Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Huu ni ushauri kwa Wogombea wote. Kama unaona hupendwi na wananchi soma alama za nyakati na usilazimishe. Wengi wa wagombea hasa kwenye nafasi za Udiwani, Ubunge nakadhalika wanalazimisha...
8 Reactions
22 Replies
881 Views
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Kenan Laban Kihongosi, akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameongoza harambee ya kuchangia ujenzi wa Kanisa Kuu la...
1 Reactions
5 Replies
430 Views
TCU kama inavyodhibiti uajiri wa waalimu, pia iweke mkono wake jinsi ajira zao zinavyokoma. Vyuo binafsi ni biashara kwa hiyo kama mwalimu "anakaza" Sana kwenye taaluma, kuna namna chuo...
0 Reactions
0 Replies
282 Views
Katika historia ya maendeleo ya kiuchumi duniani, hakuna taifa lililopaa kufikia economic sovereignty bila kukabiliana na changamoto za madeni, sera dhaifu, na utegemezi wa rasilimali za nje...
0 Reactions
4 Replies
317 Views
Kimsingi mimi ninakubaliana na Ngurumo kuwa vyama vyote vinahitaji mabadiliko ya kikatiba, sheria na kanuni za kiuchaguzi(Reforms), CHADEMA, ACT, CHAUMMA,UMD, NCCR, CUF na hata CCM kwa kiwango...
1 Reactions
22 Replies
939 Views
Maneno haya pengine siyo mageni sana kwako "The one who got you here won't get you to the next level" yanabeba maana ya kina katika muktadha wa maendeleo ya mtu binafsi, kazi, uongozi au...
0 Reactions
1 Replies
310 Views
https://youtu.be/IE9sYQ6WgE0?si=C66gZnDjjqoCBh1k Hii ni hatua muhimu ta kwanza ndani ya chama iliyofanywa na Hayati Rais Magufuli alipokuwa anakiomba chama chake CCM kimteue kugombea u - Rais wa...
6 Reactions
17 Replies
1K Views
UTANG'ARA AU UTAFUBAA Zamani za kale, katika Ufalme mkubwa wa Singida, alizaliwa mtoto wa kifalme mwenye alama ya ajabu usoni jina lake aliitwa Kachimuu, mtoto wa malkia wa pili. Kabla...
0 Reactions
0 Replies
241 Views
Akizungumza Julai 26, 2025 katika hafla ya kuongoza dua maalum kwa ajili ya kumuombea heri na ulinzi Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu,aliyeko rumande kwa tuhuma za uhaini na uchochezi...
2 Reactions
6 Replies
565 Views
Hii imewavua nguo waandishi wote waliokuwa wakidhamiwa kuwa ni wakongwe na wakati hawana vyeti vya taaluma zao ? Mliwezaje kufanya mahojiano na watu wakubwa na kuzunguka duniani kote...
25 Reactions
165 Replies
9K Views
Samia anasema ni “wengi” kwenye ubunge na udiwani ndiyo maana wanabadilisha katiba ya CCM—lakini kwenye urais yuko peke yake, hataki fomu zipewe wengine! Alijiteua mwenyewe kinyume na katiba ya...
12 Reactions
28 Replies
2K Views
"Tumeshampata!’ – Yombo Vituka Yamlilia Fulgence Lwiza Kabla ya Kura za CCM" Na Mwandishi Wetu – Dar es Salaam Kata ya Yombo Vituka, Wilaya ya Temeke, imeingia katika hekaheka za uchaguzi wa...
0 Reactions
2 Replies
395 Views
Kama unabisha tembelea vituo vya kupigia Kura Siku ya Uchaguzi hasa Manzese Tandale hadi Manyanya Labda mkuu mrangi Ova hapo mitaa ya Kinondoni A tupe uzoefu wako wa Siasa za Jimbo Nimekaa pale 😄
1 Reactions
2 Replies
244 Views
Hata mimi nimejifunza kitu hapa. Yaani iwapo kuna mtu ana mashaka na uungwaji mkono wa Rais Samia ndani ya chama chake basi leo imedhihirika tena mbele ya Dunia kwamba Wajumbe wa Mkutano mkuu wa...
5 Reactions
18 Replies
912 Views
Sheikh Ibrahim Kaniki amesema hakuna utengano kati ya dini na siasa, akisisitiza kuwa masuala ya kisiasa huathiri moja kwa moja maisha ya waumini wa dini, hivyo ni muhimu viongozi wa dini...
0 Reactions
4 Replies
306 Views
Wanagawa pesa kama njugu bila hata ya aibu. Wana uhakika gani kama majina yao yatarudi? Na hizi pesa wanazogawa wamezipata wapi? Kwa nini Takukuru haiwachukulii hatua?
3 Reactions
45 Replies
2K Views
Amos Makalla katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo katika Chama Cha Mapinduzi (CCM) anazungumza na waandishi wa habari. https://www.youtube.com/live/HklC_qQvjgU?si=qzSVQt19PHc5ohRC Katibu wa...
2 Reactions
4 Replies
913 Views
Watu 4,109 watia nia kuomba ubunge kupitia CCM. Fomu moja Laki 5.Hivyo fomu zimeiingizia CCM shilingi 2,054,000,000 kupitia fomu walizochukua Tunawatakia kila la heri
0 Reactions
12 Replies
442 Views
https://www.youtube.com/live/1ItuJDYxY40?si=N0pVPil_hULmcM37 Wakuu, CCM wanafanya mkutano wao mkuu maalum leo na kesho (May 29-30) Dodoma, nadhani an wengine watafuatilia mahala walipo kwakuwa...
8 Reactions
71 Replies
6K Views
Back
Top Bottom