Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mara kadha nimeshawahi kuuliza kama ni nani anaihujumu CCM na kwanini anafanya hivyo. Nimeandika na mada pia kulihusu hili Matokeo ya teuzi za ubunge yametoka, hayakuangalia kigezo cha aliyepata...
31 Reactions
114 Replies
14K Views
Serikali imewataka wakimbizi waliopo nchini kuacha kujihusisha na harakati za kisiasa katika makazi ya wakimbizi yaliyoko katika maeneo mbalimbali nchini na kwamba wanapaswa kuishi kwa kuzingatia...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kufuatana na Ratiba ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi tarehe 25 Agosti, 2020 ni siku ya UTEUZI. Ushauri wangu ni wa bure kwenu. Hakikisheni Wasimamizi wa Uchaguzi ngazi ya Majimbo Tarehe 25 Agosti...
1 Reactions
0 Replies
550 Views
Sasa ndugu zangu wa CHADEMA, kama mnajua fika kwamba serikali kupitia Dr. Abbas na TCRA wanahujumu katika vyombo vya habari kwanini msitumie mbinu mbadala kwenye press conference zenu na pia hata...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wana JF, Nimekuwa nikijiuliza ni akili gani walionayo CCM na rafiki zao eti kutaka kutumia kichaka kumkata T. Lissu? Kama CCM mngekuwa na akili, basi muacheni Tundu Lissu agombee na wala...
27 Reactions
41 Replies
3K Views
Kufuatia vikwazo mbalimbali anavyowekewa mgombea urais wa chama cha CHADEMA ndugu Tundu lisu na serikali ya ccm ili ashindwe kufanya kampeni zake vizuri, upo uwezekano wa vituo vya mafuta kupewa...
27 Reactions
49 Replies
6K Views
Zitto kaandika kupitia ukurasa wake wa Twitter. NEC wachukue tahadhari sana wasifanye huu upuuzi ambao haujawahi kufanywa katika uchanguzi wowote mkuu huko nyuma tangu mfumo wa vyama vingi uanze...
35 Reactions
161 Replies
13K Views
Leo nimemwona Lissu akitoka kwa jaji kusainisha makabrasha ya uteuzi, na kasema ameshakamilisha, sasa hao wadhamini wa Zanzibar kawapataje na lini? Huko mbona hakwenda kuziba barabara na...
7 Reactions
99 Replies
10K Views
TUNDU LISU SITAKUCHAGUA HATA USEME NINI. Na, Robert Heriel Haya ni maamuzi yangu, sijalazimishwa na mtu. Mimi Taikon wa Fasihi ambaye siku zote nimekuwa kijana mpenda maendeleo, mpenda haki...
17 Reactions
76 Replies
8K Views
Ubunifu, weledi, msimamo, uzalendo, uadilifu na kasi kubwa anayokuwa nayo katika kufanya maendeleo, ndivyo vinavyomtofautisha Rais .Dr. John Pombe Joseph Magufuli na Marais wengine barani Afrika...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa serikali ya Tanzania kulipa gharama zote za Uchaguzi Mkuu tokea tuingie kwenye mfumo wa vyama vingi mwaka 1992. Ieleweke kuwa Mwaka 2015, Tume ya Taifa ya...
10 Reactions
89 Replies
8K Views
Bashiru kama Katibu Mkuu wa CCM inapaswa hutumie vyombo vyako vyote vya usalama wa chama ili upewe taarifa sahihi ya mkoa wa Ruvuma. Ishu ni kuwa kuna kata zaidi ya nne kamati ya Mkoa ilikwisha...
1 Reactions
33 Replies
5K Views
PROF. LIPUMBA AKAMILISHA ZOEZI LA KUTAFUTA WADHAMINI KATIKA MIKOA 10. Mgombea Urais wa Tanzania, kupitia CUF-chama cha wananchi amekamilisha zoezi la kutafuta wadhamini katika mikoa kumi. Zoezi...
1 Reactions
5 Replies
44K Views
Ukisoma sheria za uchaguzi mkuu ya mwaka 2015 na mabadiliko yake yote na sheria ya matumizi kwenye uchaguzi kuna mambo yafuatayo: 1. NEC imepewa mamlaka ya kisheria kutangaza Tarehe ya Uchaguzi...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Binafsi nakosa imani kabisa,ukijimlisha na kauli zinazotoka vinywani mwa taasisi muhimu kama vile jeshi letu la polisi( IGP Siro) nk. Naomba kushare na nyinyi ka crip kadogo kisha mseme...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Sisi hatujui sheria lakini pale kijiweni kwetu kulitokea ubishi baina yetu tukibishana kuwa maandamano na mikutano inayofanywa na mgombea urais kwa tiketi ya Chadema Tundu Lissu wakati anapita...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) itatumia Sh bilioni 331.7 kwa ajili ya kuandaa na kuendesha Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 28 mwaka huu huku kitendo cha serikali kugharimia kwa asilimia 100...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Mgombea Urais wa Chama cha ACT-Wazalendo Bernard Membe amesema wao wamepata wadhamini katika mikoa kumi. Amesema ACT-Wazalenda waliamua kutafuta wadhamini kimyakimya ili kuepuka kuteleza. Majina...
22 Reactions
276 Replies
23K Views
Ikiwa imebaki miezi michache kufikia mwezi Oktoba, mwezi ambao uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 utafanyika nchini, Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Tanzania, Inspekta Jenerali, Simon Sirro, leo Agosti...
5 Reactions
105 Replies
11K Views
mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na maendeleo Tundu Lissu amekua akizunguka mikoa kadhaa akifanya kampeni kwa kutumia mgongo wa kutafta wadhamini, JE tume ya Uchaguzi hawaoni anavyokiuka...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Back
Top Bottom