kuna watu nawashangaa sana wanafikiria kutengeneza matokeo yanayoteka mioyo ya watu huwa ni suala la kukurupuka tu ety na mm nataka nifuate ya kwangu haiwezekani
kuna watu waliletwa Duniani...
Nimekutana nayo mahali ila sijajua iko genuine kiasi gani, naona network kwangu iko chinii sana sana
https://us06web.zoom.us/j/6818807495?pwd=Eu5qlqorqlOEchz9zkqEhjKW7GsbHv.1&omn=81835714199...
Akiongea Kwa tahadhari Polepole kasema si sawa CCM kuwakumbatia wahuni. "Unasikia watu wanafanya uhuni halafu wewe unakwenda kuwakumbatia na kusema "Hawa ni rafiki zangu"
Kauli kama hiyo iliwahi...
Yapo mapendekezo ya kumteua Majaliwa K. Majaliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM bara. Ipo mipango yakumwandaa Innocent Bashungwa kuwa Waziri Mkuu ajaye endapo CCM itashinda uchaguzi 2025.
Endapo...
Hellow!
Mwl Nyerere aliwahi kusema: Bila CCM imara, nchi itatikisika. Leo nimeona mtikisiko wa nchi.
Nguvu ilivyotumika tangu Jana kumzuia mtu asifumbue kinywa, nimeanza kujua hatari ya kitu...
Katika mawaziri wakuu ambao hawawezi kuonyesha hata choo walichosimamia kijengwe ni Warioba. Kimsingi, Warioba kaharibikia ukubwani kwa kuunda magenge yenye nia ya kuvuruga amani ya nchi.
Makonda angalau ana ushawishi 60-70% anaweza akamsaidia katika mambo fulani fulani.
Kama Makonda naye akiamua kukaa pembeni, aisee shughuli itakuwa pevu.
Naishi Tanzania, lakini sihisi huru. Chini ya utawala wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), najiona kama mtumwa katika nchi yangu mwenyewe.
Uhuru tuliourithi kutoka kwa kina Nyerere umebaki historia...
Je, Dira ya Taifa inatengenezwa na nani?
Je, wahusika wa kuandaa Dira ya Taifa ni wahusika wa chama au ni watumishi wasio husika na chama?
Je, ni namna gani hutumika kukusanya maoni kwaajili ya...
Humphrey Polepole ameeleza kuwa watu wabaya CCM wanajulikana. Amesisitiza chama kinapaswa kuhakikisha watu wabaya na wahuni hawaingii kwenye mchakato na chama kinawajua.
"Urekibishaji unaanza...
Kaka umesema upo CCM tangu 2000. Hebu tueleze uchaguzi wa mwaka 2010 CCM ilitoa form ngapi za uraisi? Mwaka 2020 zilizalishwa form ngapi? Mbona hukuachia ngazi?.
Lakini umesema mchakato wa...
Humphrey Polepole amewajibu wanaomuita kuwa yeye ni msaliti kwa kuhoji kati ya yeye na yule anayevunja desturi na utaratibu ili kujipatia uhalali binafsi.
Kama unabisha tafuta Hotuba ya Mzee Kikwete Siku ya mazishi ya Shujaa Magufuli kule halafu uniambie kuingia na jina la mgombea maana yake ni nini!
Hata Chadema miaka yote mi kama walikuwa wanatoa...
Kwa kusoma mabadiliko ya mienendo ya Mbowe, tangu alivyopokea kipigo tukufu cha January 21; hautaweza kushangazwa na yeye kwenda kupeana mikono na kupiga picha na Rais Samia.
Ni wazi Mbowe...
Nimepitia haraka haraka dira ya maendeleo ya taifa 2025-2050 iliozinduliwa leo na kugundua misingi yake ina hadaa umma wa Watanzania.
"Kila mtu anafurahia uhuru, ulinzi wa maisha yake na haki zote...
2015 ndio ulikuwa mwaka pekee wa upinzani kuingia Ikulu na CCM kuwekwa pembeni huku mafisadi yakisubiri kuburuzwa Mahakamani.
Lakini kinyume chake ni kwamba mafisadi walizidi kung'ara na...
Kwa mara ya kwanza CCM ilipoona nguvu za CHADEMA ilikuwa mwaka 1994 kwenye chaguzi za Serikali za mitaa na mwaka 1995 kwenye uchaguzi Mkuu.
Tangu mwaka 1995 mpaka Sasa CHADEMA imekuwa mwiba...
Rostam anaposema watanzania kampuni yake ya Vodacom hailipi gawio kwa wana hisa pamoja na watanzania kumuwezesha mtaji kupitia kununua hisa
Anachoongea yeye mwenyewe hafanyi pamoja na kuwezeshwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.