GE2025 Mkutano mkuu wa CCM kesho kuwashangaza wengi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Wimbo

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2012
Posts
886
Reaction score
664
Bila Shaka CCM imetafakari vya kutosha na kesho muda wa uchaguzi mkuu unaweza kusogezwa ili kuondoa sintofahamu ambayo inaweza kutukuta endapo tutalazimisha kuendelea na hali ilivyo.

Miaka miwili ya mpito inatosha kurekebisha katiba ya CCM na katiba ya Taifa inayosubiri kwa zaidi ya miaka 10 bila sababu ya msingi, kuikwamua kutofuta nakosa yote ya Samia na kumuingiza kwenye Historia isiyo na majuto.

Lakini CCM tuking'ang'ania itatugharimu kama si sasa baadae
 
Miaka miwili ya mpito inatosha kulekebisha katiba ya CCM na katiba ya Taifa inayosubili kwa zaidi ya miaka 10 bila sababu ya msingi, kuikwamua kutofuta nakosa yote ya Samia na kumuingiza kwenye Historia isiyo na majuto.
Lakini CCM tuking'ang'ania itatugharimu kama si sasa baadae
HApana , twende mpaka 2030 kwanza
 
Bila Shaka CCM imetafakari vya kutosha na kesho muda wa uchaguzi mkuu unaweza kusogezwa ili kuondoa sintofahamu ambayo inaweza kutukuta endapo tutalazimisha kuendelea na hali ilivyo.

Miaka miwili ya mpito inatosha kurekebisha katiba ya CCM na katiba ya Taifa inayosubiri kwa zaidi ya miaka 10 bila sababu ya msingi, kuikwamua kutofuta nakosa yote ya Samia na kumuingiza kwenye Historia isiyo na majuto.

Lakini CCM tuking'ang'ania itatugharimu kama si sasa baadae
Hivi unajua mabadiliko ambayo yanafanyiwa kazi kesho?
 
Bila Shaka CCM imetafakari vya kutosha na kesho muda wa uchaguzi mkuu unaweza kusogezwa ili kuondoa sintofahamu ambayo inaweza kutukuta endapo tutalazimisha kuendelea na hali ilivyo.

Miaka miwili ya mpito inatosha kurekebisha katiba ya CCM na katiba ya Taifa inayosubiri kwa zaidi ya miaka 10 bila sababu ya msingi, kuikwamua kutofuta nakosa yote ya Samia na kumuingiza kwenye Historia isiyo na majuto.

Lakini CCM tuking'ang'ania itatugharimu kama si sasa baadae
Kikwete na Mchengerwa watakubali?
 
Samia anajaribu ku buy time tu ...narudia tena kusema samia hafai kuwa rais hata wa mamungo fc
 
Kuongeza vifungu kwenye Katiba ya CCM ambavyo havipo na vinalalamikiwa havipo, usidhani hatujafuatilia, kufanya reform Katiba ya CCM sawa ila kufanya reform Katiba ya NCHI emu subiriini kwanza, kumanyokozenu CCM
Kifungu kipya kinasema hivi, (Mgombea Urais anayetokana na ccm hatolazimika kutafuta wadhamini mikoani, atadhaminiwa na Wajumbe wa sekretarieti ya chama)
 
Tanzania kuongozwa na Samiah ni big disappointment. Basi tu watu tumekuwa mavhawad
 
Kwamba trh ya uchaguzi inapagwa na ccm na sio tume ya uchaguzi? Kweli tunahitaji reforms
 
Kifungu kidogo kitasema kauli ya mwenyekiti ndio ya mwisho hamna kenge wowote atayepinga kuvuliwa uanachama
 
Bila Shaka CCM imetafakari vya kutosha na kesho muda wa uchaguzi mkuu unaweza kusogezwa ili kuondoa sintofahamu ambayo inaweza kutukuta endapo tutalazimisha kuendelea na hali ilivyo.

Miaka miwili ya mpito inatosha kurekebisha katiba ya CCM na katiba ya Taifa inayosubiri kwa zaidi ya miaka 10 bila sababu ya msingi, kuikwamua kutofuta nakosa yote ya Samia na kumuingiza kwenye Historia isiyo na majuto.

Lakini CCM tuking'ang'ania itatugharimu kama si sasa baadae
mnatukosea sana eti miaka 2 na huyu mtu?
Hivi nyie mnaona tuko salama hii picha ya uongozi?

Hii ni sawa na Mpare kula ugali kwa picha ya samaki
 
kesho jmosi anaongea mfalme wa Tz, mlimpa wenyewe. Wote mpaka msajiri wa vyama anasubiri maelekezo pamoja na Inec hii jmosi
 
Lax miaka mutant ni mingi sana!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom