Maria Sarungi ameandika post ambazo zimenifanya nimjue kuwa hana akili sawasawa, hajui mambo mengi sana, wajinga tu ndo wanaweza kuamini post zake. Kwasababu chadema Ina ujinga ujinga na upumbavu...
Katika jambo baya sana wakoloni walilotufanyia Africa ilikuwa ni kugawa bara la Africa mezani katika vipande mbalimbali bandia walivyoviita nchi.
Hili ni jambo ambalo limewatesa sana Waafrika...
Kesi ya madai ya umma iliyofunguliwa katika Mahakama Kuu ya San Mateo, California (Case No. 26 CIV 06555) na Mange Kimambi dhidi ya Meta Platforms, Inc. (imeambatanishwa kama attachment) imeweka...
Tumefikia mahali ambapo viongozi hawana furaha japo wana kila kitu na wananchi hawana raha na hawawapendi viongozi wao.
Kiongozi kila siku anaombewa apatwe na mabalaa watu wafurahi, kiongozi...
Wako wapi? Hilo ndilo swali linaloendelea kuwasumbua familia za watu waliotoweka mazingira ya kutatanisha. Leo, dunia ikiadhimisha Siku ya Kimataifa ya Waathirika wa Kutoweshwa kwa Nguvu...
Hakuna shule inayofundisha kuwa Makamu wa Rais, bali sifa zako na bidii, weledi, nidhamu na utayari wako wa kujifunza kufuatilia na kusimamia shughuli mbalimbali za utekelezaji zitakusaidia...
Mwakumbuka akiwa anahojiwa alivyojibu kwa dhereu na kiburi.
Mwenyewe anacho kilifikiri kinanguvu. Hehehee! Walahi tutaona mengi.
Wewe mzee miyeyusho sana. Humwoni Emma the boy alivyowekewa...
Wakati wa sakata la Chadema kuwafukuza Covid 19 baada ya kugoma kufika kwenye kamati yao maadili, ccm na spika waliwalinda hadi wakamaliza muda wao wa ubunge. Ccm wote wakawa wanawachafua cdm kuwa...
Na hata hivyo huko kwenye chama wanaburutwa tu kama tela la punda,
Mambo ya zidumu fikra za mwenyekiti tangu zama za nyerere ndio zinazo liua sana taifa hakafu kuna anasema nyerere mtakatifu...
Wanabodi,
Hii ni Makala Yangu kwenye Gazeti la Nipashe la Leo.
Angalizo:
Hii Mada ni Swali na Alama ya Kuuliza iko wazi na sio Statement!.
Nimeanza hivyo kwasababu mimi mwenzenu niliwahi kuitwa...
Unakuta Kuna Jamaa CCM akiongea, anasema 'Sisi tuko kama Wachina".
Pumbafu kabisa, Hivi ukiitazama Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu yà CCM Kuna mwenye Akili pale? Mtu ambaye anaweza kuleta Maono...
Sogezeni Mbele Mkutano !!.
Kuna Mapinduzi ya Uongozi chamani .
Mbowe kumulikwa na Media Leo ,na kupewa mapicha mapicha, ni sehemu ya Mpango Ovu.
SOGEZENI MBELE MKUTANO WA BARAZA KUU.
Sababu...
Nikitafuta sana ni kipi signifcant and iconic kilichowahi kufanywa na Jaji warioba katika nyakati zake akiwa madarakani nakosa.
Hata hivyo kwa upendo tu wa watanzania tulimjengea heshima unaweza...
Captain wa meli yetu anasema yeye ndiyo captain! Sawa lakini angetakiwa kujikita kuokoa meli yeye bado anafukuza watu ndani ya meli na kulaumu abiria wakati moto unawaka kwenye meli na bila...
Hotuba ya rais Samuya wakati akimuapisha makamu wa rais wa mashaka na mizengwe akisema kuwa wamewapa vijana umakamu. Je, nii ni hila ya kuwahadaa vijana hasa Gen Z kuingia mkenge kuwa...