The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,146
- 22,106
GT
Hakuna mtu smart yeyoye anaweza kukumbatia serikali ya Samia. Serikali ambayo haijawekeza katika weledi.
Ni mtu gani huyo smart atakubali kukaa meza moja na akina Mwijaku au mashekh wa ubwabwa na machawa wengine? hata waislamu. Smart wanashangaa nchi inavyoendeshwa.
Ndege wafanano huruka pamoja. Ukitembea na wezi wanne wewe utakuwa mwizi wa tano. Nawapongeza watu wote smart walioamua kuwa watazamaji mama akilikoroga maana akikosolewa anakata watu vichwa.