Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Bimkubwa HATAKI KURUDI anasema Hana Imani tena na Timu aliyonayo na waliomzunguka, anasema kwanza hajasema kama anataka Ila walimlisha maneno maneno. Kwanza anawaza asijerudi ikawa safari ya...
4 Reactions
14 Replies
940 Views
Wanasiasa watawaza zaidi Uchaguzi mkuu wa 2030 badala ya kuwatumikia Wananchi Kuondolewa kwa misaada kutoka Ulaya na Marekani kutafororesha Uchumi Waumini wa Islam na Christians watajazana...
1 Reactions
22 Replies
838 Views
22 Julai 2025 Mzee Dr. Godfrey Malisa atoa utafanuzi tena, tumekosea na na sasa hivi Julai 2025 narudia kufafanua wapi tulipokosea https://m.youtube.com/watch?v=qkFhiIcXePw - Mkutano wa 19...
42 Reactions
112 Replies
6K Views
Tafiti zimefuatilia kwa ukaribu namna kauli za Heche jzinavyokubalika na kuungwa mkono. Alipokuwa Msibani kwa kamanda mwenzao alitamka bila kupepesa macho kuwa CHADEMA na wafuasi wake haitaogopa...
0 Reactions
1 Replies
289 Views
Hawa wamepenya kamati za wilaya 1. Nape Nnauye jimbo la Mtama 2. Peter Serukamba kule Kigoma Vijijini 3. Baba Levo kule Kigoma Mjini 4. Baruhani Muhuza Kigoma Majini 5. Paul Makonda Arusha Mjini...
63 Reactions
279 Replies
28K Views
Viongozi wa nchi hamfikirii Mahakama hamfikirii Tume ya Uchaguzi hamfikirii Usalama wa nchi hamfikirii Hamfikirii kwamba tunapanda mbegu inayoenda kulimaliza hilo taifa kwa maslahi ya watu...
12 Reactions
27 Replies
1K Views
GT maCCM wasicheze na akili zetu kabisa wasituone maboya Kwa kweli kura hatupigi sijui nani atakayeenda kupiga kura gizani. Mama Kizimkazi apumzike.TAL awe huru NRNE.
2 Reactions
3 Replies
271 Views
Tanzania tuna Upinzani wenye zero critical thinking skills. Karne ya sasa huwezi ukakubalika kwa kutukana watu, kwa kudanganya watu, kwa kueneza roho ya chuki au kuonyesha uchu wa madaraka au...
1 Reactions
36 Replies
944 Views
Nimekuwa nikijiuliza swali kuhusu madai ya Chadema ya Reforms katika taratibu na kanuni za uchaguzi Mkuu, ila hadi sasa sijaelewa ikiwa haya madai ni tamko tu la Chadema kama chama, au tamko la...
0 Reactions
29 Replies
1K Views
Kwanza naomba nianze kwa kumpongeza Mh Rais wa Tanzania Dakitari Samia Suluhu Hassani, Viko vya kurisi lakini sio uraisi, Baada ya pongezi sitaki kuungana na hakika wewe ni mama na Mama mwema...
6 Reactions
10 Replies
419 Views
Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu, amepokea rasmi mapendekezo ya sifa na vigezo vya wanawake wa chama hicho wanaotarajiwa kuteuliwa kushika nafasi mbalimbali za...
0 Reactions
3 Replies
412 Views
Benjamin William Mkapa akiwa Rais wa Tanzania, aliweka mkazo katika mambo sita (6), yafuatayo; ‬ ‪1. Lengo la demokrasia ni kurejesha nguvu na madaraka kwa wananchi kutoka katika mikono ya...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Hatuwezi kushiriki uchaguzi ni kama samia ameweka mpira kwapani alafu anatuambia tucheze hewa mwisho anasema yeye ndio mshindi. katika mazingira kama haya hatuwezi kukubali maigizo weka mpira...
0 Reactions
4 Replies
324 Views
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Mara imewakamata wanachama saba wa Chama cha Mapinduzi kwa tuhuma za kugawa fedha nje ya ukumbi wa uchaguzi Musoma vijijini, huku baadhi...
0 Reactions
1 Replies
875 Views
Wakili Peter Madeleka akihojiwa na Jambo TV amesema, "Wakati namuunga mkono ili Tundu Lissu achaguliwe na Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CHADEMA kuwa Mwenyekiti mpya wa Chama, hakuna mahala popote...
0 Reactions
38 Replies
2K Views
Ni dhahiri ndani ya CHADEMA kuna watu wamechukizwa na uamuzi wa chama wa NO REFORMS, NO ELECTION. Hao ni watu wanaotaka ubunge kwa udi na uvumba. Wanaona kuwa wanayo nafasi ya kushinda uchaguzi...
7 Reactions
15 Replies
875 Views
Unaona mantiki imekosewa hapo. This is the smoking gun. "Wajumbe, jina moja likiletwa, jina moja ni jina ambalo halipungui matatu, kwa hiyo tunakwenda sawa na Katiba yetu." Majina matatu...
18 Reactions
52 Replies
2K Views
Kuna moment kwenye maisha unatakiwa kuelewa Uchawa na Kusifu sio ASILI ya Binaadam. Huku majuu palijengwa na watu wenye uwezo wa KUHOJI na KUWAJIBIKA. Kiongozi ame breach katiba ya CCM ili...
38 Reactions
85 Replies
4K Views
Back
Top Bottom