Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Huu ni ushauri tu maana imeandikwa kwenye "ashupaye shingo atavunjika ghafula, wala hatakuwa na dawa" inatoka katika Biblia, hasa katika kitabu cha: Methali 29:1 "Mtu ashupaye shingo baada ya...
1 Reactions
5 Replies
551 Views
Je, Amani haiko kundi la “ na hayo mengine yote mtazidishiwa”? Mlale unono 🙏😄🇹🇿
0 Reactions
5 Replies
215 Views
Minong’ono ya kuteuliwa kwa Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea urais kupitia Chama cha Mapinduzi katika Mkutano Mkuu wa Januari 19, 2025 jijini Dodoma, imeendelea kutawala na safari hii...
10 Reactions
16 Replies
3K Views
Kwa mujibu wa Polepole. Ni utaratibu wa CCM. Mimi ni CCM, Rais wangu Mama Samia, miaka kumi imetosha, baada ya Nyerere hakuna aliekaa Ikulu zaidi ya miaka 10
2 Reactions
2 Replies
335 Views
Anaandika Rais wa TLS, Boniface Mwabukusi "Katika nyakati za uchaguzi, taifa letu hujaa kelele, ahadi, na vilio bandia vya mashujaa wa kisiasa waliolala wakati wa dhiki, lakini sasa wanajivika...
13 Reactions
54 Replies
2K Views
Kuna Crisis ya makusudi kabisa inatengenezwa na Wahusika wa Mradi huo wakishirikiana na Wamiliki Binafsi wa Magari watoto Huduma za Usafiri !!. Ila Kukomesha Uhuni huo, ambao ni pamoja na...
0 Reactions
12 Replies
617 Views
Mchambuzi wa masuala ya siasa, Dk Dennis Muchunguzi amekosoa kauli za aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole kuhusu uteuzi wa Rais Samia kuwa mgombea pekee aliyepitishwa na...
0 Reactions
8 Replies
794 Views
Iko kwenye kumbukumbu, Hayati Magufuli alichukua fomu ya ndani ya CCM na kusaka wadhamini kabla ya kuidhinishwa na chama chake. Alipata wadhamini 1,023,911 katika mikoa aliyotafuta na kupata...
3 Reactions
21 Replies
1K Views
Moja ya mambo ambayo yakija kutokea huko mbeleni pengine kutokea machafuko nchini kwa kisababishi cha upendeleo wa kunyamazia mambo yanayotokea CCM na mambo hayo hayo hayanyamaziwi yanapotokea...
2 Reactions
5 Replies
444 Views
Mgombea Urais wa Chama cha Siasa cha SAUTI ya UMMA,Tanzania Ndugu Kyara MAJALIWA amesema hitaji la KATIBA MPYA sio la SAU tu bali pia ni hitaji la Chama cha Mapinduzi (CCM) Mgombea Urais huyo...
0 Reactions
3 Replies
320 Views
Jambo moja sielewi, kwamba watu wengine wanataka mchakato wa kumpata mgombea urais CCM urudiwe ili Samia Suluhu athibitishwe au hata abadilishwe. Sioni sababu,kwa sababu Rais Samia amefanya kazi...
1 Reactions
8 Replies
430 Views
Kwa mujibu wa andiko la Martini Maranja Masese, licha ya Dj Fetty Kukidhi vigezo vyote vya Kitaaluma kwa Mujibu wa Bodi ya Ithibati, ameondolewa akzini. ANDIKO LENYEWE HILI HAPA KAMA NI KWELI NI...
30 Reactions
85 Replies
6K Views
Kuna msemo unasema ukiona unapotea njia usiendelee mbele upotee zaidi , ama heri urudi nyuma ukaanze upya ama usimame ungojee huwenda utakutana na mtu akuelekeze njia sahihi. Kilichotokea katika...
11 Reactions
63 Replies
3K Views
Katika vilindi vya ngozi, chini ya vazi la nyama na damu, mwili wa binadamu unakuwa uwanja wa mashindano yasiyoonekana kwa macho ya kawaida. Uwanja huu wa ajabu huvutia wavamizi wa aina moja -...
0 Reactions
0 Replies
217 Views
Hilo naliandika kama Onyo Kuu!!. Tupo katika Nchi ambayo Kwa Sasa Visasi vimeshika Kasi kwelikweli !!. Tumeona hapa, wapo walikua wanashauri, ila wakaonekana ni waaasi, wapo walokosoa...
3 Reactions
2 Replies
344 Views
Katika taifa linalohitaji mabadiliko yoyote, vyama vya siasa vikiwepo vya upinzani huwa na nafasi ya kipekee. Nchini Tanzania vyama vya upinzani ambavyo vilitarajiwa kuwa chachu ya mageuzi sasa...
1 Reactions
4 Replies
590 Views
Akishiriki Ibada ya mazishi ya aliyekuwa katibu wa #CHADEMA wilaya ya Arumeru, Mchungaji Samweli Karao wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), amesema Tanzania tunahitaji kuona siasa...
0 Reactions
5 Replies
483 Views
Huyu dada yangu yuko wapi jamani namtafuta sana Mara ya mwisho nilikutana naye pale Mlima wa Moto Mikocheni Ahsanteni sana 🙏🇹🇿
0 Reactions
3 Replies
500 Views
Natoa tu angalizo Katiba ya CCM siyo Katiba ya JMT japo zote ni za 1977 na mfumo wa vyama vingi nchini umeanza 1992 Ahsanteni sana 🙏😄
1 Reactions
3 Replies
293 Views
Unaweza kuichukulia poa kibongobongo lakini huko duniani nchi ya Zanzibar inaheshimika sana Nitakuwa Unguja August 🙏
1 Reactions
0 Replies
162 Views
Back
Top Bottom