Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nchimbi ni mmoja wa Watanganyika walioipambania CCM tangu akiwa kijana mpaka leo hii anakuja kufukuzwa kwa kuktaa uchawa na kupinga maovu We kidampa ambae kumiliki tu smart phone unajiona CCM...
11 Reactions
11 Replies
171 Views
Tunapoimba wimbo katiba mpya, ni pamoja na kutaka Heshima za WATANZANIA ziheshimiwe, Sasa wewe jiulize mtu aliwai kuwa MBUNGE,baadae wananchi wakampiga chini kwa KUKOSA adabu na KUSHINDWA...
2 Reactions
1 Replies
118 Views
Huyu waziri wa serikali ya mtaa, nchini Uganda anae wakamata hadharani Wala rushwa AMBAO wamekuwa wakila rushwa kwa maelekezo ya ikulu miaka yote, ILA Leo baada ya Bob wine kuwakalia juu wakaona...
0 Reactions
2 Replies
82 Views
Hayati Magufuli akiwa kwenye Kampeni Shinyanga aliahidi kumpatia huyu jamaa nafasi kwa kumshawishi amuunge mkono Katambi ambaye kama isingekuwa vile sidhani kama angekuwa hapo alipo sasa. Je...
9 Reactions
50 Replies
7K Views
Tuelimishane au vipi? Manyanza Mshana Jr
5 Reactions
37 Replies
894 Views
Mkuu wa Wilaya ya Chunya, Mkoa wa Mbeya, Mhe. Mbarak Batenga, amewaahidi Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Chunya kwamba moja ya vigezo muhimu vya kupima utendaji wake ni kutatua kero ya maji...
0 Reactions
3 Replies
203 Views
Bila maamdano haki haipatikani. Maandamano yaitishwe nchi nzima mpaka waseme po. Katiba mpya ndio suluhu ya ufisadi na na wanasiasa wezi kama CCM mtandao. Bila maandamano hatupati katiba mpya.
2 Reactions
9 Replies
167 Views
Mkuu wa Wilaya ya Chunya, Mubarak Batenga, amefanya ziara katika vijiji vya Matondo na Itumbi na kugundua changamoto kubwa zinazokabili jamii katika maeneo haya. Katika ziara hiyo, alikuta hali...
1 Reactions
7 Replies
715 Views
Tangu mh Nchimbi ajiudhuru mpaka sasa ni takribani siku ya nne lakini hakuna kauli yoyote ya mkuu wa nchi. Kwa namna ya ukubwa wa jambo lenyewe ilipaswa mpaka sasa nchi iwe imesikia kauli yoyote...
1 Reactions
0 Replies
59 Views
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Beno Malisa, ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani humo kuchukua hatua za haraka dhidi ya mkandarasi wa mradi wa kituo cha mabasi wilayani...
0 Reactions
3 Replies
123 Views
Mkurugenzi Mtendaji na Rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere, Mzee Joseph Waryoba Butiku, amesema anaamini kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeanza kupoteza uelewa wa nafasi yake kama chama...
3 Reactions
10 Replies
366 Views
Mashahidi wa Tundu Lissu wakipigwa msasa.
15 Reactions
8 Replies
336 Views
Sidhaniii kama yeye alichukua fomu na kutafta WADHAMINI ili agombee Urais, yeye hakupitia HATUA hii, amdhaka yake yatakumbukwamaisha yetu sote. Je walio mpitisha kinyume katiba Yao ndo...
2 Reactions
4 Replies
147 Views
Si mbaya nikiamini kwamba ktk miaka 10 ijayo issue ya Tanzania ya viwanda itakuwa sawa na kilimo kwanza. Sababu nitazianika hapa km Mungu atasaidia nifikie hiyo miaka nikiwa hai. For the moment...
10 Reactions
79 Replies
5K Views
1. Samia Suluhu Hassan 2. DGIS Selemani Mombo 3. IGP Camilius Wambura 4. CDF Jacob Mkunda 5. Mkuu wa Operesheni TISS Fadhili 6. CP Awadhi 7. SACP Mafwele 8. Mshauri wa Rais Siasa Bw. Kheri...
36 Reactions
56 Replies
2K Views
Bila kupepesa macho salamu na shukrani zangu za mwaka mpya naelekeza ktk timu ya wanasheria wa CHADEMA. Kwa weledi, tenacity na mioyo yao mikubwa. Itakuwa mbaya kama siasa, itikadi au chuki...
12 Reactions
50 Replies
6K Views
Duh. Nipo napata gahawa hapa, najiuliza miaka sio mingi nyuma. CCm ilikuwa na assets kubwa ya wachambuzi wa masuala ya siasa.Ilikuwa na waandishi wengi kila kurasa za mbele zilijaa chambuzi mbali...
16 Reactions
69 Replies
7K Views
Wako wapi Hawa vijana? Hivi Hamisi kigwangala ameweza kulipa ule mkopo wa pikipiki alizotoa kwa wananchi Kisha akachinjwa? Yu wapi Januari makamba mtoto pendwa wa jakaya na mwandishi wake wa...
1 Reactions
1 Replies
77 Views
Yaani Kuna mambo ya yanaendelea Tanzania yanaumiza sana, yaani ukienda serikali utazania hakuna kilichotokea Tanzania, Wakuu wa MIKOA Sasa wameanza kubadilishwa tu mtu kama.mtanda ambaye polisi...
1 Reactions
0 Replies
128 Views
Uzi huu ni kwaajili ya kuwakumbuka wanasiasa wote ambao kwa namna fulani wameonja joto la Rais Samia kwa kuwekwa kando ya madaraka. Naanza na Balozi Emmanuel Nchimbi, Spika Job Ndugai. Endelea...
3 Reactions
13 Replies
355 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…