DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,152
Kanisa la Ufufuo na Uzima Glory Of Christ Tanzania Church lililopo Ubungo Kibo Dar Es Salaam bado limeendelea kuwa chini ya ulinzi wa Jeshi la Polisi baada ya zuio la waumini wa kanisa hilo kusali kanisani hapo.
Nje ya kanisa na maeneo jirani hasa yale yaliyotumika kufanya ibada baada ya zuio(chini ya mti na baada ya kituo cha mwendokasi) askari wa jeshi la polisi wameonekana kuwapo.
Ikumbukwe jumapili iliyopita waamini wa kanisa hilo walifanya ibada fupi sana na kutoa sadaka chini ya Naibu Katibu Mkuu wa makanisa hayo Askofu Maximilian Machumu Kadutu(Mwanamapinduzi).
Chanzo: Jambo Tv