Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

#HABARI: Mgombea ubunge Jimbo la kawe kupitia chama cha wananchi CUF, Mhe. Salmini Kisamo mapema Leo alifika ofisi za msimamizi wa uchaguzi wilaya ya Kinondoni na kuchukua fomu.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kama Rais wa nchi anapata wadhamini wachache kiasi hicho basi hii ni dalili mbaya sana. DSM pekee inakadiriwa kuwa na watu zaidi ya mil 5 na bila shaka yaweza kuwa na watu wazima ( kwa maana ya...
23 Reactions
134 Replies
14K Views
Katika moja ya hotuba zake muhimu kwa nchi hii wakati wa uhai wake Mwalimu Nyerere aliwahi kutoa utabiri kuwa upinzani wa dhati nchini utatoka ndani ya CCM. Kutokana na kujitokeza kwa mwanasiasa...
3 Reactions
120 Replies
9K Views
Nchi hii watu wanaleta dharau, chama chetu tawala kinaleta dharua kubwa kwetu. Awali tuliambiwa hakuna haja ya wasanii, mara paap upepo umegeuka tumeamua kufanya tamasha la wasanii tuchuje nyimbo...
5 Reactions
6 Replies
1K Views
1. Jina YEREMIA KULWA MAGANJA 2. Alizaliwa tarehe 24/12/1967 huko Bunda Mara 3. Alisoma shule ya msingi Balili Bunda na Mlimani Bariadi 4. Kidato cha nne alisoma Iliboru Sekondari huko Arusha...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Natoa wito wenye mvuto. Kwa makada wenzangu wa CCM na wakereketwa wa chama na wananchi wote kwa ujumla wanaokiunga mkono Chama cha Mapinduzi. Wito wa kuwaomba, kuwashawishi na 'kuwalazimisha'...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Wana jamvi wasalaam, Huku mtaani kwetu ile hoja maarufu iliyodumu takribani miaka mitatu ya kuwa upinzani especially CHADEMA imekufa imejifia na wapambe wa hoja hiyo wameingia hofu. CCM wanajua...
8 Reactions
37 Replies
3K Views
Inawezekana kabisa majina ya wateule wa CCM yakawa ya mwisho kabisa kufikishwa Tume ya Uchaguzi ili kuepusha wale ambao hawatakiwi wakishakata wasihamie upinzani. Kuna nijadala inaendelea kuwa...
4 Reactions
22 Replies
3K Views
Maganja hawashinda Magufuli na Lissu mbele ya wafugaji, apewa ng'ombe wawili Mihale, Bunda Leo tarehe 13.08.2020 nikiwa kijiji kwetu Mihale wilaya Bunda mkoa wa Mara. Nimebahati kuzungumza na...
1 Reactions
3 Replies
940 Views
Tafadhali naomba mje kwenye ukurasa huu mnijibu, maana mimi sielewi na siwaelewi! Kila siku nasikia mara Kibajaji kashikiriwa akitoa rushwa kwa wajumbe wa Uchaguzi katika kura za maoni, mara...
0 Reactions
0 Replies
570 Views
Sisi wengine tutasema ukweli hata kama ni mchungu. Tutasema tu. Hata kama nitabaki peke yangu kuusema ukweli nitasema tu Tundu Antipas Lissu - hatokuwa Rais wa Tanzania hata iweje. Hawezi apishwa...
10 Reactions
28 Replies
3K Views
Naam ndugu wajumbe wasaalamu, Leo imekuwa ni siku ya fanaka kwa chama cha CHADEMA Meatu baada ya kuchukua fomu za ubunge na udiwani kwa mafanikio makubwa. Kuweka kumbukumbu sawa:Wilaya ya Meatu...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Huu ni ushauri ninaoupeleka kwenye ofisi ya Katibu Mkuu wa CHADEMA, Mh John Mnyika kwamba wagombea watakapozichukua fomu hizo kutoka kwenye ofisi za Tume ama kwa Wakurugenzi baada ya kuzijaza basi...
13 Reactions
30 Replies
3K Views
Lissi kafanyiwa mahojiano(kwa lugha ya kingereza) huko Ubelgiji(probably leo) kuhusu swala zima la kama tutarajie uchaguzi huru na wa haki, ila alivyojibu,ni wazi mwenzetu huyu sUala la kutegemea...
19 Reactions
59 Replies
9K Views
Kutoka maeneo mbalimbali kwenye viunga vya mji wa Dodoma, Tundu Lissu leo anachukua Fomu ya Urais. === Tundu Lissu leo kwa Mara ya kwanza anarejea katika mji wa Dodoma akienda kwa ajili ya...
66 Reactions
730 Replies
72K Views
Akiwa mjini Kahama, mgombea urais wa Jamhuriya muungano ndugu Tundu Antipas Lissu amesema kuwa makampuni makubwa matatu kwa mwaka huu pekee yameishtaki Tanzania kwenye mahakama za kimataifa. "Si...
54 Reactions
197 Replies
17K Views
Ni Kama vile shughuli zimesimama katika mji wa Kibiashara wa Kahama. Mamia kwa Mamia ya wakazi wa mji wa Kahama wako majiani wakisubiri ujio wa kipenzi chao Tundu Antipass Lissu anayetarajia...
50 Reactions
205 Replies
25K Views
Back
Top Bottom