Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Shekhe aibua sakata la kesi ya Tundu Lissu wakati wa uzinduzi wa jengo jipya la kanisa la Mwamposa. "Mtu anasema tukinukishe, haya kukishanuka hapa wewe unaenda wapi?" anaeleza Shekhe Mohammed...
1 Reactions
122 Replies
6K Views
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama ametamka wazi akiweka angalizo la uwepo wa wakimbizi ( niseme WAHAMIAJI) kwenye teuzi tena level za maamuzi ndani ya nchi yetu. Nimeona wachambuzi mbalimbali...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Na Benny Mwaipaja, WFM - Dar es Salaam WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango, amefanya ziara ya kushitukiza katika eneo la kuhifadhia makontena-Bandari Kavu Dar es Salaam (DICD), na...
64 Reactions
1K Replies
191K Views
Wakazi wa wilaya ya Ubungo(Dar es salaam) hasa Jimbo la uchaguzi la kibamba mama tunakudai Tena madeni makubwa sana. Tunakudai maji, barabara, hospitali n.k. Miaka 64 ya uhuru hatuna maji ya...
1 Reactions
8 Replies
511 Views
Mh Waziri. Wasaidizi wako au wewe mwenyewe umewaingiza watumishi wa umma katika mtego na adha na usumbufu aidha bila kujua. Baada ya kuweka utaratibu wa mifumo kutumika kumkopesha mtumishi benki...
2 Reactions
14 Replies
732 Views
Sio kwamba hakuna wasanii wanaoipenda CHADEMA au watu maarufu wanaoipenda CHADEMA ila wametawaliwa na hofu" - JOHN HECHE,Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA.
5 Reactions
8 Replies
771 Views
Mwanzoni nilidhani Mkuu wa Mkoa wa Kagera Brigedia Jenerali Marco Elisha Gaguti ni kibabu kilichostaafu jeshi, kumbe ni kijana tu yaani sikuamini cha ajabu anajiamini mno. Mkoa wa Kagera ulikuwa...
10 Reactions
40 Replies
14K Views
Nimefuatilia maandamano ya leo huko Kenya, kuna kitu nimekiona hakiko sawa, Watu wengi waliokuwa wakiandamana walikuwa wamelewa. Inaonekana wanakwenda barabarani kwa msukumo wa kilevi (mirungi)...
5 Reactions
23 Replies
987 Views
Wakuu! Katika moja ya matamko yake, Wakili Boniface Mwabukusi alizungumza kwa hisia kali kuhusu namna wapinzani wanavyotazamwa ndani ya mfumo wa haki, akisema: "Ukiwa mpinzani ni adui wa kila...
0 Reactions
3 Replies
382 Views
Ni Habari njema watanzania ni kikao cha wajuvi wa mambo kilikaaa sirini toka Magufuli afariki Dunia ikawa kwamba Samia ni nahodha tu anyeivusha meli upande wa pili wa pili baada ya Nahodha mkubwa...
12 Reactions
67 Replies
7K Views
Rais Magufuli aongelea sakata la makontena ya Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda Asema kwa mujibu wa Sheria ya Fedha, Sheria ya Madeni, Sheria ya Dhamana na Misaada ni mtu mmoja tu aliyepewa...
72 Reactions
2K Replies
191K Views
Ninawaonya Ninawaonya Ninawaonya, TUNDU LISSU mlimpiga Risasi 16 Mwilin mwake ili kumuua.. HAKUFA . Majuzi, Viongozi mbalimbali Nje na Ndani ya Nchi, wameelezea Taarifa nyeti juu ya Mpango wa...
33 Reactions
119 Replies
5K Views
SAKATA LA MAKONTENA LAZIMA LIONDOKE NA MTU. NO CHOICE. In a rare public outburst, Mpango roundly criticised Dar es Salaam Regional Commissioner Paul Makonda for trying to get a shipment of 20...
5 Reactions
94 Replies
19K Views
William Tolbert wa Liberia alijisahau sana. Akawaona majority kama takataka na hawafai Matokeo yake alifungwa kwenye mti yeye na baraza lake lote la mawaziri wakapigwa risasi. Ndivyo walivyo...
2 Reactions
9 Replies
404 Views
Katika Uchaguzi, Mgombea anashinda Kwa mambo mawili Ama Chama chake kinakubalika, au Yeye mwenyewe anakubalika sana Ndani ya Jamii. Kwa mfano, MTU kama MPINA, LISSU, HECHE Hawa wenyewe hata...
2 Reactions
13 Replies
719 Views
Kila siku nasema, Huwezi kua na Akili yaan Akili na mwenye Elimu ya kutosha isokua na Kona Kona alafu ukafurahia Matendo ya Jinai yaliyo kinyume na KATIBA Kwa KISINGIZO CHA KULINDA AMAN. Ni Hivi...
8 Reactions
21 Replies
2K Views
As a humble EAC citizen Im obliged to propose a permanent solution towards a long lasting unrest and disorder in our neighbouring Nation of East Africa namely Kenya. We might know for sure that...
0 Reactions
22 Replies
1K Views
Kenya imekuwa kama Gaza halafu Ruto ndiye mwenyekiti wa EAC Kenya iondolewe 🐼
1 Reactions
8 Replies
484 Views
Ni swali tu jamani , huyu jamaa alikuwa Meya wa Kinondoni , ni mtoto wa Samuel Sitta aliyekuwa Spika wa Bunge la Tanzania . Baada ya ccm kuangukia pua 2015 , kwenye Halmashauri ya Kinondoni na...
8 Reactions
34 Replies
4K Views
Hii ni kauli ya nguli wa sheria na siasa, kwa MBA, uchaguzi hauzuiliki. Kauli hiyo ameitoa wakati akipasua anga za wilaya ya Busega akieneza sera za ACT Wazalendo. === Waziri Kivuli wa Katiba na...
1 Reactions
28 Replies
1K Views
Back
Top Bottom