wahuni wameogopa kumshindàisha maza na makada wengine,
Ivi hili lina chochote cha kutueleza juu ya uwezo wa maza kwenye Medani husika za uongozi na siasa kiujumla ??
Na je, hii haileti ishara...
Huenda uchangiaji pesa wa tone tone kwenye kibakuli ukahamia kwenye nyumba za ibada, baada ya uchangiaji wa tone tone kidigitali na kwenye mikutano ya hadhara kukauka na wanachadema kugoma...
2005
Top 3 waliochujwa
Jakaya Mrisho Kikwete
Dr Salim Ahmed Salim
Prof Mark James Mwandosya
Wagombea wengine
Frederick Tluway Sumaye
John Samwel Malecela
Getrude Mongela
Patrick Chokala...
GT
Kati ya watu ambao waliiokoa CCM kimawazo hasa siku za hivi karibuni alikuwa ni hayati Ben Mkapa kikwete ilikuwa imeshamshinda.
Ujio wa Magufuli ulirudisha heshima na nguvu ya chama lakini...
Kila zama na kitabu chake..by Ali Hassan Mwinyi
Tuangazie namna Tanzania yetu tungetaka iwe leo zama hizi.
Ndoto zangu na zako mdau tuziunganishe.
Hata Traore alianza na ndoto.
Mabadiriko...
Sheria zetu za uchaguzi zinatamka wazi kuwa tokea mtu ametangaza nia ya kugombea, akianza kugawa zawadi kwa wapiga kura, hiyo itahesabika ni rushwa.
Sa100 tangu alipojitangaza kuwa yeye ni...
WAZIRI wa Nchi OR Utumishi na Utawala bora, George Boniface Simbachawene na Mbunge wa Kawe Askofu Josephat Gwajima wanatajwa kwenye mbio za Urais mwaka 2025 mara tu baada ya Bunge la Bajeti...
Falsafa ya 4rs ndio iliyowapa fursa na nafasi ya wananchi wote kuungana tena na waTanazania wengine baada ya kujificha kwa mabeberu kwa kipindi kirefu kwa sababu na visingizio mbalimbali vya...
Wakati Mwl. Julius K. Nyerere anaongoza mapambano ya kuwaondoa wakoloni nchini, lengo kuu lilikuwa Tanganyika ijitawale na haswa kutimiza ndoto yake ya kuliunganisha bara la Afrika kuwa kitu...
Wanabodi
Rais Samia alipoingia madarakani, amekuja na falsafa yake mpya ya 4R, kwa jina maarufu 4R za Samia.
Je hizi 4R za Samia, zimesaidia kitu au ni maneno maneno tuu?.
Karibu Tuzijadili...
Watanzania sasa hivi wamechachamaa hawamtaki Samia, kelele kibao mtandaoni
Lakini ukitazama kwa umakini, Watanzania hii imekuwa ndio tabia yao, wanasema hawamtaki kiongozi ila akindoka wanatamani...
Hakuna haja ya kupiga Porojo nyingi, Angalia Mwenyewe
Julai 20, 2025 Mbunge wa Jimbo la Nkasi Kaskazini Mhe. Aida Khenani amefanya kikao cha ndani katika kata ya Kirando Jimbo la Nkasi Kaskazini...
Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) nchini Kenya imeondoa mashitaka ya ugaidi dhidi ya Mwanaharakati Boniface Mwangi, ambaye sasa anakabiliwa na mashitaka ya kumiliki risasi kinyume cha sheria...
Katibu wa CCM Mkoa wa Mara Iddy Mkowa amekanusha uvumi wa kuibiwa kwa sanduku la kura katika uchaguzi wa Madiwani Viti Maluum Wilaya ya Serengeti
Mkowa aneelezea kuwa kulikuwepo na jaribio la...
POLEPOLE ANA MGOMBEA WAKE MFUKONI?
Lilipoulizwa swali la huenda kupitishwa kwa mgombea mmoja kwenye kugombea nafasi ya Urais ikawa ni uoga wa kushindwa kwenye mkutano mkuu, Dkt. Dennis Muchunguzi...
Ni wazi kwamba Chama cha Mapinduzi kina la kujibu kuhusu hoja alizotoa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole na hasa suala la lkumpitisha mgombea urais wa chama hicho, Rais...
Mchambuzi wa masuala ya siasa, Dk Dennis Muchunguzi amekosoa kauli za aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole kuhusu uteuzi wa Rais Samia kuwa mgombea pekee aliyepitishwa na...