Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nakumbuka mwaka 2015 kurudi nyuma wanachama wote wa CCM walikuwa wana haki ya kuchagua wagombea ubunge na udiwani, kuanzia mwaka 2020 ikawa wajumbe tu ndio wana haki ya kuchagua wagombea, Sasa...
1 Reactions
8 Replies
688 Views
Hizi ni salaam zangu kwa Katibu Mkuu wa CCM (ambaye kimsingi ndiye Mratibu Mkuu wa shughuli za chama. Pamoja na kwamba binafsi siyo mwanachama wa chama chochote cha siasa, ni muumini wa siasa za...
1 Reactions
41 Replies
2K Views
Mtu ambaye hawezi hata kumshauri mke wake kwamba hili siyo sawa, ndio kuna watu eti mnategemea huyu Mzee anaweza kumshauri Rais kwamba hili siyo Sawa? Picha ina ujumbe mrefu zaidi ya maneno hata...
44 Reactions
104 Replies
6K Views
Padre Dkt. Charles Kitima, Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC), ametoa kauli nzito akisema kuwa viongozi wa dini lazima waonyeshe wazi kwamba aliyehusika katika...
15 Reactions
86 Replies
5K Views
Hakuna jambo lingine ACT wazalendo wanalitafuta zaidi ya kutaka Pesa za ruzuku na pesa za kujikimu wakipata wabunge,Wanahamasisha Raia waliokata tamaa ili wawatumie kwa maslahi yao binafsi siku ya...
0 Reactions
0 Replies
238 Views
Membe alisema kuwa akiwa rais waliokuwa wanamkosoa (akina Pasco, Ulimwengu, Jf members, etc) itabidi wakimbie nchi (wakimbilie Kenya) kwa bahati yao hajawa rais (labda wataondoka Membe akiwa...
14 Reactions
196 Replies
40K Views
Nina hakika Ili neno nashukuru Mungu lilirotambkwa zaidi ya mara 4 na kwa mfulurizo kutoka kinywani mwa padri Kitima ni msiba na moto utakao wachoma watawala mpaka siku ya mwisho Swali kwa...
0 Reactions
0 Replies
281 Views
Serikali ya CCM ,inalala na viatu, inahaha, kila mbinu chafu wakileta unashindwa kuuzima moto wa No reforms No election. Hapa kila Mtanzania anaimba , huu wimbo, "CCM wanaimbia kimoyoyo" , mpaka...
39 Reactions
80 Replies
4K Views
MUHTASARI WA MAAMUZI YA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI DHIDI YA RUFAA ZA UBUNGE NA UDIWANI 1. Rufaa za Wabunge Tume ya Taifa ya Uchaguzi ilipokea Rufaa za Wabunge 55 na imeshatolea maamuzi rufaa 42...
0 Reactions
19 Replies
7K Views
Wakili Fatma Karume amesema CHADEMA haiwezi kuzuia UCHAGUZI. Huku akienda mbali kwa kusema atashiriki uchaguzi mkuu kwa kutumia haki yake ya kikatiba kupiga kura Vile vile ameonya kuwa ni kosa...
3 Reactions
177 Replies
5K Views
Neno la Jessica Mshama kutoka Idara ya hamasa na Chipukizi UVCCM,Taifa kuhusu vijana kushiriki uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.
0 Reactions
0 Replies
222 Views
Tanzania imeonekana kurudi nyuma kiutawala bora kutokana na vipimo vinavyotolewa na Mpango wa pamoja wa Kujipima Kiutawala Bora (APRM), ikiwa na kuminywa kwa demokrasia, uhuru wa kujieleza na...
0 Reactions
6 Replies
555 Views
Kumeanza kuchangamka. Hapo ni Nsalaga jimbo jipya la Uyole.
15 Reactions
47 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Hii Leo Tarehe 6-7-2025 Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Dkt Mama Samia Suluhu Hasssan Amekwea Ndege na kupaa angani kuelekea Nchini Comoro. Ambapo...
9 Reactions
193 Replies
9K Views
Mtume Mwamposa amesema Kanisa lina jukumu kubwa la kulinda Amani ya nchi hivyo madhabahu zitumike ipasavyo Mtume amesema hayo kwenye kikao cha Kamati ya Amani ya mkoa wa DSM Source Upendo tv...
0 Reactions
13 Replies
663 Views
Kama hujui basi nakushauri kasome historia ya hawa Viongozi wabeba maono ya EAC Mtanisamehe Mimi siyo mwandishi wa magazeti kama Mwalimu wa Grade III Lucas Mwashambwa Ahsanteni sana 🙏
3 Reactions
51 Replies
2K Views
"Mimi ni Simba tumefungwa kihalali hakuna malalamiko, tumechapwa, tuko kimyaaaaaa. Hivyo hivyo kwenye uchaguzi tuwe na fair ground!
2 Reactions
16 Replies
841 Views
Asema, Mwisho wa Mtawala muovu Huwa mbaya sana Kwa sababu hubeba maumivu yaliyopo na yaliyopita!!. Aione Rais Samia. Aione Mwamposa .
13 Reactions
46 Replies
2K Views
CCM imefanikiiwa mno kutengeneza nidhamu za uoga kwa wanachama wake. Hawawezi furukuta nje ya CCM na pia ndio maana CCM hawataki reform kumbe hizi reform zingewasaidia hata wao wenyewe. Kassim...
1 Reactions
0 Replies
297 Views
Padri Kitima Kwa sasa Viongozi wapo juu ya wananchi, Hawawasikilizi tena Wananchi wanalalamika lakini wanawapuuza kama sisi wanavyotuuza, sasa hicho kiti kizuri kwa sababu unapowanyanganya watu...
1 Reactions
12 Replies
702 Views
Back
Top Bottom