Nadhani kinachoitesa Kenya ni miraa (mirungi) kuruhusiwa

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
27,696
Reaction score
65,332
Nimefuatilia maandamano ya leo huko Kenya, kuna kitu nimekiona hakiko sawa,

Watu wengi waliokuwa wakiandamana walikuwa wamelewa. Inaonekana wanakwenda barabarani kwa msukumo wa kilevi (mirungi). Muda wote wanatafuna majani .

Raila alipokuwa akihutubia jioni alikuwa ameambatana na wenzake, lkn wengi wao ukiwaangalia machoni inaelekea wametumia kilevi (miraa).

Kuna kijana alikuwa anahojiwa na mwandishi wa habari huku akiwa amebeba begani jiwe linalokadiriwa kuwa na kilo 35. Sasa huyu kama anadai haki, hilo jiwe la kilo 35 begani ni la nn?

Na kwenye maandamano yao wanaonekana hawana focus.
1. Wapo wanaopinga ukatili wa polisi.
2. Wapo wanaolalamikia ukosefu wa ajira.
3. Wapo wanaolalamikia ahadi hewa za rais.
4. Wapo wanataka Ruto awe one term president.
5. Wapo wafata mkumbo na wabeba mawe tu.
Bila kusahau wapora maduka.

Ni hayo tu.
 
Hahaha, hao ndio tunaowaita wasomi!
 
Hapana. Kenya wanajua haki zao and more educated. Ww hujui haki zako and you are enslaved kwenye utumwa wa Aman na Utulivu huku wachache wakinyonya miradi

Ukija kuamka utajua how dumb you are
 
Kinachoitesa Kenya ni UMASIKINI na kukosa MATUMAINI.

Kengmya kuna UMASIKINI wa KUTISHA.
 
Nimefuatilia maandamano ya leo huko Kenya, kuna kitu nimekiona hakiko sawa,

Watu wengi waliokuwa wakiandamana walikuwa wamelewa. Inaonekana wanakwenda barabarani kwa msukumo wa kilevi (mirungi). Muda wote wanatafuna majani .

Raila alipokuwa akihutubia jioni alikuwa ameambatana na wenzake, lkn wengi wao ukiwaangalia machoni inaelekea wametumia kilevi (miraa).

Kuna kijana alikuwa anahojiwa na mwandishi wa habari huku akiwa amebeba begani jiwe linalokadiriwa kuwa na kilo 35. Sasa huyu kama anadai haki, hilo jiwe la kilo 35 begani ni la nn?

Na kwenye maandamano yao wanaonekana hawana focus.
1. Wapo wanaopinga ukatili wa polisi.
2. Wapo wanaolalamikia ukosefu wa ajira.
3. Wapo wanaolalamikia ahadi hewa za rais.
4. Wapo wanataka Ruto awe one term president.
5. Wapo wafata mkumbo na wabeba mawe tu.
Bila kusahau wapora maduka.

Ni hayo tu.
Sio kwli
 
Hapana. Kenya wanajua haki zao and more educated. Ww hujui haki zako and you are enslaved kwenye utumwa wa Aman na Utulivu huku wachache wakinyonya miradi

Ukija kuamka utajua how dumb you are
Mkuu naomba kukupinga ukweli Gen Z hawana ajira, wana njaa na hawana agenda maalum ni fujo na uhuni tupu huko Kenya na wako out of control, wapo wanaochoma magari ya polisi na raia, wapo wanaopora maduka, wapo wanaochoma alama za barabarani, wapo wanaochoma magorofa yaliyojengwa kupangisha raia maskini, wapo wanaochoma supermarkets, wapo wanaotaka Rais ajiuzulu, wapo wanaosaka majumba ya askari waliosemekana kuua raia ili wayachome, wapo wanaozuia barabara zisitumike kwa kucheza mpira, wapo wanaosaka kwenda ikulu kumtoa Rais madarakani, wapo wahuni wanaopiga askari, wapo wahuni wanaopora magari ya polisi na kuyaendesha mitaani, wapo wanaotaka kufanya fujo majumbani kwa wabunge na bungeni, yaani Kenya hakukaliki na shughuli zimesimama, miraa kweli inafanya kazi vijana wamewehuka mfano hakuna.

Ni vizuri serikali yetu ijifunze Kenya kuhusu shida ya vijana kukosa ajira
 
Nimefuatilia maandamano ya leo huko Kenya, kuna kitu nimekiona hakiko sawa,

Watu wengi waliokuwa wakiandamana walikuwa wamelewa. Inaonekana wanakwenda barabarani kwa msukumo wa kilevi (mirungi). Muda wote wanatafuna majani .

Raila alipokuwa akihutubia jioni alikuwa ameambatana na wenzake, lkn wengi wao ukiwaangalia machoni inaelekea wametumia kilevi (miraa).

Kuna kijana alikuwa anahojiwa na mwandishi wa habari huku akiwa amebeba begani jiwe linalokadiriwa kuwa na kilo 35. Sasa huyu kama anadai haki, hilo jiwe la kilo 35 begani ni la nn?

Na kwenye maandamano yao wanaonekana hawana focus.
1. Wapo wanaopinga ukatili wa polisi.
2. Wapo wanaolalamikia ukosefu wa ajira.
3. Wapo wanaolalamikia ahadi hewa za rais.
4. Wapo wanataka Ruto awe one term president.
5. Wapo wafata mkumbo na wabeba mawe tu.
Bila kusahau wapora maduka.

Ni hayo tu.
Kwa hiyo miraa ndiyo inayolewesha peke yake?

Je, unaweza kumtofautisha Mlevi wa gongo, konyagi, bia, miraa etc?
 
Nimefuatilia maandamano ya leo huko Kenya, kuna kitu nimekiona hakiko sawa,

Watu wengi waliokuwa wakiandamana walikuwa wamelewa. Inaonekana wanakwenda barabarani kwa msukumo wa kilevi (mirungi). Muda wote wanatafuna majani .

Raila alipokuwa akihutubia jioni alikuwa ameambatana na wenzake, lkn wengi wao ukiwaangalia machoni inaelekea wametumia kilevi (miraa).

Kuna kijana alikuwa anahojiwa na mwandishi wa habari huku akiwa amebeba begani jiwe linalokadiriwa kuwa na kilo 35. Sasa huyu kama anadai haki, hilo jiwe la kilo 35 begani ni la nn?

Na kwenye maandamano yao wanaonekana hawana focus.
1. Wapo wanaopinga ukatili wa polisi.
2. Wapo wanaolalamikia ukosefu wa ajira.
3. Wapo wanaolalamikia ahadi hewa za rais.
4. Wapo wanataka Ruto awe one term president.
5. Wapo wafata mkumbo na wabeba mawe tu.
Bila kusahau wapora maduka.

Ni hayo tu.
Wakenya (vijana) wako very focused na maendeleo ya nchi yao na wanaijuwa katiba yao vizuri, hawababaishwi hata kidogo na ndiyo maana wanajitolea kwa leo na kesho. Ila hapa Tanzania vijana wengi vichwani mwao bado wamejawa na ujinga kutwa kucha mabishano ya nani zaidi kati ya Kiba, Diamond, Harmonize na Simba na Yanga ndiyo yanatawala maisha yao. Hawafikirii kufanya kazi au hata kutafuta maendeleo yao ya kesho. Sisi tunawashangaa who kutafuta maendeleo nao wanatushangaa sisi kuwa wajinga kukaa tu huku tukidanganywa na viongozi wa CCM na tunaona poa tu.
 
Nimefuatilia maandamano ya leo huko Kenya, kuna kitu nimekiona hakiko sawa,

Watu wengi waliokuwa wakiandamana walikuwa wamelewa. Inaonekana wanakwenda barabarani kwa msukumo wa kilevi (mirungi). Muda wote wanatafuna majani .

Raila alipokuwa akihutubia jioni alikuwa ameambatana na wenzake, lkn wengi wao ukiwaangalia machoni inaelekea wametumia kilevi (miraa).

Kuna kijana alikuwa anahojiwa na mwandishi wa habari huku akiwa amebeba begani jiwe linalokadiriwa kuwa na kilo 35. Sasa huyu kama anadai haki, hilo jiwe la kilo 35 begani ni la nn?

Na kwenye maandamano yao wanaonekana hawana focus.
1. Wapo wanaopinga ukatili wa polisi.
2. Wapo wanaolalamikia ukosefu wa ajira.
3. Wapo wanaolalamikia ahadi hewa za rais.
4. Wapo wanataka Ruto awe one term president.
5. Wapo wafata mkumbo na wabeba mawe tu.
Bila kusahau wapora maduka.

Ni hayo

Wewe uko sahihi. Ni walevi flani wanaotumika vibaya. Halafu kuna wabongo wenye akili timamu wanatamani yanayotokea Kenya yafanyike Tanzania😁😁😁
Jiuliz3 kuna faida gani wamepatatoka waanze vurugu?
 
Manyang'au siyo MFU, SIYO MAZOMBIE!
HUWAPELEKI PELEKI KISA UNA UBINAFSI, MROHO, FISADI, MWIZI, MLEVI WA MADARAKA!
KUDOS KWAO!
 
Back
Top Bottom