MMOJA ya watia wa jimbo la Arumeru Magharibi, Ezekiel Elphas Mollel amejitosa kumuunga mkono mgombea mteule wa CCM, Noar Lembriss Mollel akidai ni operesheni kabambe ya kulikomboa jimbo hilo...
Ndugu zangu,
Kipekee, napenda kumshukuru Mungu kwa kunipa uhai siku ya leo.
Mh. Tundu Lissu namfuatilia kwa umakini sana, tangia aanze kuzunguka mikoani kutafuta wadhamini, ni kama vile anafanya...
Kumekucha Newala Mjini.
Mbunge wa miaka mingi Newala Mzee John Mkuchika Yuko hatarini kupoteza ubunge wake baada ya Chadema kumpeleka mgombea machachari anayedaiwa kufahamika na kupendwa na...
Wapo watu walitarajia kuwa Wagombea wa mwaka huu watakuwa wa aina yake lakini cha kushangaza wamechomoza wale wale akina Msukuma, Lusinde, N.k.
CCM huwa hawaangalii mgombea bora bali wanachotaka...
Mapema kabisa tayari jinamizi lakuaanza kuchafua Tume ya uchaguzi kushindwa simamia wajibu wake vizuri limeanza onekana.
Tayari kuna Mgombea ubunge na mwingine Diwani ambao ni halali kulalamika...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema inafuatilia zoezi la kuchukua fomu za uteuzi na kubaini kuwa kuna changamoto ambazo zimejitokeza kutokana na vyama vya siasa kutokujipanga na kuweka...
Ndugu zangu,
''Ukweli mchungu'', hata ukimsikiliza Tundu Lissu yeye anazungumzia ''mikataba'' ''sheria'' huku waziwazi akipuuza uboreshwaji wa elimu, afya, huduma za jamii na miundombinu ya...
Yaaani katika chaguzi zoooote zilizowahi kufanyika tangia mfumo wa vyama vingi uanze huu ndo utakua mwepesi sana kwa Chama cha Mapinduzi.
Kwa kazi alizofanya Mheshimiwa Rais zinatosha kabisa...
Maumivu ya uteuzi wa wagombea ubunge ndani ya CCM bado unaendelea. Japo wengi hawasemi wazi lakini chini kwa chini kuna mgogoro mkubwa.
Katika Jimbo la Tarime mjini, aliyeongoza kura za maoni ni...
Mgombea Lissu kazi yake kubwa hadi sasa navyomuona ni kumkosoa Magufuli na serikali yake ya CCM, sijaona hadi sasa ana malengo gani na hii nchi, kama CDM hamna sera za maana ni bora mkakaa kimya...
CCM ina mgombea dhaifu mno, nguvu yake huwa ni kukanyaga wengine wasiongee aongee yeye tu..
2015 alikutana na mgombea bubu
Mwaka huu anakutana na mgombea bora kabisa, msomi kamilifu wa Sheria na...
Ndugu zangu,
Kwa kifupi,
Nilikuwa namsikiliza Mh. huyu katika maongozi yake, ila inaonekana kama amekaa kaa kishari kishari vile
()
Kama akishindwa itakuaje sasa? Maana sioni vyama vingine kama...
Nawapa hongera sana.
Mapokezi ya Tundu Lissu kuanzia Iringa, Mafinga, Makambako, Njombe, Baba lao Mbeya, Mlowo na Tunduma, mmenikosha sana. Mbeya na Tunduma pamoja na Mlowo sina wasiwasi na...
TUNDU LISU SIYO MZEE LOWASA, ASIPUUZWE.
Na, Robert Heriel.
Moja ya sifa ya Mpumbavu ni kuishi kwa Dharau na mazoea. Tabia ya mazoea imeangusha watu wengi mashuhuri. Maisha hayana mazoea, maisha...
Mkurugenzi wa habari, uenezi na mahusiano na umma eng. Mohamed Ngulangwa amefika katika ofisi za msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Bagamoyo na kukabidhiwa fomu ya uteuzi wa Ubunge Jimbo la Bagamoyo
Mambo yalikuwa moto, kila alichopapasa yule mama mwenye roho mbaya mkurugenzi wa uchaguzi Jimbo la Kibamba kilikuwa moto hatimaye akatoa fomu kwa Bw. Ernest Mgawe, mgombea Ubunge halali kwa tiketi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.