Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu amefikishwa katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Juni 2, 2026, . Akizungumza mahakamani hapo, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John...
6 Reactions
24 Replies
798 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita limemtaja kuwa linamshikilia Neema Steven Chozaire, mkazi wa Mwatulole, Manispaa ya Geita, na linaendelea kumhoji kufuatia ushahidi uliokusanywa kuhusu tuhuma...
1 Reactions
22 Replies
507 Views
Kituo cha habari cha kidijitali cha Jambo Online Television kimetangaza rasmi kurejea hewani kuanzia leo, Julai 3, 2026, baada ya kukamilika kwa adhabu ya kufungiwa kwa muda wa siku 90 iliyokuwa...
1 Reactions
5 Replies
185 Views
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimelaani kile kilichodai ni ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu unaofanywa na vyombo vya dola dhidi ya wananchi wa Kitongoji cha Luhafe, Kijiji cha...
2 Reactions
3 Replies
116 Views
  • Redirect
Klabu ya Yanga imepigwa faini ya Shilingi milioni 100 na Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Tanzania Football Federation kufuatia ukiukwaji wa kanuni za NBC Premier League katika mchezo namba...
0 Reactions
Replies
Views
"Rais anapaswa asimamie mifumo. Nchi inaendeshwa kwa mifumo iliyo thabiti. Hatuhitaji kuwa na Rais msikivu au sio msikivu. Akipatikana Rais ambaye ni msikivu au sio msikivu, mifumo ikiwa imara...
3 Reactions
9 Replies
171 Views
Sina chuki binafsi na watajwa hapo juu. Inakera mibaba mizima inapokubali na kukumbatia uchawa ili ijaze mitumbo yao. Ukisiliza matamko ya watajwa, unaishia kusononeka na kukata tamaa. Huyu...
4 Reactions
19 Replies
330 Views
WAZIRI MKUU: WAKANDARASI WAREJEE SITE Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba ameelekeza wakandarasi waliokuwa wamesimamisha kazi katika miradi mbalimbali ya ujenzi wa barabara mkoani Mara kurejea...
1 Reactions
16 Replies
374 Views
Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) aliyerejea hivi karibuni kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mchungaji Peter Msigwa amesema CCM haina ushawishi kwa sasa hivyo haiwezi kushinda...
5 Reactions
6 Replies
149 Views
https://www.youtube.com/live/hFA11lefC7I?si=Wgp31A2Jzc2nKV_j Baada ya mafanikio makubwa ya mihadhara ya umma iliyofanyika katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) na Kampasi Kuu ya Chuo Kikuu cha...
1 Reactions
8 Replies
146 Views
Wanaharakati wanasababisha walinzi wetu kuandamana muda mrefu zaidi kuliko waandamaji wenyewe jambo ambalo linachosha vyombo vyetu . Kama wataamua kuahirisha hiyo tarehe na kutangaza tarehe...
5 Reactions
26 Replies
565 Views
  • Featured
Jaji Mkuu wa Tanzania, George Masaju akifungua Mkutano Mkuu wa Chama cha Madalali Juni 30, 2026 amesema hatarajii kuona viongozi wa kisiasa wakiingilia utendaji wa shughuli za kisheria kwa kigezo...
11 Reactions
37 Replies
1K Views
Habari zenu, TLS ni taasisi inayohudumia watu wote bila ya kuzingatia itikadi, dini, rangi wala ubaguzi wa aina yeyote. Lakini chama cha CHADEMA kinakubali kuungwa mkono na chama cha mawakili...
1 Reactions
11 Replies
199 Views
Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan ameonyesha dhamira ya dhati ya kuboresha maisha ya mtanzania lakini michadema Bado inaendekeza siasa chafu, Mh. Rais alipoingia madarakani alipandisha watumishi...
1 Reactions
25 Replies
328 Views
  • Redirect
Kada wa CHADEMA aliyerejea hivi karibuni kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM) @ccmtanzania , Mchungaji Peter Msigwa amesema baadhi ya wanachama wa CCM wanajiona kuwa ni sehemu ya dola, huku serikali...
0 Reactions
Replies
Views
HUKO NI KUVUKA MIPAKA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kuna wakati katika maisha mtu hufanya kosa. Kuna wakati pia mtu hufanya uamuzi mbaya. Lakini kuna hatua nyingine ambayo si kosa tena wala...
5 Reactions
15 Replies
214 Views
Picha kamili ni kwamba zile kero ambazo zilisababisha ghasia na mauaji ya Oktoba 29 mwaka 2025 bado hazijatatuliwa. Ufisadi, utekaji na nepotisim bado zinalitafuna taifa letu. Mbaya zaidi CCM...
8 Reactions
4 Replies
278 Views
Mwandishi wa kujitegemea, Ndg. Pascal Mayala (katikati) akihojiwa na Kamati ya kudumu ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kwa kosa la kuandika habari yenye maudhui ya kudharau Bunge...
23 Reactions
304 Replies
41K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…