Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Niliwahi kuandika humu nikasema kuwa katiba haikutokana na genetic factor,bali katiba bora lazima iakisi mazingira yaliopo,povu zikawa nyingi,nikatolea mfano wa PK. Demokrasia mnayoipigia chapuo...
0 Reactions
0 Replies
230 Views
Kwa nini Kamati Kuu au Halmashauri Kuu ndiyo iamue Kamati Kuu inataka kuleta udikteta. Kikao cha chini kiseme ,Hawa watu kumi wanataka kuwa Wabunge.
2 Reactions
5 Replies
445 Views
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, leo tarehe 17 Mei 2025 amezungumza na waandishi wa habari katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Nawauliza ccm kwann mnataka tuingie kwenye uchaguzi tukiwa na hii katiba mbovu kuliko kawaida? Mfano tumeshuhudia ubabe wa matokeo ya wabunge Malaya kuchaguliwa chini ya mwamvuli wa dola hivyo...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Haipatikani hewani tena. Ni kwa ajili ya matatizo ya Ufundi au ni yaleyale ya kukomoana, kwamba mwaga mboga nimwage ugali, ama ni mambo ya Ithibati?
6 Reactions
27 Replies
2K Views
Kwa mara ya kwanza katika historia ya ccm, mkutano mkuu maalumu wa CCM taifa kidigitali, umefanyika kwa kwa mafanikio makubwa, kwa maelewano na utulivu wa kiwango cha juu sana miongoni mwa wajumbe...
8 Reactions
56 Replies
2K Views
1, Ni mambo gani ambayo ni kikwazo kwa utekelezaji wa mchakato wa katiba mpya kwa Taifa letu Tanzania? 👉 Ukosefu wa nia ya kisiasa kutoka kwa viongozi wa juu 👉, Ukosefu wa fedha za kufanikisha...
0 Reactions
2 Replies
369 Views
Sina hakika sana na uwezo wa Vijana wa kitanzania lakini huu ni Mwanzo mzuri kwa sababu hata Yesu Kristo alihudumu akiwa na miaka 30 hadi aliposulubiwa akiwa na miaka 33 Natamani hata mwanetu...
2 Reactions
10 Replies
453 Views
Tukiangalia historia , desturi na katiba zetu viongozi ngazi za juu kuanzia waziri mkuu , makamu wa Rais na Rais hushika nafasi hizo kwa kipindi kisichozidi miaka kumi. Aliyewahi kuzidisha kipindi...
3 Reactions
90 Replies
3K Views
Mwaka huu 2025 Mama Samia atapita tu kwenye uchaguzi, si kwa sababu watu wanampenda sana – la hasha – bali ni kwa sababu mambo yalivyokaa tu. Chadema walishajichimbia kaburi mapema na ka-ideology...
13 Reactions
51 Replies
2K Views
Aliyesimamia mkutano wa CCM leo ni yule mvunjifu wa katiba ya chama cha CCM msitegemee majibu ya hapana kwenye kubadilisha katiba. Kama unakumbuka vizuri alivunja katiba ya chama kwenye...
1 Reactions
2 Replies
398 Views
Yaani hiki kitendo cha kuitisha mikutano mitatu kwa siku moja yaani Kamati Kuu, Halimashauri kuu na Mkutano Mkuu ni dharau kwa Wajumbe na Wanachama wa CCM. Kwa mani yangu kinachofanyika hapa ni...
7 Reactions
23 Replies
1K Views
Huoni wamekupiga chenga ya mwili? Kwamba majina yatatumwa Dodoma na si lazima walioshinda kura za maoni ndio wapigiwe kura. They can come with their names ...particularly Menyekiti,katibu...It...
0 Reactions
5 Replies
698 Views
Mkutano Mkuu wa ccm uliofanyika kwa njia ya mtandao,umeibua maswali mengi kuhusu uhalali na uwazi wa mchakato huu. Mwanachama mmoja wa CCM, ambaye alijitokeza kuwania ubunge, amekataliwa...
0 Reactions
0 Replies
449 Views
Ndugu zangu Watanzania, Naona ni kama Polepole anajitekenya na kujichekesha Mwenyewe. Anataka kufanya na kuwachukulia Watanzania kama wajinga na watu wasio jitambua wala kujielewa. Anataka afanye...
-1 Reactions
136 Replies
5K Views
Huu hapa mtazamo wa mwalim Nyerere kuhusu uchaguzi wa Tanzania 2025 na wanasiasa wake
0 Reactions
2 Replies
328 Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA (Bara), John Heche amesema viongozi wa chama hicho wanaheshimu uamuzi wa aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe kuwa kimya na kwamba wanamheshimu kama...
15 Reactions
105 Replies
6K Views
Kazi na utu ipo kupingana na Hapa kazi tu? Kama ni hivyo Ccm ya sasa wana haja ya kujitafakari... Maana kimsingi slogan hii haina uhalisia... Kazi zinafanyika? yes...miradi inamaliziwa...
0 Reactions
5 Replies
296 Views
Natamani kuwa Mwanasiasa lakini moyo wangu umegoma kabisa! Nikitazama runinga, nikisoma magazeti, au kushuhudia mijadala ya kisiasa, kuna sauti inaniambia: "Laiti na mimi ningekuwa mwanasiasa!"...
3 Reactions
24 Replies
983 Views
Tunashuhudia utekelezaji wa Katiba ya Taifa letu kwa 100% Hongera sana viongozi wetu. Mabeberu walishindwa hata ku-edit slogan yao ya kibeberu kwa kiswahili. OCTOBER TUNATIKI ✅ ✅
5 Reactions
31 Replies
2K Views
Back
Top Bottom