Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mkosoaji wa serikali Mchungaji Mbarikiwa Mwakipesile apiga marufuku waumini wake kuhubiri neno la Mungu ataka wahubiri maneno yao tu Hatimaye roho ya upotofu ndani yake yajidhihirisha.Kwa kupiga...
0 Reactions
33 Replies
1K Views
Anaandika Askofu BENSON BAGONZA (PhD) CCM HONGERA SANA: Mmekula Ng’ombe mzima, Msishindwe kula mkia. Kwa moyo wa dhati nawapongeza CCM kwa kuitisha na kuendesha Mkutano Mkuu Maalum kwa mtandao...
6 Reactions
18 Replies
1K Views
Sote tunajua kuwa Ili uwe mgombea halali wa CCM Kwa ngazi ya urais lazima uombe Kwa kuchukua fomu na kuirudisha. Samia sijawai kumuona akichukua fomu, alijiteua tu bila kufuata taratibu...
25 Reactions
90 Replies
4K Views
HIVI karibuni Livingstone Ruhere alifanya mahojiano na Dk. Hassy Kitine, ili kufahamu kilichojiri endelea kusoma mahojiano haya. ……………………. Raia Mwema: Historia yako kwa kifupi, tafadhali. Dk...
50 Reactions
153 Replies
38K Views
Dalili xote znaonesha chama pendwa Tanzania yaani CCM mwaka huu kinaenda kusambaratika. Mwaka huu tutegemee anguko kubwa la CCM. Uhai wa CCM wa miaka 48 umefika mwisho. Kifo chochote kiwe cha...
26 Reactions
86 Replies
4K Views
Wananchi wametakiwa kupuuza taarifa za upotoshaji zinazotolewa na baadhi ya wanasiasa kupitia mitandao ya kijamii kuhusu mchakato wa kumpata Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
0 Reactions
10 Replies
508 Views
Muda wowote Mpina ataitisha press babu kubwa Unaambiwa ana nyaraka Mara 10 ya alizonazo Gwajima na polepole Kaeni kwa kutulia ni baada ya Ile Instagram live yao ya maigizo ya kanuni kuisha...
40 Reactions
127 Replies
8K Views
Habari ! Mwalimu Nyerere hakika wewe bado ni Kiongozi wa mfano na utaendelea kuwa mfano bora vizazi kwa vizazi. Binafsi nitakukumbuka mara ya mwisho kukuona katika maonesho ya Sabasaba Dar es...
0 Reactions
1 Replies
256 Views
Watu wangu acheni kulalamika ovyo, hii SGR si daladala ya Mbagala! Mkurugenzi kaamua kuweka viwango kama vya Ulaya, siyo za 'vipeto vya mahindi' wala kuku kubebwa.Kama unataka kubeba kila kitu...
15 Reactions
40 Replies
2K Views
Moto wa kisiasa unaoendelea ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhusu ukiukwaji mkubwa wa kanuni, taratibu na desturi za chama kwenye mchakato wa kumpata mgombea wa urais haujazimika—bali sasa...
38 Reactions
72 Replies
6K Views
.. Mh.Zungu (Asiye na mpinzani)akishiriki kwenye Mkutano Mkuu Maalum wa CCM unaofanyika kwa njia ya Mtandao kwenye ukumbi wa CCM Wilaya Ilala leo tarehe 26 Julali, 2025.
5 Reactions
20 Replies
1K Views
Kila siku ndugu na jamaa ya watu wanaoikosoa CCM wamekuwa wanatoa tahadhari kwa ndugu zao kuwa kuikosoa CCM si jambo salama. Lakini sijawahi kusikia mtu yeyote alipewa tahadhari na ndugu, jamaa...
14 Reactions
65 Replies
2K Views
Ncho hii hakuna mtanzania anayethubutu kuingia barabarani kisa siasa. Kila mtu anaangalia tumbo lake tu. Wanaoweza sisasa za hivyo ni wakenya tu. Hata akina mange ukiwaambia waje wawapige jeki...
7 Reactions
65 Replies
2K Views
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa asilimia 80 ya vifo nchini vinaweza kuzuilika endapo Watanzania wataamua kubadili mtindo wa maisha ikiwemo kuwa na...
1 Reactions
2 Replies
436 Views
Kila mwenye maoni ushauri changamoto mapendekezo duku duku suali kuhusu kinachoendelea katika siasa za Tanzania na kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29 mwaka huu aje hapa
0 Reactions
0 Replies
233 Views
Umri wa kupiga Kura ni kuanza miaka 18 Sasa mnashangaa nini? Nawatakia Dominica njema 🙏
2 Reactions
30 Replies
861 Views
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) nchini Tanzania imetangaza kuwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, utakaohusisha nafasi ya Rais, wabunge na madiwani, utafanyika siku ya Jumatano, tarehe 29 Oktoba...
1 Reactions
36 Replies
4K Views
GT. Anasema "Upumbavu ni kuujua ukweli lakini ukakumbatia Uongo" Aha 😄 🤣 😂 wonders shall never End
13 Reactions
36 Replies
3K Views
Jana CCM wamefanya mkutano wao wakati huo huo tume ya uchaguzi imeweka wazi ratiba rasmi ya uchaguzi mkuu. Hii inatoa taswira kuwa CCM hawajali lolote lile, kumekuwepo mambo mbalimbali yanao...
1 Reactions
8 Replies
461 Views
Watanzania/Watanganyika wameuona mwanga wa Bwana. FANYA REFORM, WAMECHOKA, WEKENI MPIRA KATI TUCHEZA
0 Reactions
4 Replies
546 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…