Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima, amesema ataendelea kutekeleza majukumu yake bila kuyumba, akisisitiza kuwa hatarudi nyuma katika kukemea maovu na...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt Stergomena Lawrence Tax (Mb), tarehe 7 Julai 2025, ameonya na kuwatahadharisha Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM, kuwa macho na kujiepusha na...
Tanzania ni taifa la kistaarabu sana - hata kipindi cha kudai Uhuru ustaarabu ndio uliotawala badala ya matumizi ya nguvu.
Sasa baada ya kuingia kwa vyama vingi vya siasa, na baada ya kupata...
Jana nilikuwa na rafiki yangu mmoja ambaye ni mwandishi wa habari mwenye shahada ya uzamivu kwenye fani ya mawasiliano ya umma.
Rafiki yangu huyo kaniambia kwamba vyombo vikubwa (Main stream...
Baada Ya Kutia Nia Salim Kikeke Ameanza Kupitia Spana Kwenye Mtandao Wa Twitter.
Kwenye Moja Kati ya Chapisho Lake Ameandika Kuwa ........................
Sometimes change has to be fought from...
Pamoja na kutoa baraka kwa vyombo vya dola kuwapoteza Watanzania ili amani iendelee kuwepo. Sheikh huyu amedai kuwa yeye alisikia kwa masikio yake Lissu akisema tutakinukisha.
Amekazia kuwa Lissu...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki kwenye Mkutano wa Saba wa CDF na Makamanda unaofanyika 302 KV Brigade Mess, Mwenge jijini Dar es Salaam leo tarehe 22...
Habari ya uzima wana JF,
Sina mengi ya kusema leo, ila niende moja kwa moja kwenye hoja, hakuna neno "amani" bila neno 'haki' nyuma yake.
Kama wewe ni mpenda haki, amani, uhuru na mabadiliko ya...
Tafakari kuhusu kauli ya Rais Samia aliyoitoa mwishoni mwa juma katika uzinduzi wa kanisa la Mwamposa 'Arise and Shine' kwamba Bosi wake ni Kikwete ilivyoibua mijadala.
Ikumbukwe kuwa Rais ndio...
Serikali imezindua rasimu ya Dira ya Taifa ya mwaka 2050 ambayo pamoja na mambo mengine inalenga kufanya Tanzania Nchi ya Kipato Cha Kati Cha Juu yaani Upper Middle Income County ambapo National...
GT
Hakuna mtu smart yeyoye anaweza kukumbatia serikali ya Samia. Serikali ambayo haijawekeza katika weledi.
Ni mtu gani huyo smart atakubali kukaa meza moja na akina Mwijaku au mashekh wa ubwabwa...
"Interest za viongozi zikiwa tofauti na za wananchi,wananchi hawatokuunga mkono. Sasa kuna watu walikuwa CHADEMA kumbe malengo yao ni kuwa wabunge na madiwani" - JOHN HECHE,Makamu Mwenyekiti wa...
Wanabodi,
Niko hapa Serena Hotel, nikiwaletea Live mubashara from Serena, kuhusu kikao kazi kati ya Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) na Tume ya Mipango, tukizungumza kuhusu Dira 2050 kuelekea...
Ndugu zangu Watanzania,
Katika Bara lote La Afrika Kwa sasa limebakiwa na Mwanadiplomasia Mmoja tu na pekee mstaafu ambaye ndiye Nguli ,bingwa na bobezi katika siasa za kimataifa na mwenye uwezo...
Hiyo ndio habari ya mjini.
Shekhe Mziwanda anadai anafahamu uwepo wa CCTV Kurasini aliposhambuliwa Fr.Kitima.
Amekwenda mbali kuwaambia watoe rekodi za CCTV ili waliomshambulia Fr.Kitima...
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeingia kwenye mchakato wa uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 kwa kasi ya aina yake. Hadi sasa, zaidi ya wanachama 5,475 wamejitokeza kuchukua fomu za kugombea nafasi za...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo amebainisha kuwa Serikali ya awamu ya sita na Chama Cha Mapinduzi Kinathamini uwepo wa Vyombo vya habari imara, katika...
Tanzania kuna mihimili mitatu,
1. Serikali
2. Bunge
3. Mahakama
Nchi ya kusadikika bado inazidi kutofautiana yenyewe, ni nchi moja yenye chama kimoja na nchi hii haikutaka kujijengea utawala wa...
Ni kwenye dua aliyowaalika Dk watia Nia ya Ubunge DK Chakou Tindwa na Abdalla Ulega.
Hata hivyo Ulega alichimba hakuhudhuria
Asema jimbo linataka mtu muungwana kwa wananchi.
Mkuu wa Mkoa wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.