Sikiliza madini ya Makamu Mwenyekti Chadema, Heche

Sikiliza madini ya Makamu Mwenyekti Chadema, Heche

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,222
Reaction score
102,337
"Mimi ni Simba tumefungwa kihalali hakuna malalamiko, tumechapwa, tuko kimyaaaaaa. Hivyo hivyo kwenye uchaguzi tuwe na fair ground!
 
"Mimi ni Simba tumefungwa kihalali hakuna malalamiko, tumechapwa, tuko kimyaaaaaa. Hivyo hivyo kwenye uchaguzi tuwe na fair ground!
Hicho anachozungumza, kiweke katika muktadha wa siasa. Ukikiweka katika michezo, utapoteza lengo lake la kuzungumzia uchaguzi huru na wa haki, badala yake utaanza kuzungumzia Simba na Yanga ( au Yanga na Simba)
 
Alipata mild stroke hivi karibuni, ndio maana akiongea mdomo unaenda upande, tumuombee alone, sasa amejua uongozi kazi ngumu
 
Watu aina ya HECHE ni hazina kwa mustakabali wa siasa za taifa lolole lile, hutoa fikra mbadala, huibua uovu, huchochea uwajibikaji, na kuwepo kwao ni kiashiria cha kuwepo kwa uhuru wa kujieleza, walindwe, wasishurutishwe, isipokuwa wanapovunja sheria, kanuni, taratibu na miongozo
 
Back
Top Bottom