Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mungu anazungumza na Taifa usiku huu na neno lake nifupi sana ila litakuwa wazi mbele ya uso wa Taifa. "Hapata mwagika Dam ktk uso wa nchi ila ole ole anaye mwaga dam 😳 ole kwa wanao panga mabaya...
17 Reactions
40 Replies
2K Views
17 Julai 2025 Ni sawa na kifungo cha nje au mahabusu ya wazi kwa viongozi wa CHADEMA Makamu mwenyekiti John Heche kuzuiwa kufanya shughuli za kichama ni sawa na kuwekwa mahabusu ya wazi...
5 Reactions
48 Replies
2K Views
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kwa siasa za nchi yetu, upinzani wa kweli utaanzia na kutatokea (originate from) ndani ya CCM yenyewe na si vinginevyo. Tulishuhudia Lyatonga Mrema alipomeguka...
1 Reactions
8 Replies
569 Views
Mbunge wa Nzega Hussein Bashe amefanya mahojiano maalum na Azam TV 17 Jul 2019 na kuzungumzia sakata linaloendelea kushika vichwa vya habari kwenye medani za siasa la waraka ulioandikwa na...
1 Reactions
4 Replies
434 Views
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM, Bara Mzee Stephen Wassira amemuonya Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Shemsa Mohamed Seif kuacha kubeba wagombea wa nafasi za Ubunge wasiokubalika na wananchi kwani...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Ni dhahiri mwenyekiti wa Chama ukilazimisha kwa hali ilivyo hutatoboa kwenye uchaguzi ujao pamoja na kwamba wewe ndo kiongozi wa nchi. Itakuwa ngumu wewe kujua maana hutakuwa na muda sababu...
0 Reactions
0 Replies
293 Views
Naona ili anguko linaenda kuwaangukia watu, maombi ya Mwamposa hayakufanya kazi? Wako wapi mashehe watoa mapovu? Je kanisa nalo limefanya vitu vyake?
3 Reactions
30 Replies
1K Views
Naandika ujumbe huu kwa masikito makubwa juu ya Kauli zako ulizozitoa kwenye mkutano wa ndani wa viongozi wa CCM pale Tarafani Kanadi Wilaya ya Itilima siku ya Tarehe 25.4.2024 kuhusu Luhaga...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Katika kumbukumbu za Siasa za Tanzania, Rais Samia Suluhu aliwahi kusema kwamba hana wazo la kuwania Urais 2025. Habari hiyo ikachapishwa na Gazeti la CCM linaitwa Gazeti la Uhuru. Japo Gazeti...
0 Reactions
2 Replies
506 Views
Mkuu wa mkoa wa Dares salaam Mh Albert Chalamila akiwa kwenye kikao cha ndani cha mkoa amesikika akilaani eneo la Cocobeach kuachwa wazi kwa ajili ya wananchi wote kutembelea bure kila...
26 Reactions
125 Replies
5K Views
Kanisa katoliki lione hivyo hivyo mnavyoliona, halina muda kubishana na yoyote lkn linaweza ku influence chochote na kikawa vyovyote. Nakumbusha maombi yanaisha mwezi August. Tumsifu yesu kristu.
1 Reactions
13 Replies
913 Views
Alichokifanya Polepole katika uislamu tunaita "Taqiyya" ambapo mtu unaruhusiwa kusema uongo kuepusha madhara makubwa zaidi. Ukimsikiliza Polepole wakati anaanza kuongea alikuwa anasisitiza sana...
12 Reactions
65 Replies
3K Views
Maana kwa sasa ni pamoto sana, Mama Samia muachie Lissu, fanya Reform na ingia kwenye uchaguzi bila kuogopa kitachotokea na ndiyo heshima kubwa utaiachia nchi hii. Wananchi watakutetea sana, ila...
2 Reactions
7 Replies
477 Views
Nimeangalia mwanzo mwisho wa Press conference ya Katibu mwenezi wa CCM TAIFA na WAANDISHI wa HABARI. Alipomaliza kutoa taarifa yake alikaribisha maswali kutoka kwa WAANDISHI wa HABARI...
5 Reactions
12 Replies
932 Views
Tangu kushindwa katka uchaguzi wa ndani wa Chadema katka nafasi ya uenyekiti kwa mwenyekiti wa mda mrefu Freeman Aikael Mbowe na mwenyekiti wa sasa Tundu Antiphas Lissu ni kuwa jamaa alikipotezea...
3 Reactions
4 Replies
510 Views
WAKUUU nimeona kuahirishwa kwa kikao cha masisiemu leo. Kiukweli nimefurahia sana sana sio kwa kidogo bali kwa wingi sana. Kama ndani ya chama chao wameanza kumkataa live live basi wale wazee wa...
6 Reactions
22 Replies
756 Views
"Samahani kwa kuuliza, lakini naomba kujua kama Tanzania kuna Atheist Society au jamii yoyote rasmi ya watu wasioamini uwepo wa Mungu? Kama hakuna, kwanini jamii kama hii haipo hadi sasa wakati...
4 Reactions
53 Replies
2K Views
GT Da ila huyu mzee ni kiboko twafa.
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Mawakili wa CHADEMA wanaijibu Mahakama kuhusu zuio la viongozi wa chama hicho kufanya shughuli za kisiasa na kutumia mali za CHADEMA. https://www.youtube.com/watch?v=CWE21IAhJ9A Baada ya...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Back
Top Bottom