Famahamuni haya fika.
Mfumo wetu wa Uraisi ulioanza mwaka 1995 wa mgombea mwenza tumeuiga kutokea nchi ya Marekani, ambapo Raisi na Makamu wake wanateuliwa kwa pamoja, na wanaanza kazi siku...
Serikali imesema inatarajia kutumia shilingi bilioni 730 na chenji katika maandalizi na kukabiliana na athari zinazoweza kujitokeza kutokana na mvua za vuli zinazotarajiwa kuambatana na hali ya El...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewasili leo, tarehe 30 Agosti 2026, jijini Belgrade, Jamhuri ya Serbia, kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya...
Wakuuu someni AYA ya mwisho ya Waraka wa kijinga wa Polisi!!.
Juu wanasema uchunguzi ulifanyika, chanzo ni kukoswa hewa kwa kujinyonga, na kwamba Mwili umekabidhíwa Tayari kwa Ndugu Tayari...
Hiki ni kikao cha Bunge cha Kumi na Tatu,Mwezi August, lakini Hansard ya mwisho katika mtandao ni ya June.
Siyo Bunge tu.
Mahakama pia. Haiwezekani ku download kitu chochote kwenye website ya Mahakama
Tanzania na Serbia zimekubaliana kuanzisha Tume ya Pamoja ya Uchumi kwa lengo la kukuza biashara, uwekezaji na ushirikiano wa kiuchumi kati ya nchi hizo.
Makubaliano hayo yamefikiwa wakati wa...
Mzee Kavana, aliyekuwa Captain Kavana mwaka 1964 na aliyechagulia na askari wa Tanganyika Rifles walioasi ili awe kiongozi wao badala ya wazungu, amefariki jana 9/8/2024.
Captain Kavana wakati...
Hapo VIP!
Hili ni jambo ambalo nimefanyia utafiti muda mrefu kiroho Na kimwili Na nimejiridhisha pasipo shaka.
Ni kweli sio kila mwenye mamlaka au chenye mamlaka hustahili mamlaka Yale.Hutokea...
Hapa kuna wana ccm huwa naangalia michango yao naona kabisa hawa pamoja kua wana CCM but ni wanabaki kusimama kwenye ukweli mimi naanza na Nyani Ngabu @Mwanakijji tuwape heshima yao
Akizungumza kuhusu ujio wa Emmanuel Nchimbi baada ya kuteuliwa kushika nafasi ya Katibu Mkuu, Jaji Joseph Sinde Warioba amesema Nchimbi si mtu mgeni kwake na kwamba tayari alikuwa akimfahamu...
Dini, kabila, kanda, rangi na asili ya mtu ni sehemu muhimu ya utambulisho na maisha ya watu wengi. Tofauti hizi zimekuwa na nafasi kubwa katika kujenga maadili, tamaduni, mshikamano, huruma na...
Hili ndio swali kabambe ambalo Chawa na Wachumia tumbo wa ccm na wengine wote wanapaswa kujiuliza.
Kutekwa na kupotezwa kwa Nchimbi AMBAYe ameanzia UVCCM hadi kuwa Katibu Mkuu wa CCM huku...
Huenda nisieleweke, lakini ujumbe wangu wa wazi kwa dada yangu Rais Samia, kwa maslahi ya amani ya moyo wake akiwa Mtawala ni muhimu azungumze na Chadema na waelewane
Pamoja na kwamba dada Samia...
Anchoongea Waziri Katambi kwa maandishi
Kuna ambo wana kauli za ajabu kwenye vyombo vya habari. Tutachukua hatua pale mtaakapovunja sheria.
Lekini hatutaishia hapo tu. Na hii haivunji na...
Nchi yetu ipo katika eneo la kimkakati na hivyo inaingizwa kwenye vita ya kiuchumi na kiutawala kutokana na Jografia yake.
Jambo linaloshangaza ni kuona hakuna wasomi wabobevu mithili ya Kabudi...
Moja ya simulizi mbaya kutoka Uganda kuingia Kagera ni ugonjwa wa ukimwi miaka ya 1980,
ILA kilichokuja kusaidia kupunguza kwa maradhi hayo kuenea ni uwepo wa Kinga zilizojulikana kama "ojware"...