Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mkiona sera za CCM zinadumu mjue viongozi wetu wanafanya kazi kubwa sana Kenya wanaiga sana lakini wanachemka Sasa wanaiga maghorofa ya Shujaa Magufuli ya pale Magomeni Ahsanteni sana 🙏
0 Reactions
0 Replies
150 Views
Mara 4R, Mara mardhiano....... haya yote ameshidwa na vigogo ndani ya CCM https://youtu.be/Ku52ZOjs0oQ?si=N3mmmLL4TrSqjbhQ
4 Reactions
13 Replies
822 Views
Kubali ukatae kuna mgawanyiko mkubwa ndani ya CCM. Kuna kundi kubwa linalompinga Samia ndani ya CCM. Hakuna kitu kibaya kama kuwa na mpinzani wa ndani hii ni kitu mbaya sana. Mtu anae kujua vizuri...
7 Reactions
34 Replies
2K Views
Wakuu! Kwa mujibu wa kanuni za mchakato wa uchaguzi, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imepiga marufuku matumizi ya simu za mkononi na vifaa vingine vya mawasiliano ndani ya vituo vya kupigia kura...
0 Reactions
4 Replies
588 Views
Kanisa ni asasi ya kiraia inayohitaji ulinzi na huduma nyingine za kiraia kama polisi, maji, umeme, barabara, usajiri, misamaha ya Kodi, ardhi, nk. Waumini ni raia pia wanaishi kwenye jamii...
11 Reactions
219 Replies
8K Views
Waziri Kombo akutana na Meya wa Mji wa Dallas Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb), amekutana na kufanya mazungumzo ya heshima na Meya...
0 Reactions
5 Replies
487 Views
Hii hoja imejadiliwa na Bunge la Ulaya kwamba EU inamwaga mabilioni ya Fedha za Misaada na mikopo na fuu Kwa Nchi za Kiafrica Ili kujenga mahusiano ya manufaa Kila upande lakini Afrika inaonekana...
8 Reactions
225 Replies
7K Views
Kwa miaka ya karibuni huyu bwana amepanda sana chati na kuwa mmoja wa mamastermind wa uendeshaji wa nchi hii. Ukiacha nasaba na kuwa mkwe wa mama lakini pia ni waziri mwandamizi anayefoka kwenye...
20 Reactions
107 Replies
7K Views
Mheshimiwa Jokate Mwegelo hajachukua Fomu popote Duniani anataka tumueleweje?
2 Reactions
15 Replies
726 Views
Huyo GS mgeni wa CCM si mtu mwaminifu kwa Mamlaka hata japo kwa kiasi, na ndiyo maana alimgomea Kikwete na maamuzi yake ya 2015. Mbaya zaidi, alimgomea huku akiimba na mapambio kwa kupayuka na...
29 Reactions
133 Replies
12K Views
Nashauri Samia apumzike apishe wengine wafanye kazi Pia watu wake wa karibu wote WANATAKIWA kupumzika Asipokubali atatoka kwa aibu Ni ushauri anaweza kuuchukua au kuuacha ila aongee na nafsi...
41 Reactions
67 Replies
4K Views
Kama anakuja kwenye point....let us wait
5 Reactions
19 Replies
1K Views
Nayakumbuka sana haya maneno ya Shujaa Magufuli kwa sababu hata mimi nilipendelea JK aendelee na Uenyekiti Kwahiyo kusema JK aliingilia mchakato wa January this year ni kumuonea bure tu...
1 Reactions
13 Replies
669 Views
Leo sita andika makala ndefu, lengu lango ni kujua maoni ya wadau; kati ya Kikwete na Majaliwa, nani anasema ukweli kuhusu sheria zetu za uchaguzi. Itakumbukwa kuwa, Kikwete katika kongamano la...
2 Reactions
4 Replies
506 Views
Komredi Kinana aliyasema haya kwenye kikao cha Maridhiano kati ya CCM na Chadema mara baada ya Mbowe kufutiwa kesi ya ugaidi Je, Komredi Polepole anazungumziaje chaguzi za 2019 na 2020 Lakini...
0 Reactions
1 Replies
246 Views
Mama Samia mimi ni kijana wako, nakupenda na nakuteteaga wewe na rafiki yangu Abdul. Lakini sijui ulifikiria nini kumpa nafasi nyeti mtu kama Amos Makalla, sijui ni nani alimpendekeza na sijui...
3 Reactions
19 Replies
739 Views
Kama umesomea Cuba na ukafanikiwa kupata angalau D 2, utafahamu kuwa mjamaa yeyote akifika Cuba (ardhi ya mwanamapinduzi mjamaa hayati Fidel Castro) lazima apate vibe la kimapinduzi na lazima...
12 Reactions
32 Replies
2K Views
Shetani hana rafiki Wale machawa wote waliokuwa wakitangaza maredioni kumbe sio ithibati hazikai vizuri ila hawana vyeti vya form four. Sasa waje mtaani waone mambo yalivyo.
0 Reactions
9 Replies
503 Views
JK avalia njuga mimba mashuleni 2008-07-21 08:39:53 Na Lulu George,PST, Muheza Rais Jakaya Kikwete, amelitaka Jeshi la Polisi, kutumia vipimo vya kutambua vinasaba (DNA) ili kuwabana...
0 Reactions
30 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…