Wagombea kwa nafasi za ubunge na udiwani mchujo wake usizingatie nafasi ya kwanza kwenye kura za wajumbe.
Kwenye udiwani tafuteni watu kama viongozi wa kiroho, watendaji, wakuu wa shule na watu...
Wasomi ni chanzo cha taifa la Tanzania kuwa jinsi lilivo kwa sasa kama lilivo.
Kipindi Kama hiki ndio kipindi wasomi wanapaswa kuwa mbele kwenye kuchukua fomu za ubunge na uongozi, badala yake...
Binafsi niliwaonyesha Clip za waenda kanisani kwa Gwajima baada ya kanisa kufutwa hasa ya Jumapili iliyopita kwa baadhi ya viongozi wa kanisa hilo.
Waliangalia sura zao wakasema sio waumini wa...
https://www.youtube.com/live/oU5eT7Dimu0?si=BYYHRNCBHOz_0_ye
Siku hazikawii kufika, usikilizwaji kesi ya Lissu huo umewadia. Kama mnakumbuka wakayi uliopita upande wa mashtaka walisema wanahitaji...
Kwenye nchi ni lazima kuwe na watu ambao hata sisi tukipotoka wote bado wao watabaki kuwa tumaini letu kwa mawazo, ushauri, miongozo na kufanya maamuzi magumu kwa maslahi ya taifa. Maslahi ya...
Naona kama huu mgogoro wa wanaondamana kila jumapili kwa ajili ya kufanya ibada unaanza kuzoeleka.kitu ambacho kwa maoni yangu ni kuendelea kuiletea doa nchi yetu.Kwa nini serikali isikae ikafanya...
Huu ni ushauri
Pia waonyeshe mradi wowote waliowai kufanya kupitia elimu yao.
Na waonyeshe matatizo na changamoto zilizopo kwenye majimbo yao na vipi watazitatua.
Waseme ni jinsi gani...
0-0Wapambe wa demokrasia, kwenye Ilani ya CCM ya 2020–2025 kulikuwapo kipengele kilidhamiria kuunda ajira milioni 7 kwa vijana kupitia empowerment, training na access to low‑interest loans ...
Ndugu Haidary Gulamali Leo jumamosi Tar 28/6/2025 amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama cha Mapinduzi kuwania nafasi Ubunge katika jimbo la ilongero Singida Vjjijini
Gulamali amekabidhiwa...
Katika watia nia wote haswa wa ubunge wote wanategemea mchujo kutoka Kwa wajumbe.
Sasa naomba kuuliza hao wajumbe ni watu gani ni mabaloziywa nyumba Kumi au ?
Mubashara kutoka Ukumbi wa Chimwaga na kupitia hapa JF tunakuletea kinachojiri...
Viongozi mbalimbali wa kitaifa wameshaingia kwenye ukumbi wa Chimwaga. Yupo Katibu Mkuu Kiongozi, Waziri wa...
Ungekuwa sio utendaji kazi nzuri wa mama yetu basi nchi mzima ingeamka kuanzia hapo ubungo kuelekea kokote kudai haki ,bahati iliyoje ni kwamba ccm inatekeleza ilani kwa kiwango Cha bulldozer...
Ndugu wana wa Tanzania.
Usije ukakimbilia Ubunge ukasahau udiwani wa Katika Halmashauri yako. Nafasi za Udiwani ni nafasi muhimu sana katika Maendeleo ya Halmashauri yako.
Katika Uanzishaji na...
Kwa Waandishi waliopo Dar Es Salaam Leo kiasi cha Vijana 100 waliokuwa katika Kundi la 4U Movement wakimuunga mkono Edward Lowassa, Leo wanatangaza kujiengua CCM.
Tukio hilo litafanyika...
Kada machachari wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Komredi Jamal Mangu, leo Juni 29, 2025, amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa kugombea Ubunge wa Jimbo la Nyang’hwale, lililopo wilayani...
CHADEMA hii ya Lissu ingepata Katiba ya JMT ambayo ingeweka tume huru ya uchaguzi na wateule wa rais kutosimamia uchaguzi watu kama Msukuma, Eric Shigongo, Babu tale na Salma Kikwete wasingerudi...
Mambo vp wakuu..
Kuna hili linaloendelea nchini la uchukuaji wa fomu za kugombea ubunge kwa tiketi ya CCM..
Kwa sisi content creators tumeshtukia mchongo na tumegundua ni sehemu ya contents za...
Rose Fidelis Temu Kiongozi wa UVCCM kwa nafasi ya Katibu Hamasa na Chipukizi Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro amechukua fomu yakuomba ridhaa yakugombea Ubunge Viti maalumu Kundi la Vijana.
Soma...