya kiingereza ili kikasomwe na wazungu watoa misaada.
Kitabu hiki kinaelezea kiburi na ukiziwi wa rais Samia kwenye vilio vya watanzania juu ya utekaji na mauaji kana...
COSMAS BULALA ATUHUMIWA KUANZA KAMPENI JIMBO LA KWIMBA
Kampeni za kisiasa zimepamba moto katika jimbo la Kwimba mkoani Mwanza baada ya wagombea ndani ya chama cha mapinduzi CCM kuanza kupigana...
Niliwahi kusikia watu wengi wanaochukua fomu za kugombea iwe ubunge wa Tanzania, Africa Mashariki, uspika au hata vyeo vikubwa ndani ya CCM huwa hata hawaamaanishi kupata hizo nafasi kwa wakati...
Huu ni udharirishaji mkubwa, watu ambao wanasababisha Waandishi wa Habari waishi maisha magumu ni baadhi ya Wahariri.
Leo CCM wamefungua dirisha la kuchukua fomu kwa Wagombea wao, Ubunge, Udiwani...
Kinyang’anyiro cha Ubunge wa Viti Maalum kundi la Vijana kinaendelea kukolea moto baada ya Monalisa Daniel, Mjumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Taifa (UVCCM), kuchukua...
Hizo ndio taarifa za sasa kwamba akina Jesca Kafulila, Esther Matiko, Esther Bulaya nk wanaogombea Ubunge kupitia CCM kama watashindwa kwenye Kura za maoni basi WATOTO hao wa Bata wataendelea na...
Nilikuwa sijui kumbe Kafanya mengi sana kuliko matarajio.. kumnyima 5 tena ni hasara kubwa sana. Kayasema mpaka nikasinzia. Nadhani hata chadema wamepata ganzi na gagaziko.
Tutabishana sana na...
Kamanda Silo lazima alipe fadhili kwa alioe .teua na hapo ndio pagumu kwa Zitto Kabwe.
Simuoni akitoboa Kigoma na itakuwa ndio mwisho kabisa wa siasa zake, atakuwa na optional moja tu, ya kuwa...
Huyu mtu Kila anapokaa anatia alama,ni Mtendaji haswa nakumbuka enzi hizo akiwa waziri TAMISEMI alikuwa anaitwa encyclopedia ya bunge alikuwa hakosi majibu sabu ni mfuatiliaji na msimamizi na...
Akiwa anawaapisha Wakuu Wapya wa Mikoa Ikulu Dodoma, Rais Samia kawasifia kuwa wengi wao wamelelewa tangu chini na Chama cha Mapinduzi na kwa sababu mwaka huu ni wa Uchaguzi wakahakikishe...