Husika na mada tajwa hapo juu.
October tutakuchagua kwenye sanduku la KURA kwasabu umetumalizia shida zetu, tunaishi kwa amani, si mtumishi, si mkulima, si mfanyabiashara, si mfugaji, si...
Habari wakuu,
Leo Jumamosi, July 23, 2016 ni mkutano mkuu maalum wa chama cha mapinduzi(CCM) kumthibitisha Rais John Magufuli ili awe mwenyekiti mpya wa chama cha mapinduzi kumpokea kijiti...
Tanzania ya Samia imeendelea Kuandika rekodi ambazo haijawahi fikiwa hapo kabla ambapo safari hii ni uwekezaji wa kutoka Nje yaani FDI.
Kwa mujibu wa ripoti kutoka shirika la Kimataifa...
https://www.youtube.com/live/G7yv_AM6JAA?si=n0iy7ZZrOM3x13x-
Mwenyekiti wa Tume huru ya Uchaguzi Tanzania: Tume imekamilisha uboreshwaji wa daftari la wapiga kura kwa awamu mbili, awamu ya...
Naam wana JF hali inavoelekea sasa ni mbaya kuliko mda wowote.
Serekali ya ccm kupitia mamlaka ya mapato Tanzania TRA imetangaza kua wanaofanya biashara online, wanaoishi Airbnb, na wanaochapisha...
Hofu ileile iliofanya Akahairisha Mkutano na kukimbilia Zanzibar.
Sasa imewafanya Waitishe Mkutano Kwa njia ya Mitandaoni !
Genge la Samia limekabwa vilivyo, wanajaribu kucheza na KATIBA kijanja...
Humphrey Polepole akifanyiwa mahojiano na Aloyce Nyanda ameeleza kuwa kujiuzulu kwake ni kama njia ya kupinga ama kuonesha kwake kutoridhishwa na mwenendo wa serikali na chama.
Awali ulipangwa kufanyika tarehe 30 October 2005, Baadae ukasogezwa mbele hadi Tarehe 14 December 2005.
Hiyo ni baada ya aliyekuwa Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chadema Kufariki, Jumbe Mohamed...
Ukweli usemwe, watanzania wanapenda umbea na habari nyepesi, kuwa cut off watu wanaokata kiu hiyo ni kujifanya hatuijui jamii yetu, na pia habari hizo nyepesi (umbeya) zimesaidia ku-de-fuse jamii...
Tumeona kazi nzuri aliyoifanya Mh Rais wetu Dr Samia Suluhu Hassan.
✓alikuta Watumishi hawajapanda madaraja kwa kipindi kirefu akawapandisha wote
✓alikuta boom vyuoni elfu 7 akapandisha kuwa elfu...
Kama kurekebisha Katiba yenu jambo ambalo ni kubwa Sana ndani ya mwaka mmoja mmeweza kufanya mara mbili, kwa nini hamtaki kurekebisha baadhi ya vifungu vya Katiba Tanzania pamoja na Sheria za...
Baada ya sakata la tour guide kuwaruhusu watalii kushuka kwenye magari kutazama kivuko cha nyumbu ni kinyume na taratibu za uhifadhi pamoja na uongozaji wa watalii lakini ucheleweshaji wa kujenga...
Leo CCM wanafanya Mkutano Mkuu maalum kidijitali . Niseme ukweli huu mkutano hautakuwa na matokeo chanya kama CCM wanavyotarajia. Asilimia kubwa ya Wajumbe hawajui dhana ya mtandao na hasa kule...
Humphrey Polepole ameendelea na msimamo wake wa kueleza ni kwa namna gani utaratibu wa kupata mgombea wa Urais kupitia chama hicho ulivyokiukwa.
Polepole amehoji kuwa waliobadili gia angani na...
1. Ulazima wa kuchukua na kujaza form
2. Ulazima wa kutafuta wadhamini
3. Ulazima wa majina matatu
4. Ulazima wa kupigiwa kura na mkutano mkuu
Yote haya yanafanyika ili mgombea wa sasa asiendelee...
Kwa hali ilivyo ndani ya CCM kwa sasa kitu pekee kitakachoiokoa CCM ni mchakato wa wazi na unaorushwa live kwenye luninga nchi nzima na vyombo vyote vya habari. Kinyume na hapo Chama hakuna tena...
Siku ya Mashujaa Tanzania ni siku muhimu ya kumbukumbu ambayo huadhimishwa kila mwaka tarehe 25 Julai kwa heshima ya mashujaa wa Taifa letu waliojitolea kwa ajili ya uhuru, umoja, na maendeleo ya...
Ukweli mchungu kwa Wana CCM
Kwanini Samia anachukiwa Sana na wanachi masikini, Na wenye kipato Cha Kati?
Ambao population yao ni zaidi ya milioni 60 nchini? Wastani wa wapiga kura 30milion...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.