erasto Samwel
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 211
- 275
Ktk maandamano ya kongamano la pongezi hapo jana.
Watachezea Mabomu na Makanisa yao yatafungwa utafikiri hao polisi wanasali kuzimuTusichanganye dini na siasa.
Imagine WAWATA waandamane kuunga mkono Lissu😂😂
Hawavaagi chupi?Hao mabaradhuli wasiovaaga chupi wanajua kwamba mke wa mzee Mohamed Kibao ni mjane kwa kuuwawa na huyo shangingi la vijiweni?
Uislam haumfati mtu mkuu.Waarab waliwaweza saa Waislam wa Tandale. Hebu muangalie Mkhamed Bin Salman aka MBS ambaye ni mtawala wa Saudi then waangalie hao wanaofuata dini ikiyoanzia Saudia
View attachment 3390743
Basi usimfuate mtume. Au mtume siyo mtu?Uislam haumfati mtu mkuu.
Unafata maagizo ya Allah pekeeBasi usimfuate mtume. Au mtume siyo mtu?
Italeta shida sanaTusichanganye dini na siasa.
Imagine WAWATA waandamane kuunga mkono Lissu😂😂
Nenda wewe katoe hiyo misaada kwa watoto yatima.Garama zote hizo si wangetoa misaada kwa watoto yatima, sasa hayo maandamano yana impact gani kwa watanzania kama kiongozi wao kujiandalia uteuzi mwepesi
Shida ipo wapi?Ktk maandamano ya kongamano la pongezi hapo jana.View attachment 3389790View attachment 3389802View attachment 3389802
Unafiki utawatoa rohoNenda wewe katoe hiyo misaada kwa watoto yatima.
Tusipangiane cha kufanya kwani Tanzania ni nchi huru.